Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani...
Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini?
ikawaje?
ulitemana nae vepe?
ulitemana nae baada ya muda gan?
Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu
Anguko kubwa la mwanaume ni kuamua kubadilisha dini na kumfuata mwanamke. Mwanaume hutakiwi kubadilisha dini na kumfuata mwanamke bali yeye anatakiwa kubadilisha dini na kukufuata wewe.
Mwanamke anapoolewa na mwanaume, automatic huondoka katika jamii yake na kwenda katika jamii ya mwanaume...
Msanii wa kiume au mwanaume yeyote nikimwona aidha kwenye video au live amevaa hereni nakuwa na hasira sana.
Sometimes huko mitandaoni nakutana na wasanii nikisema niagalie kazi zao nikiona tu wamevaa mihereni wananikata stimu naskip .
Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo.
1. KUFANYA KAZI NYINGI.
Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake iliyoundwa ili kuzingatia kazi nyingi kwa wakati mmoja. Wanawake wanaweza Kutazama TV na Kuzungumza...
USIPOKUWA MWANAUME WA MAANA MKEO HAWEZI KUBALI KUITWA KWA MAJINA YAKO.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya dalili kuwa wewe sio mwanaume aliyefanikiwa ni pamoja na kuangalia kama mkeo anatumia majina yako na anayafurahia.
Ukiwa mwanaume uliyeshindwa, usiye na hadhi, mwanaume usiye wa...
Kama Kuna Watu wako hatarini kutoweka ni wanaume halisi.....jamaa kapokea kipondo heavy baada ya kushindwa kulipia huduma ya dada poa.
WENYEWE WAJITETEA KUWA NI MAIGIZO, SIO UHALISIA. JAPO WAMESHINDWA KUSEMA NI MAIGIZO YA KIKUNDI GANI NA MAUDHUI YAKE NI NINI ......
Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23.
Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili?
Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza kuyapata? Ikipendeza drop na picture yake.
Wakuu mulibwanji?
Aisee nimetafakari sana jinsi ambavyo dunia ikishirikiana na mwanamke kummaliza mwanaume, kufuta nafasi ya mwanaume, kufuta haki zake ikibidi zinachukuliwa na kupewa mwanamke.
Ninakuhakikishia hata huyo mkeo uliyenaye hapo ni vile hajapata mtu mwingine tu anayekuzidi...
Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au couple! Sasa bwana muda wote mdada analia na kutoa mchozi njemba inambembeleza kwa kumshikashiga bega na...
Ninaposema uhuru wa kihisia namaanisha ewe mwanaume popote ulipo, iwe kazini, chuoni, mtaani hakikisha hawachukulii serious wanawake, yani moyo wako uwe kama jiwe, mtu asipoliondoa litabakia hapo milele, namaanisha uwe na mindset kuwa mdada yoyote nikimtongoza akinikubali sawa, asiponikubali...
Kuna Familia nimetoka Kuitembelea leo kwa nilichokiona nikiambiwa yule Baba hamlali ( hambandui ) Mwanae ( Bintiye ) basi GENTAMYCINE nitaukweka ( nitapuu ) kuanzia hapa Mkoani Dar es Salaam hadi Kwetu Mkoani Mara nikiyapanga tu Barabarani kwa Kutoamini.
Natamani sana nikiweke hicho...
Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake.
Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
Nimefika Tabora mara kadhaa sambamba na hilo katika usomaji na ufuatiliaji wa threads za hapa jukwaani, nimebaini pasipo na shaka wala mawaa yoyote yale kuwa mkoa wa Tabora unaongoza kwenye tiba ya upwiru na upatikanaji wa wana upwiru hasa wenye virutubisho mpakato.
Toka kitambo si kwa...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete?
Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa.
Tazama clip hizi hapa chini.
Habari,
Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani?
Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume?
Asante
Waslaam wakuu!
Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.
Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan...
Material create God is LOVE, Mungu ni pendo.
Mapenzi ni hisia kama huna hisia njoo tukuombee.
Kuna story nimeitoa kwenye maandiko matakatifu ikieleza Mwanamke ni nani kwa Mwanaume.
Palikuwa na watu wawili katika mji mmoja; mmoja wao alikuwa tajiri, wa pili maskini. Yule tajiri alikuwa na...
Imerokea usiku huu huko Brussels. Mwanaume huyo wa kiarabu kaua raia wawili wa Sweden huku akiita Allah Akbar, Allah Akbar. Kakimbia anasakwa, habari zinakuja
Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari.
Situmii kizuizi chochote tunakutana siku za hatari kushiriki tendo la ndoa lakini mimba hakuna aya nilibrid tarehe 1/10/2023 nikamaliza period tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.