mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waliokwenda kwa Mwenyekiti wote waganga njaa hakuna kitu palee

    Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa. Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii Siasa mchezo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

    Sabato Njema Wakuu! Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe. Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wenje kasuburi mpaka Lissu aliposema anaegombea nafasi ya makamu mwenyekiti ndio aliempleka Abdul nyumbani kwake ili amuhonge?

    Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya. Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako? Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Wenje lazima atapita nafasi ya Makamu Mwenyekiti Chadema, hata Mbowe akijitoa sawa tu (japo hatajitoa), chama hakitatawalika

    Ndio hivyo. Baraza kuu lote let, akileta hoja inapigwa chini, na pale Wenje anabaki kama kiungo mchezeshaji. Haijaisha mpaka iishe, atapigiwa hata kura ya kutokuwa na imani
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

    Lissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda? https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Ilala: Mbowe atoe tamko kuhusu wapambe wake

    Mwanachama wa Chadema, Waziri Mwanyevyale, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiko Mkoa wa Ilala, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kutoa tamko, kuhusu baadhi wa wanachama wa Chama hiko wanaotukana wenzao mtandaoni, kwa baadhi ya watu ambao wameonesha nia ya kugombea.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni hatari thinktanks na washauri wa mwenyekiti Mbowe kuwa watu kama Ntobi na Boni Yai

    Zamani Chadema ilikuwa imesheheni vichwa makini, walikuwa watu kama profesa Safari, Profesa Baregu. Hawa ndo walikuwa thinktanks na washauri wa Chama. Leo inasikitisha chama kimebaki na wahuni kama Ntobi, kijana anayetukana matusi ya wazi viongozi wa chama. Yeye mtu mwenye thamani kwake ni...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii CCM inamhitaji zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema?

    Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa. Sisi awamu hii kama...
  9. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye chama hautabadilika sana endapo watashindwa kupata nafasi ya mwenyekiti

    Wanabodi, Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Zijue Faida za kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani

    Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo, Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani? Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo 1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited 2. Unaweza...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Profesa Lipumba achaguliwa tena mwenyekiti CUF, aweka historia

    Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa. Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi wa CHADEMA,Kuna uwezekano Lissu akakosa Bara na Pwani Umakamu mwenyekiti na uwenyekiti

    Katika uchaguzi ujao wa Chadema, kuna dalili kwamba Tundu Lissu huenda akakosa nafasi za uongozi bara na pwani, hasa (katika nafasi za umakamu mwenyekiti na uwenyekiti.) Hali hii inatokana na changamoto mbalimbali zinazokabili chama hicho, ikiwa ni pamoja na mpasuko wa ndani na ushindani mkali...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Lisu wa CHADEMA atasababisha atokee Lisu mwingine wa CCM. Ndio maana tunahitaji Lisu awe Mwenyekiti.

    LISU WA CHADEMA ATASABABISHA ATOKEE LISU MWINGINE WA CCM. NDIO MAANA TUNAHITAJI LISU AWE MWENYEKITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi Watibeli ambao kiasili ni wanafalsafa, wanasaikolojia, wanasosholojia, na kama haitoshi Majasusi wa kuzaliwa. Tunajua kuna kanuni za vita, mapambano na...
  14. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea iwapo Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Chadema?

    Kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua Wanachama wengi wa Ccm hawataki tundu Lissu ashinde nafasi ya uenyekiti Chadema. Hapo kabla ya Ndugu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya kuwa Mwenyekiti Chadema, watu wengi hasa wafuasi wa chama tawala walikuwa wakipiga kelele Kuwa...
  15. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu

    Kwa kweli nimefarijika sana. Mbowe anapendwa sana. Anapendwa hadi na wana CCM. Akina Mshamba na tilalila wanampigia upatu Mbowe abaki Mwenyekiti. Hawamtaki Lissu. Hii inaonesha udugu ambao umeanza wa CCM na CDM kwa namna ambayo ni nzuri kabisa. Yaani ukute siku Simba wanataka Kocha wa Yanga...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Intelijensia ya CHADEMA imefanikiwa kumuhadaa na kumuengua Tundu Lissu kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti na ile ya Mwenyekiti Taifa kisayansi sana

    Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa...
  17. Amo1

    JamiiForums Tanzania Eti Leo CCM wanaihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti

    Hivi ni kwa nini CCM wanaumizwa na Lissu kuwa mwenyekiti? Wanahofu na nini? Ghafula wanaanza kuihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti, mara ooh hawezi...
  18. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Majibu ya CCM: hoja yao ilikuwa CHADEMA haina demokrasia ina mwenyekiti wa maisha, sasa CHADEMA wanataka mabadiliko ya mwenyekiti CCM wanapinga tena

    Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki. CCM imejaa viongozi wabinafsi sana wananchi wenye akili wanaliona hilo, wamevuruga uchaguzi wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndani kabisa. Kuna chama kipya cha siasa kitasajiliwa hivi karibuni. Nyaraka muhimu zinafanyiwa kazi ofisi ya msajili

    Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais. Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa. Mungu ibariki Tanzania.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: CHADEMA ni taasisi imara, hata mimi naiogopa kwa ukubwa wake, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu

    Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani; "CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu, kwasababu najua wana CHADEMA sina cha kuwatisha wa kuwababaisha"
Back
Top Bottom