Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
Hiki chuo kama kinachukuliwa poa, sawa na Mzumbe "ilipoondolewa" Katika majukumu yake ya serikali za mitaa. Kwanza, nashauri chuo cha mipango kifanyiwe study, hakuna maendeleo bila mipango.
Tume ya mipango ina link vipi na chuo hiki? Kiwe ni chuo cha elimu ya awali au ya kujiendeleza? Mipango...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
Na Josephat H
Interview And Carrer Coach
+255656480968
Dar Es Salaaam, Tanzania
👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Sekretariate ya Ajira katika Utumishi wa Umma. Hadi sasa, hakuna taarifa...
MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA?
Na Josephat H
Interview And Carrer Coach
+255656480968
Dar Es Salaaam, Tanzania
👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa...
Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini Tanzania.
Kila chama kinatamani kushinda uchaguzi na kuunda Serikali. Zitto Kabwe ametoa wazo la vyama...
Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe.
Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma...
Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi
Kadiri siku zinavyokwenda idadi ya watoto wa mtaani inazidi kuongezeka. Ongezeko lao linatishia mustakabali wa nchi kwa sababu ndani ya watoto wa mitaani, ndipo vikundi vya kihalifu huibuka kama vile pangaboy na panyaroad. Kwa...
Kumekuwepo na tuhuma nyingi kuhusu udhaifu wa mahakama ya Tanzania kwa miaka takribani nane sasa.
Jaji Mkuu aliyepo ameonyesha kushindwa kabisa kujitenga na matakwa ya serikali na hivyo kuifanya serikali iamini kwamba wao ni mabosi wa mahakama.
Mahakama imetuhumiwa kutotenda haki, imetuhumiwa...
Je ni;
1: Juhudi, Maamuzi na Muda
2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa)
3: Bahati (ngekewa)
4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa)
5: Mapenzi na Kibali cha Mungu
6: Baraka au Laana ya vizazi/ukoo wenu.
7: Ukubwa au udogo wa Nyota yako
Karibuni
Tanzania ya leo inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta za elimu na afya. Hata hivyo, tunapaswa kuangalia mbele kwa mtazamo wa kipekee na kufikiria mbinu zinazoweza kuleta mabadiliko ya kweli na endelevu katika maisha ya Watanzania.
Elimu Bora Kwa Kila Mtoto:
• Kujenga...
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki.
Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki.
Wakajaribu...
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa.
Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake...
Hakuna kama Yehova,
1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,
2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%
3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu...
Vita vya nini kama mazungumzo yanaweza kuzaa mapatano yenye tija?
1. Ama kweli amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga:
2. Kwamba Israel kwenye hasira kali na pepo la kisasi na mtafaruku ule Oct 7, wameuwa wengi wakiwamo wasiokuwa na hatia?
2. Kwamba wameuwa hadi raia (wakiwamo wa...
Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM.
Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu
1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.