mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa chama cha UDP: Kuelekea 2050 tunahitaji Rais Kichaa atakayetokomeza rushwa!

    Mwenyekiti wa UDP Taifa Bw. John Cheyo amesema kuelekea mwaka 2050 anatamani Tanzania impate Rais 'Kichaa' atakayekuwa na ujasiri na nguvu ya kupambana na vitendo vya rushwa ============= Mwambieni Cheyo tushawahi kupata Rais "kichaa" ambaye mpaka alileta wazo la mahakama ya "mafisadi" lakini...
  4. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti taifa

    Awali ya yote napenda kusema mimi sio mwanachama wa CHADEMA lakini kama Mtaanzania na mwanadamu ninachoamini mimi ni kwamba Siasa ni sehemu ya maisha yangu. Nimekua mfuatiliaji wa mambo mengi ya Kisiasa hapa nchini kwa muda mrefu kwa sababu naamini ni wajibu wangu. Tangu tarehe 12/12/2024 Mh...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndani kabisa, Biteko kuwa makamu mwenyekiti wa ccm

    Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm. Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tuwe objective: Mbowe ana sababu gani za kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA

    Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea. Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo. Kwa hiyo anaweza kugombea Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mara paap! Kinana kawa makamu mwenyekiti wa chadema. Inhiiiiiiii!

    Sijui maccm wataficha wapi nyuso zao? Makonda na Samia kama nawaona vile wanavuonuna.
  8. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  9. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kwa point tuliyofika kama nchi chadema hakimuhitaji tena mbowe kama mwenyekiti huo ndo ukweli

    Kwa point tuliyofika kama nchi kunahitajika mwenyekiti wa chadema kama chama kikuu cha upinzani ambaye yuko tayari kwa mambo yafuatayo ambayo sidhani kama mbowe anayaweza Kukaa jela hata miaka 10 Kufa Kuteswa Kwa sababu ccm sio tena chama cha siasa ni genge la wahuni mfano uchaguzi wa serikali...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je tuamini katika busara za Mwenyekiti Mbowe au tuamini katika ujasiri na misingi thabiti anayo amini Tundu lissu?

    Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani. Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma aliyekimbia na daftari wakati wa Uchaguzi aripoti Polisi

    Wakuu, Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika? Inaonekana sasa "watu wa system wameanza ku-deal nae. ========================================================...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Mwenyekiti wake Taifa, lazima awe Rais wa Nchi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama lazima awe Rais wa nchi. Hii ni kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya chama na serikali, ambapo CCM...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

    Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema. Mungu ibariki chadema.
  14. R

    JamiiForums Tanzania TUNDU Lissu, nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA na ugombea Urais haviendi pamoja, utaachia ipi?

    Habari! Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea, Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA aachie, Sasa ni ipi atakubali kuiachia kati ya 1. Ugombea Urais 2025. 2. Uenyekiti wa chama Taifa...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 11 Desemba, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mteule Kariakoo, Mushi: Nikipewa ushirikiano na Serikali migomo itaisha Kariakoo

    Mwenyekiti Mteule wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo, Severin Mushi ameahidi kuhakikisha anatatua changamoto za wafanyabiashara hao akishirikiana nao pamoja na serikali jambo litakalosaidia kuondoa kabisa migomo ambayo imekuwa ikitokea. Mushi ameyasema hayo leo Disemba 11,alipokuwa akitoa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lissu akiwa mwenyekiti wa CHADEMA atahujumiwa sana na hatafanikiwa chochote, lakini pia akiwa mgombea urais wa CHADEMA atahujumiwa na atapata aibu

    Ukosoaji wake dhidi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA hususani kuhusu mambo ya rushwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, ulionekana kama usaliti, hujuma, dharau na utovu wa nidhamu kwa mwenyekiti taifa wa chama hicho. Na kwahivyo sababu ya kuhujumiwa kwake msingi wake utakua ni huo Lakini...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
Back
Top Bottom