mwanamke

  1. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa Dar es Salaam?

    Wakuu habari nataka kuingia kweny ndoa Je, vipimo vya ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa dar es salaam na gharama zake zipoje
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni furaha ya mwanaume,na mwanaume vivyohivyo

    Huo ndio ukweli,nami ukweli huo huutumia kwa vitendo,na hata tunaponyanduana na hakikisha tunapeana furaha haswaaaaaaaaaa
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

    Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wahenga wanasema usishindane na mwanamke ni kweli kabisa

    Wanaume ni tofauti sana yani kama kuna maamuzi yako,jambo lako tambua hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukubeba wala kukupa mwongozo. Ila kwa mwanamke yani anapewa muongozo na maamuzi anakupa wewe mwanaume. Tokea ile kauli ya mabeyo na sasa umepata picha kuwa nguvu za wanawake wanabebwa na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke wa namna hii?

    Ninaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu. Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi. Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au...
  6. Llio 002

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha Mwanamke kabla ya kupiga mjegeje?

    Hili swali la je ni salama?, ni Afya na je ni sawa kuutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha BI-AISHA ili kumwandaa Mwanamke kumpokea Abdallah kipara wazi?. Jibu langu kwako ni 👇 Ndiyo, nani sahihi na Ki-Afya ni salama kutumia ulimi kama nyenzo ya maandalizi ya awali (foreplay) kuinua hisia za...
  7. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hanitaki

    habari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari. Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi...
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute pesa,Sura yako sio kigezo kwa mwanamke

    Hoya jamaa kama angekuwa maskini sijui ingekuwaje. Julius Malema with his wife at Victoria Falls .
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kathrine Switzer, Mwanamke aliyebadilisha historia ya riadha ulimwenguni

    Mwaka 1967, Kathrine Switzer aliandika historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushiriki rasmi mbio za Boston Marathon. Wakati huo, iliaminika kuwa wanawake walikuwa “dhaifu” na hawawezi kukimbia mbio ndefu, na hakuna mwanamke aliyewahi kuruhusiwa kushiriki kwa namba rasmi ya mashindano. Switzer...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Usijidanganye kuwa ukioa mwanamke atakuja na baraka ya kipato chako kuongezeka

    Kuna hii imani ya kishirikina kuwa hata kama huna hela UOE kwa sababu mwanamke huja na baraka ya kipato. Ni upuuzi mtupu. Hakuna kitu kama hicho. Usiishi kwa kutegemea miujiza. Jiambie ukweli kuwa unapooa gharama za maisha zitaongezeka kwasababu ya jukumu jipya la kuhudumia mke na baadae watoto...
  12. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Usiwahi tamani kuijua the "darkest" side ya mwanamke wako

    You're not as strong as you think. Uzi tayari
  13. 888I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

    Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂 Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  15. dogman360

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

    Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . . Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
  16. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Maono: nimeona nyumba inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke ikianguka chini na kuwaka moto

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ni maono hayo niliyaona leo usiku Ni huzuni sana Niliona nyumba moja nzuri sana inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke ikianguka chini na kushika moto mkali sana SAYUNI BOY
  17. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuongea na watu huku kashika kiuno ni ushamba na kiburi cha kike

    Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno. Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje? Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno? Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ndo anagombaniwa? Bandari, Gas, Tanzanite, Graphite etc

    Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi, List ya urembo wa mama Tanzania, 1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc 2. KIFUA CHUCHU SAA SITA...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kushiriki mapenzi ya kinyume na maumbile ni kosa kwa mujibu wa sheria

    Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha...
Back
Top Bottom