mwanamke

  1. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke haoni shida kuacha familia yake kuja kuishi na wewe mwanaume, Vivyo hivyo anaweza kukuacha na kwenda kuishi na mwanaume mwingine.

    Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe. Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad...
  2. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

    Binti ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa, Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka mwilini mwake imeandikwa I 💕 love you John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke...
  3. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Wakuu unaweza kuoa mwanamke mwenye chale ?

    Nimekutana na hii ishu na tuko lala salama kufunga ndoa takatifu sas Leo nimebaini mwezangu ana chale kifuani, kwapani kiunoni Nilitafakari sna kwa vile sijawai kukutana na huyu mwanamke mchna ina Usk tu ndio tunazangamuana sas wakuu hz chale zinanichanganya sna nais ni mshirikina au wazaz...
  4. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Sijisifii ila mwanamke nitakayemuoa atakuwa amepata bahati tu

    Mimi sijipakulii minyama ila huyo mwanamke atakuwa kapata bahati sana Mimi sio mlevi sana, naheshimu mawazo ya watu, sikasiriki ovyo najitambua mno, simyenyekei mtu kisa ana pesa Wala mamlaka Naamini kwenye ukweli hata kama Tanzania nzima itasema uongo sintoungana nayo . Mungu anipe pesa za...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

    Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake. Kinachonishangaza ni mwanaume kutaka Fatma Karume asizingatiwe kwa haki sawa wakati yeye ndiye aliyechangia zaidi katika...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wakuoa mwenye yupo tayari kua mke

    Hodi humu ndani. Naitwa Johnson mwenye umri wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri miaka 35 nakuendelea, Ambaye tayari ashamaliza mambo ya ujana. Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo na mwenye kiu ya kuatamia maono nakuyafanya yawe kweli. Njoo inbox tuyajenge.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu ukiona Mwanamke anakubali kuwa 'Kijumbe' pale akiombwa na Wadau jua yafuatayo

    1. Wameshamuona hana la kufanya 2. Wameshamuona ni Mbivu 3. Wameshamuona ni mpenda Raha 4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi 5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili 6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani 7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe...
  8. PSL god

    JamiiForums Tanzania Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyeolewa isipokuwa mwanamke huyo amempa ishara kwamba yuko tayari

    Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa kukanyaga mafuta ya urejesho wa mume. Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielimu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa?

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana wa...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  12. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

    Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani. Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu. Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela. Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani...
  13. Mapenzi ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Sio JF pekee itakuunganisha na mwanamke jaribu na nja hii..

    Una kila sababu na kupata umpendao... Pata wanawake wa mataifa mbalimbali na ongeza furaha hapa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Mwanamke kwa Mwezi mzima ana Siku 5 tu za Yeye kupenda 'Kungonoka' na zinginezo huwa anatimiza tu Wajibu kwa Mwanaume wake?

    Kama hii ni kweli Kitaalamu basi huenda Wanaume wengi tukawa tunatimiziwa nao tu Wajibu japo huwa tunajitutumua.
  15. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Sababu 4 zenye kufanya mwanamke anawachukia wanaume pamoja na kuyachukia mahusiano

    Ukiona mwanamke yeyote ambaye anajiita strong and independent woman,super woman, Wakanda forever, mwanamke wa shoka n.k nyuma ya hayo majina kuna maumivu makali sana moyoni ikiwemo msongo wa mawazo, kujichukia,kukata tamaa ya maisha . hivi sasa kuna ongezeko la single mother ulimwenguni kwa...
  16. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni nani?

    1.Mwanamke ni binadamu mwenye anafunguliwa biashara ya kuuza mboga na mumewe halafu kama mume amekosa pesa aambiwe mke chukua mboga tupike anakasirika na kusema mumewe atamfilisisha biashara yake anasahau kua alipewa hyo biashara ndio mume akikosa aweze kumsaidia na ukumbuke pia yeye atakula...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

    https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo...
  18. Head current

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

    Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi...
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke sio zigo

    Hili ni jina la hovyo kabisa ambalo wanaume tumewapa wanawake,ni upuuzi na utovu wa heshima kwa wanawake
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Titanic inazama je utatoa nafasi yako ili umuokoe mwanamke

    Mara kadhaa tumekuwa tukipata kusikia kauli mbiu nyingi kuwa wanawake wana nguvu na uwezo mkubwa katika jamii. Ni jambo ambalo sikatai na kulikubali kwani linaongeza chachu ya maendeleo ndani ya jamii zetu. Ila sifa na mapambio yakiwa mengi tena wakati mwingine yakitumia maneno ya kutusi...
Back
Top Bottom