mwanamke

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke anaonekana zaidi kuliko mwanaume?

    Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi? Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya kuishi? Bongo ukitaja ujambazi mkubwa kabisa, utaambiwa ni ule wa Sarah Simbaulanga. Mabenki na...
  2. Silivian

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

    Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango. Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake. Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa. Sent from my TECNO...
  3. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kama Mwanamke Alikupenda Ila Sasa Amepunguza Upendo Kwa Kuwa Haukumjali Lakini Bado Unamuhitaji.

    Aidha ulikua unamchukulia poa tu au kazi zimekulemea kiasi kwamba mahusiano yakaterereka. Kipindi chote iko mwanamke huvumilia lakini akishachoka kuvumilia basi. Mwanamke hupenda taratibu vilevile upendo hupotea taratibu, na kipindi chote hiko hukupa ishara kwamba fanya mpango unijali la sivyo...
  4. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

    Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, au ikiwa ni mwanamke...
  5. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, tambua sababu 5 za mwanamke kufanya mapenzi na X wake wakati mpo kwenye mahusiano

    Sababu hizi sio kwa ajili ya kuwalaumu wanawake bali ni kwa ajili yako mwanaume, sababu wewe ndo kiongozi na ni jukumu lako kutambua hali na kuchukua hatua. Vingine vinaumiza lakini ndivyo ilivyo. Ila kama mwanamke uliyenaye ana rekodi nzuri ya kudanga, na hajabadilika basi ukae tayari...
  6. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke anakulalamikia haumjali kisa haumtumii ujumbe au kumpigia simu kila saa, mwambie hivi...

    Ukiwa na mwanamke asiyejiamini atataka umpigie na kumtext kila muda ili ajisikie kupendwa na aone unamjali. Mara nyingi wanawake ambao hawakupata upendo mzuri wakiwa wadogo hufanya hivo, kila muda wanataka wapetiwe wajisikie wanapendwa. Pia ukiona mwanamke anakukera kwa kutaka muda wote...
  7. Phobia

    JamiiForums Tanzania Nataka nioe mwanamke wa Kisukuma, Wanyantuzu je wapoje?

    Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee. Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
  8. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Sababu 3 muhimu kwanini mwanaume mwenye hela humvutia mwanamke kirahisi

    Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi. Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kuwa mwanamke alishazaa pasipo kuniambia?

    Mambo vipi Watanzania bara wenzangu? Hebu tupeane mbinu, maana hapa Town sasa hivi wanawake unakuta keshazalishwa watoto 10 huko anakudanganya hana mtoto ili umuoe tu. Utamjuaje mwanamke ambaye tayari keshashusha injini wakuu, yaani keshazaa tayari, ni vialama au viashiria gani anakua navyo?
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kupata ujauzito akiwa ananyonyesha, kabla hajaona hedhi yake ya kwanza

    Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi. Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi. Hata hivyo...
  11. Silivian

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuwa na mahusiano na mwanamke kwa urahisi

    Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua. "Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe." Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano...
  12. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Unaishiwa Cha Kuongea Na Mazungumzo Yanakua Mafupi Ukiwa Na Mwanamke? Fuata Muongozo Huu...

    Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we mwenyewe unaona haufurahii mazungumzo. Hivi ndivyo unaweza na kuyabadilisha kuwa mazungumzo yenye raha...
  13. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimuambia/ Ukimpa mwanamke taarifa zako zote kwa haraka atakuacha?

    Wanawake ni viumbe wanaopenda kufanya udadisi hasa linapokuja suala la mahusiano. Hii ni kwasasabu wanawake hawaridhiki mpaka wapate kile wanachokitaka, kabla hawajakipata hicho kitu mawazo yao na hisia zao muda mwingi zinakua juu ya hicho kitu. Kumfanya mwanamke awe mtafiti kwako ni moja ya...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

    Wasalaam Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala...
  15. 2025DG

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba omba hela

    Hello. Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum? Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa. Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na...
  16. 2025DG

    JamiiForums Tanzania Kijana usitafute hela kwa ajili ya mwanamke

    Habari. Kijana wa kitanzania tafuta hela kwa ajili ya kujikwamua maisha yako binafsi na familia. Achana na drama za kutafuta hela ya ajili ya mwanamke ambaye unachofanya ni probability. Tafuta hela kwa ajili ya maisha yako binafsi.
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Amri ya kutotamani mke wa mtu au mwanamke inapotoshwa sana na jamii

    Hey
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye hekima uijenga nyumba yake

    Methali 14:1-18 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake. Bila...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

    1. Baba yake Kafa 2. Alimtelekeza tokea akiwa Tumboni 3. Baba yake akitaka Kumuua 4. Baba yake kasema haikuwa Mimba yake 5. Ndugu za Baba yake wamemkataa Ila nje ya sababu hizi au kama huyo Mwanamke nitakayemuoa hatonipa hizi sababu Tano ( 5 ) tajwa hapa juu basi atafute kwa kumpeleka huyo...
  20. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Uganda: Mahakama imeamuru mwanamke amlipe 'sponsa' pesa yake

    Huko nchini Uganda Mahakama imeamuru Mwanamke mmoja alipe gharama ya Ush 10 millions kwa sponsa wake kama fidia ya Mwanamke huyo kumuacha njia panda sponsor baada ya kusomeshwa. Imeelezwa mahakamani hapo kwamba sponsor alimsomesha binti chuo pamoja na kumghalamia mambo mengine lakini ilipofika...
Back
Top Bottom