Hasa akiwa mtu unamalengo nae, yaani inatoa imani sana. Unawaza kua huenda ni amekubuhu na anauzoefu sana, huenda ndio hufanya na wengine hivyo, taflani.
Ni vema mwanamke akatulia tu asubiri maelekezo, mambo ya kuruka ruka na kujifanya gwiji hayafai
Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano.
Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo' au 'huduma' na majina mengine mengi.
Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni...
Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume...
aAshampoo jana nilienda kusuluhisha ndoa fulani huko sasa wakaniuliza ashampoo kama mjomba una ushauri gani nikajibu hakuna wakufa wa ndizi moja wala wa kufa na kitasa kimoja mvumiliane tu mrudiane. Sijui walinielewa hakunielewa nikakaa kimya
Nisipotezee muda sana nataka niwahi...
It goes down in one word! ZINC...
Kwa utafiti ambao nimeanza kuufanya, matokeo ya awali yanahusisha utasa au ugumba na upungufu mkubwa wa madini ya zinc mwilini.
Pia matokeo ya awali yanahusisha upungufu mkubwa wa madini ya Zinc na uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa kudumu.
Upungufu...
Ulikua naye kwenye mahusiano vizuri. Sasa unaona amebadilika. Anakua anajijali kuhusu yeye tu. Utaona ni mbinafsi sana na hana mpango kuhusu wewe. Pengine anakuambia kabisa nina wasiwasi kuhusu mimi mana najisikia vibaya. Ujue amepoteza mvuto kwako. Ujue amekuweka kiganjani.
Na anaposema ana...
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - SERIKALI INATAMBUA NDOA NI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE
Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro imesema kuwa inatambua kuwa ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke.
Hayo yamesemwa leo Mei 22,2023 Jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk...
Kwa utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya mitano japo utafiti huu si rasmi nimegundua wanaume wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliozidiwa kiumri na wake zao.
Yaani wanaume waliozidiwa umri na wake zao kiuhalisi hawana kauli ya utiisho mbele ya wake zao, hawana maamuzi ya peke yao...
Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda.
Wanawake asilimia kubwa wana mapenzi ya kweli na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume, wanaume wengi hujifunza kupenda ila mwanamke by birth wako kiupendo.
Shida inakuja wanapokutana na...
Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri.
Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu?
Pili, nikajiuliza mbona watu wa...
Kujiamini katika unachokifanya.
Kujiamini katika ukisemacho.
Kujiamini huku kutokee ndani yako. Sio iwe kwa ajili kumpata mwanamke fulani.
Wengi hujiamini wakiwa na wanaume wengine. Ila akiwa na mwanamke anapoteana. Sababu kubwa ni kumkweza mwanamke juu yako.
Unaweza kuwa na maneno/ mistari...
Sijui kwa wanaume wengine wanavutiwa na nini hasa kwa mwanamke wakati wa mahaba na penzi zito
Utamu/raha ya mapenz ni hisia. Ukizikosa hisia mapenz yanakua kama uchafu kwako.
Binadamu tunatofautiana hisia nadhani, wengine ni kali sana wengine ni kiduchu. Mwanaume ukikutana na pisi umeichakata...
Capacitation' ni uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke na kulirutubisha, hali hii inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa ndani (biochemical changes).
Yai la mwanamke lina milango mitatu ambapo Mbegu hutegemea kupita kwa...
Wala usikae kujisemea “nikimpata yule maisha yangu yatanyooka”.
Wala usijisemee “ivi nampataje mwanamke yule?”.
Wala “hivi namridhishaje huyu?”. au,
“ntamfanyaje asiniache?”
Hapo unamweka kama mwanamke kama “kitu fulani inabidi nijishindie”.
Unajiweka kuwa mnyenyekevu kwa mwanamke. Na kutaka...
Hii inawakuta wanaume wengi.
Hata mimi ilishawahi nipata kabla.
Lakini ni muhimu kutambua thamani yako. Na unastahili upendo na furaha.
Ubaya wa kumng'ang'ania asiye kutaka ni kukosa kuwa anayekutaka.
Mana muda mwingi utautumia kwake badala ya kuwa na anayekukubali.
.
Kuna muda unataka...
Mwanamke mmoja ambae bado hajajulikana ameuliwa na watu wasiojulikana na kutupwa mto Themi akiwa bila nguo.
Tukio hilo ambalo limezua taharuki miongoni mwa watu limetokea kata ya Sinoni katika mtaa wa onjavutian.
Mwenyekiti wa mtaa wa onjavutian ambapo tukio hilo limetokea Lesioni Joseph...
Kama hujamfata kuongea naye.
Kama hupeleki mahusiano mbele.
Kama hufanyi chochote kumuonesha unamtaka.
Basi ujue hana haja ya kukukataa. Sababu umeshajitoa mwenyewe bila hata kutolewa.
Zile sababu kama “atakua bize”/ “atakua na mtu wake”/ “mi sitokagi na wanawake aina yake”/ “sina mstari...
Si rahisi kujua kama mwanamke anataka mrudiane.
Hasa pale unapokua humwelewi kwa vitu vinavyotokea.
Kutokana na wanaume nliowasaidia kuwarudisha ma ex wao.
Wakiachwa wampe muda huyo mwanamke bila kumtafuta. Na baadae mwanamke anaanza kujirudi tena, nimeona hivi vitu vinajirudia rudia. Nawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.