mwanamke

  1. Hornet

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

    Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka! Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
  2. josewatano

    JamiiForums Tanzania Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

    Mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
Back
Top Bottom