mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ntobi: Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa

    Ntobi, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga na Kijana mtiifu wa Mbowe ameendelea kushambulia wasiomuunga mkono Mbowe. Safari hii anasema kuwa John Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa. Heche ambaye amewai kuwa mwenyekiti wa bavicha taifa, diwani na mbunge. Kwa sasa vijana wa Mbowe...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ikiwa walishindwa kumfanya MWABUKUSI asishinde TLS Licha ya Figisu zote, TUNDU Lissu atashinda Mwenyekiti CHADEMA

    Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu. Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo. Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia Uonevu, Mungu yupo tayari Kumtumia Shetani ili tu Jambo lake likamilike. Na niseme wazi , Kama LISSU...
  3. JamiiForums Tanzania Apart from Umakamu mwenyekiti wa chadema,Lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumingizia kipato?

    Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Picha zinazotafakarisha kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya taifa

    Ukifuatilia hizi picha kwa umakini unaweza kuona mambo mengi ambayo yanaweza kutokea hapo baadae
  5. JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

    Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe. Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa. Tumepigwa parefu!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA asiye maarufu

    Najisikia vibaya kutenda dhambi leo kwa kuwapa mbinu wale watawala wa Puerto Rico mana naona wanataka kutumia njia mbaya ya kumng'ng'aniza Mbowe awe mwenyekiti ili azeeke kwa stress akiwa mwenyekiti mana kachokwa haswa na Lisu hatakiwi. Mnakumbuka ule uchaguzi wa DRC ambapo Joseph Kabila...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaofanya UCHAGUZI wa mwenyekiti wa Chadema yaani wapigakura ni nani?

    Uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema umekaribia. Makelele mengi kutoka mjukwaa mbalimbali,vyombo vya habari na wadau wa kisiasa na kidemokrasia wanatoa maoni, wengine hata wanalazimisha kupiga Kura Kwa kutaja jina la mgombea mmojawapo kati ya waliochukua fomu.Duh! Sasa wadau je Demokrasia ndiyo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jamiiforuma acheni upendeleo kwa Tundu Lissu, najua mnataka awe mwenyekiti wa Chadema jambo ambalo haliwezekani

    Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair. Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nilipokaimu Umakamu, haki za kikatiba zilikataliwa kujadiliwa vikaoni na Mwenyekiti!

    Akizungumza na Watanzania kupitia katika mtandao wa clubhouse mheshimiwa Lissu amejibu maswali mengi aliyoulizwa na Watanzania. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni kuhusu faida za maridhiano zilizoelezwa na mwenyekiti Mbowe. Akijibu swali hilo, Ndugu Lissu akasema, anashangaa ndugu Mbowe...
  10. JamiiForums Tanzania Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

    Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025? Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena...
  11. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuna kila dalili ya goli la mkono katika uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA hapo January

    Wasalaam Wote tumeshuhudia bwana Freeman Mbowe akiapa kushinda uchaguzi inyeshe mvua au liwake jua. Ukiangalia nguvu za kiuchumi za huyo mheshimiwa ni kwamba atatumia rasilimali zake kushawishi wajumbe wa kamati kuu kumchagua kwa kura za kishindo. Ukija upande wa pili mh Lissu amelalamika...
  12. JamiiForums Tanzania Vichekesho ,CCM haina Makamu Mwenyekiti, wapo busy Kushupalia Lissu ashindwe.

    Heshima kwenu, CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda. Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti BAWACHA Pwani: Sioni sababu ya kumwondoa Mbowe.Tunataka aendelee hadi tutakapokamata dola!

    Wakuu, Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wameendelea kutoa matamko yao wakati wakiwa wanaelekea kwenye Uchaguzi Haya ni maneno ya Rose Moshi, Mwenyekiti BAWACHA Kanda ya Pwani "Sioni sababu za kumbadilisha na kumuondoa tunatakiwa kumuombea ili aendelee na moyo huo huo wa ujasiri mpaka hapo...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya watu wanaomuunga mkono Freeman Mbowe na wale wa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti CHADEMA

    Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe. machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati) Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa na imani zaidi kuliko akili (Hisia) Watu waliokata tamaa ya kushika dola na hawaamini kuwa chama...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini ccm wamefurahi zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti kuliko Lissu?

    Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu. Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu. Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
  17. JamiiForums Tanzania Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna juhudi kubwa za kuhakikisha kuwa Mbowe haendelei kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma. Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini kwa dhati kuwa ni wakati muafaka wa kubadilisha approach ya kuleta mabadiliko kwa sababu inayotumika...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inavyosemekana si tu kuwa mwenyekiti, mwamba ndiye atakayepeperusha bendera ya kugombea urais

    Habari za chini chini ni kuwa wajumbe wengi wanakubaliana kwamba hakuna mwingine atakayeweza kupeperusha bendera ya kuwania Urais zaidi ya mwamba. Hii inatokana na ukomavu wa kisiasa anaozidi kuuonyesha. Maridhiano ni process.
  20. JamiiForums Tanzania Kiukweli umeniangusha mwenyekiti wangu (Mbowe)

    Sikutegemea kabisa kwa wewe kuonyesha tamaa ya kutaka kuendelea kukalia kiti. Dhumuni lako aswa ni nini, kuona demokrasia ama kutaka kuona kati yako na makamo wako ni nani zaidi? Je, unahisi ni muda sahihi kufanya ulichokifanya? Je, umetafakari maamuzi yako? Nini maana yake kwa wewe kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…