mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, siku akikuchoka kubali kuachika siyo unakuwa king'ang'anizi

    Nimekupenda/ kukutamani nimekuvuta kwa hela nawe ukavutika,nikakutunza,nikakutumia vya kutosha mpaka nikawa sioni tena jipya kutoka kwako. Siku nikitaka kubadili ladha,tafadhali usinikatalie maana natumia pesa zangu kuwa enjoy nyie omba omba.
  2. JamiiForums Tanzania Swali: Mwanamke anaweza kumuolea Kaka yake kwenye Uislamu?

    Kuna picha inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Bidada akimvisha pete Mwanamke mwenzie. Kulingana na Mavazi yao ni dhahiri kuwa hao wadada ni Waislamu kiimani, kama unavyojua kwenye wengi huwa hapakosi maneno basi kuna baadhi ya watu wakasema kuwa huyo Dada anamuolea ndugu yake wa kiume, na...
  3. JamiiForums Tanzania Ni njia ipi Mujarabu ya kumfanya Mwanaume amsahau Mwanamke aliyekuwa anampenda sana?

    Najua kuna wajuzi humu jamvini, tafadhali msaada juu ya mada tajwa hapo juu 🙏🏻 Nahitaji kumsahau mwanamke niliyekuwa nampenda sana 😔
  4. JamiiForums Tanzania Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

    Habari zenu wakuu, Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza Basi nikaamini pengine ndiyo maana misikitini na makanisani mashehe na wachungaji wetu wanahubiri...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Kwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake? Hawa wanawake wa kisasa wanazaliwa automatic walemavu au?
  6. JamiiForums Tanzania Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

    Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu. Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mtu mzima tuanze mahusiano

    Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha . Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa . Sifa: Awe tayari kupima na awe HIV negative Awe mkarimu Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake Awe muunimi wa kikristo...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume ambae hana mpango wa kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike.

    Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa. Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais. Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Usioe "secretari" anayefanya kazi ofisi yoyote. Utanishukuru

    Ktk zama hizi ukimkuta mdada ni sekretari basi ujue ana tabia mbaya i.e alishindikana kimalezi na hata alipopelekwa shule hakuzingatia masomo. Wengi wao walidanga na kudaka ujauzito wakiwa shule za msingi ama kidato cha 2 wakajifungua halafu wazazi wakawapitisha QT, kisha wakaenda kusoma...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

    Kwema wakuu, Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje. Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza. Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume

    Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume. Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi sana wakishinikiza u saw a kati ya mwanaume na mwanamke. Dunia ya sasa ina wasomi wengine lakini vitu...
  15. JamiiForums Tanzania Ogopa mwanamke anayebandika kucha juu ya kucha au kope, rahisi sana wapanga

    Hawa wanawake kwa kweli nimewapa nyota tatu za jeshi. Dada mmoja wiki tofauti kaja dukani kanunua simu tofauti ambazo ni iPhone 14 na Samsung S23, zote hizo ni wanaume wawili tofauti, mmoja iPhone na wapili Samsung. Ila kwa vile ni biashara, aisee!
  16. T

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaniaminisha mwanamke aliye kwenye mahusiano huwezi kuchati mpaka saa nane usiku

    wakuu ni Adje. Mechi ya South Africa na Nigeria tulikuwa tunacheki mshkaj wetu mmoja akawa kuna demu anamfukuzia, sasa mpaka usiku mrefu anachat nae akawa anatuambia demu anasema yupo na mtu wake. Jamaa wangu mmoja akajibu hivi. Hakuna mwanamke aliyepo kwenye mahusiano na anaishi na mwanaume...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

    Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa. Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
  18. JamiiForums Tanzania Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

    NAMPELEKA MAHAKAMANI MWANAMKE NILIYEZAA NAYE KWA KUSHINDWA KUMHUDUMIA MWANAYE. HOJA NITAKAZOPELEKA MAHAKAMANI NI HIZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima naye ahudumie. Sikumtuma abebe mimba na anizalie mtoto. Wakati tunafanya alivyokuwa anajichetua, kujibinjua, kubiringita, kujipogoa...
  19. JamiiForums Tanzania Ukishazoea kushi na mwanamke ni ngumu sana kumudu maisha ya Ubachela

    Natumia nguvu nyingi sana nisimoigie yule mwanamke ila sijui kama ntafanikiwa, Upweke ni jambo gumu sana
  20. JamiiForums Tanzania Huwa nawaambia na nasema tena: Mwanamke sio mbadala wa nyeto

    Kama una uraibu wa nyeto, kuoa au kuwa na mademu wengi sio suluhisho. Nyeto haiingiliani popote na K. Kuna clip iliwahi kuvuja ya waziri mmoja wa Kenya anapiga nyeto ofisini akijirekodi. Yule ni Waziri, ana mke na access ya demu yeyote muda wowote ila anapiga nyeto. Juzi imevuja clip ya Drake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…