mwanamke

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kutokana na utendaji marais wanawake Afrika waliopita/wa sasa. Je wanakidhi matarajio ya kuthibitisha USEMI kuwa "MWANAMKE ANAWEZA?

    Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE 1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania 2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia, 3. Ellen Johnson Sirleaf -Liberia 4. Joyce Banda- Malawi
  2. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe

    Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu kwa mwanamke unapoolewa

    1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka 2.Mheshimu. 3.mpe yote kitandani 4.usimufokee 5.usiwe mropokaji 6.mpikie chakula kitamu 7. Uwe msafi 8. Usiwahi shika simu yake. 9.heshimu wazazi wake. 10. Be a...
  4. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Oyaah Mwanaume usife kwasababu ya Mwanamke!!

    Kwenye Bustani ya Edeni mshua adam alikubali kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya ambalo alipewa na mwanamke na akakubali kifo kiingie na mpaka leo TUNAKUFA, Mfalme suleiman alikuwa mtu mkuu lakini wanawake ndio waliua ukuu wake, Samson na wana kibao kwenye biblia walikufa kwa namna tofauti...
  5. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mwanamke ni ipi kwenye mahusiano?

    ✍️Mwenyekiti nimegundua kuwa ukiondoa ngono (sex) kwenye mahusiano mengi ya siku hizi, utagundua kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawana mchango mwingine wowote kwenye mahusiano, totally nothing. Kitu pekee wanawake wengi wanachochangia katika mahusiano yao ni ngono na ngono pekee (sex and only...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni

    Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Utamjuaje mwanamke aliye tayari kuolewa cc B2

    How To Know A Woman That Is Ready For Marriage! Many women are waiting for marriage, but they are not ready for marriage. Some women may have married without these qualities, but it will show in the quality of their marriage. But when a woman is truly ready for marriage, these qualities must be...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyejifanya Msukule akamatwa na wananchi akiiba, Arusha

    Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na nguo, kitendo kilichowashangaza wateja na majirani waliokuwa karibu na eneo hilo ‎ ‎Mashuhuda wa...
  9. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

    Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
  10. Lucha

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa.

    Asalam Alaykum. Nahitaji mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa Sifa zangu Miaka 28 Mrefu Mwembamba Muajiriwa. Sina mtoto. Sifa za mwanamke naemuhitaji Muislam Anaevaa stara. Asiwe na mtoto. Miaka 26 kurudi chini. Asante tangazo hili ni kwa yule tu alie tayari kuingia kwenye ndoa ikiwa...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mapenzi niue: Yule Jennifer aliyekula nauli ya Emmanuel, ahukumiwa Miaka 7 Jela

    Mwanamke mmoja wa Nigeria anayeenda kwa jina la Jennifer, amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo alitumiwa kisha hakwenda eneoo la tukio kuonana na mwanamume huyo. Jen haamini macho yake 🤣...
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanamoyo mgumu , hivi unaoje mwanamke kakuzidi urefu

    Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
  13. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke ni msafi angalia miguu yake

    Take Note.
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Kimaumbile mwanaume ndo alitakiwa kuvaa sketi/ gauni na Mwanamke suruali

    Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na wanawake suruali. Mi nawakubali sana wamasai( shuka), watu wa mashariki ya kati(kanzu) na mashariki ya...
  15. kaputula

    JamiiForums Tanzania Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

    Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbea kwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako. Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ashikiliwa kwa tuhuma za kuua mpenzi wake na wembe

    Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi...
  17. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanamke huanza akiwa na miaka 18, Maisha ya mwanaume huanza akiwa na miaka 28

    Take Note.
  18. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke mrembo unayemuona, ana mwanaume ambaye amechoka kuwa naye kwenye mahusiano

    Take Note.
  19. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

    Jana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume. Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having...
  20. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama ameshafika miaka 30 na kuendelea waachie wazee

    Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua . Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
Back
Top Bottom