mwanamke

  1. I X 01

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mwanamke anaweza akakuletea nuksi?

    Wakuu naomba kuelewa imekaaje unakuwa na mwanamke akawa nuksi unaweza kumtambuaje?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja. Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata...
  3. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Anataka mwanamke mwenye dimples kwenye Mahips yake, nifanyaje?

    Kama kawa mama enu nimerudi na stori ingine tena Leo natoka zangu kazini, nikapigiwa simu na shogangu tukutane mikocheni plaza ana stress za mapenzi Nikaenda kumsikiliza vizuri tu, lalamiko lake kubwa ni kuwa; Bwana wake amemuacha, kabla hajaachwa akamwuliza bwana wake, kwanini unaniacha...
  4. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwanaume!! Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni mwanamke au wanawake utakaokuwa nao.

    Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
  5. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke anatamani mwanaume anaempa solutions

    Wavulana wengi wanafikiri eti..... Ukitaka kumtawala mwanamke "mpe hela"...🤣 Hapo ndipo anguko la vijana linapo anzia "maana hata wanawake pia wanajua kuitafuta hela...😜 Mwanaume simama kwenye nafasi yako na hakuna nyumba itayumba bladi hell...☹️
  6. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Mbasha: Nitaoa mwanamke muuza Baa, sihitaji wale wa kanisani

    Amefunguka Emma.... "Nataka kuoa mwaka huu, nitaoa mwanamke ambaye ni mhudumu wa Bar maana hawa wadada wanakuwaga hawana shida sana ukimwoa ukamweka ndani anatulia na maisha yake yote analeta watoto.. Hawa wa kanisani siwataki kabisa ni wakengeufu sana." Tuliowahi kuumizwa na mademu...
  7. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Je Mwanamke anajua kutumia pesa kuliko mwanaume

    Wanawake wanajua kunitumia pesa kuliko kunitafuta pesa kuliko kuitumia na hapa ndipo mahali AMBAPO MUNGU alifanya mwanaume kulazimika kuwa na mwanamke kwenye maisha yako ila pia KWENYE KUZALIANA mwanaume hupoteza pesa nyingi sana kwenye kutumia kuliko mwanamke na wakati mwanamke hupoteza pesa...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

    Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi. Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma ya yule dada?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuoa mwanamke Bikra

    Habari zenu wanajukwaa, Leo ningependa tuongelee kuhusu hili swala la kuoa wanawake Mabikra katika story zangu nikiwa kijiweni na Marafiki zangu nawambia kwamba nataka kuoa mwanamke ambaaye ni bikra wengi huwa wananipinga na wananiambia swala la mimi kuoa mwanamke bikra ni ngumu haiwezekani...
  10. RedPill Prophet

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kumbuka we ni wa thamani

    Wanaume, kumbukeni kwamba ninyi ni tuzo. Usiruhusu mwanamke yeyote akufanye ujihisi mdogo. Hapa kuna baadhi ya sababu tano za kukukumbusha thamani yako: 1. Ukweli kwamba mwanamume anaweza kuoa wake wengi katika tamaduni fulani inaonyesha kwamba wewe ni wa thamani. Kinyume chake, wanawake kuoa...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa kuna mwanamke anaweza kuona pesa mumewe aliyoisahau kwenye suruali akamrudishia?

    Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂 Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuna tafsiri yoyote ya kikubwa pale mwanamke anapokuambia kuwa kuna watu wanasema unatembea nae?

    Imetokea jana. Dada ananiambia kuna hutuma dhidi yetu hapa mtaani. Anasema ameshutumiwa muda mrefu sana lakini aliamua kupotezea tu ila alipanga kuna siku atapata sababu ya kusema na siku yenyewe aliyoipata ni hiyo jana. Najibu nini' kwenye jambo kama hili? Msaada tafadhali.
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho! Nilimpa mwanaume mtaji akaniacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine

    MREJESHO; NILIMPA MWANAUME MTAJI AKANAICHA NA KWENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE! Kila kitu kilikua kizuri, tulipanga kuhusu kuoana. Wakati namaliza chuo nilikua na pesa yangu kama milioni tatu hivi, hizi ni pesa ambazo Baba yangu aliniwekea kwenye akaunti tangu nasoma, alipofariki basi sikuzitumia...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

    Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect Learn or perish
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

    Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab --- Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli intelligence sources said last night. The architect of the October 7 atrocities was already a target on...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa mnamuelewaje mwanamke anayekwambia simu yake imetumbukia chooni

    Kuna mwamba juzi kadai wanawake wa siku hizi hard ware safi ila software zero ni kweli. Mtu hajapatikana hewani siku kadhaa ukimuuliza eti simu ilitumbukia chooni Nguo nyingi za wanawake hazina mifuko je simu inatumbukiaje chooni? Je kwa nini uende na simu chooni?au huwa mnachat mkiw chooni...
  17. Red shadow

    JamiiForums Tanzania “Ndoa ilivunjika kisa mwanamke aliolewa na Down low”

    Katika kupita pita ofisini nimekutana na story ya lecturer mmoja alikuwa anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita. Sasa ile naingia ofisini nikakuta mateacher wanaongea kuwa ndoa ilivunjika kwasababu mumewe alikuwa ni down low….. Mwanamke yakamshinda SASA sijaelewa hili neno...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mwanaume haupaswi kumfanyia mwanamke

    1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake 2. Usimuanzishie biashara, bali anzisha biashara na umwajiri 3. Usifanye uhalifu au deal yoyote illegal ili umridhishe mwanamke kwa kibunda 4. Usiweke mahitaji na matakwa yake kabla ya yako. Jitangulize na jipende wewe kwanza. 5. Usiitelekeze...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato zingatieni hiyo amri kuwa mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke!

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizo ni picha halisi hakuna iliyotengenezwa Niwatakie Usiku mwema
  20. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

    Binafsi nimebahatika kuwa na mahusiano ya kawaida na akina dada/mama na katika simulizi za kweli za baadhi yao hapa ningependa ku-share nanyi baadhi ya visa hivyo kama ifuatavyo: Wa kwanza: Huyu dada aliwahi kuwa girlfriend wa nabii mmoja maarufu nchini mwenye kanisa lake njia ya kuelekea...
Back
Top Bottom