Hamjambo wote!
Vijana wadogo, huwezi ipuuza Past ya mwanamke unayetaka kwenda kumuoa kwa Sababu past ya Mwanamke ndio future ya Mahusiano yenu.
Kupuuza past yake ni kupuuza future yako.
Zingatia, mtu habadiliki mtu ni yuleyule.
Na ukiona mabadiliko yoyote usiyaamini.
Katika mahusiano ya...
Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake...
Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe.
Kulingana na taarifa ni kwamba mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika ila baadae alipoenda kuziondoa alimpata Jirani yake ameanika chupi zake karibu na boxer hizo.
MAMBO MAKUU YANAYOONYESHA ALIYEMBELE YAKO NI MWANAMKE WA SHOKA. SUPER WOMAN; SIFA ZA MWANAMKE BORA ANAYEJITAMBUA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ni kweli mwanamke Bora,mwema na super woman hutoka kwa MUNGU. Yaani huwezi mpata kwa Njia yoyote bile kupewa na MUNGU. Na hii ndio inafanya...
Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake.
Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa amani siku ya Jumapili, akiwa amezungukwa na familia nyumbani kwake huko Saratoga Springs.
Love...
Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani...
Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha.
Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala akili kuliko ubongo wangu.
Baada ya kuchokana kazi ikaanzia hapo sasa.
Kila kukicha naletewa...
Habari zenu wana nzengo
Katika mahusiano ya kimapenzi, usaliti ni suala linaloibua mijadala mikubwa. Ingawa mara nyingi wanawake wanaweza kujitetea kuwa usaliti wao umetokea kwa bahati mbaya, ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anayefanya usaliti bila kuwa na sababu ya msingi. Mwanamke anapohusika...
Habari za mfungo wa ramadhani na kwaresma.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wasaa kwa kijana wa kiume kamwe usimbembeleze mwanamke anayekukataa. wanawake wengi wanakataa wanaume kuonyesha wao ni wa muhimu na si kitu kingine. kwanza fikiria huyo mwanamke akikubalia kitu gani unagain zaidi...
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako...
Achana na wanawake kijana Wangu, wanawake wapo wengi sana, Haina haja ya kumloga mwanamke ila tafuta hela achana na mambo ya wanawake komaaa na kutafuta hela wanawake wapo wengi, na wewe bado ni kijana mdogo.
Baada ya hapo nikamshukuru sana huyo nikajikataaa.
Oya ndugu zangu achaneni na...
01.Akikukosea anakuomba msaamaha mara mbili, usipomsamehe anakausha, baadae anakuombia unataka kuombwa msamaha siku tatu kwani wewe umekamilika?
02.Mwanamke Ambae anapigia hesabu pesa ambayo hujaipata, ila kwasababu anajua kwa siku unaingiza shingapi anapiga matumizi kabisa.
03.Mwanamke ambae...
Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi!
Mwanamke wa Kitanzania analelewa kuamini kuwa mwanaume ndiye "mkombozi wake" kifedha. Matokeo yake...
Endapo mwanamke atajua ume fall crazily kwa muonekano, status, personallity yake, etc atahakikisha akuweke under control yake, kumaanisha kuwa hatakuheshimu kwa kuwa jembe tena kwa maana umeanguka mtihani wa yeye kucheza na akili yako. Tatizo ni kuwa wanaume tunakuwa naive sana katika maamuzi...
Ukata umewakimbiza wadada wengi, unafuu ndio umewaleta karibu. Wengi wao wamekuwa evolved kutokujali kama yuko deeply connected na wewe as long as una uwezo.
Vijana wengi wa kiume waliokuwa na ukata waliwashikilia kwa dhati wenzi wao na wakawafabya faraja yao kipindi walikuwa hawana chochote...
Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana.
Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake kaona kaolewa.
Kuwafanyia wanawake wengine fake life kupitia mitandao ya kijamii yani wanawadanganya...
Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia.
Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe.
Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni.
Na wewe ndo utakae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.