mwanamke

  1. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Vitu 18 mwanamke anahitaji toka kwa mumewe

    shule@urownrisk THE 18 SIMPLE THINGS A WOMAN WANTS FROM HER HUSBAND 1. Give her your time. Don't make her beg for your attention. Women equate love with time. If she means a lot to you, she should see that expressed by how much time you give her. Come home early. Take her out on dates 2...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mganga Bingwa wa Jadi wa Kimasai, Atimba London-UK, Kupitia Mizimu, Abaini Mauaji ya Kinyama Yaliyofanywa Kwa Mwanamke wa Kimaisai Kumpora Shanga!

    Wanabodi, Utangulizi. Kwanza sii kweli Jarida la Economist kila siku, linazungumzia mambo mabaya tuu kuhusu Tanzania, hii no moja ya ripoti ya jarida hilo, toleo la February 13, 2020,likizungumzia jambo zuri kuhusu Tanzania, jinsi Mganga Bingwa wa Jadi wa Kimasai, toka Masaini nchini ...
  3. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Tunamfanyaje Mwanamke Huyu Wakuu

  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Siasa zilivyomdhulumu mzee Moi mwanamke wa maisha yake

    KILA mwanaume anaweza kupata mwanamke, akawa mpenzi, mke, mama wa watoto wake na wakajenga familia. Hata hivyo, kupata mwanamke wa maisha, inahitaji mwongozo wa Mungu. Kila mwanamke anaweza kupata mwanaume. Atamwita mpenzi, mchumba na hata mume. Mwanamke kumpata mwanaume wa maisha yake, sio...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyevunja rekodi ya kuwa na ndevu nyingi

    Harnaam Kaur wa Slough, Uingereza amekuwa ni kijana ambaye anawavutia wengi kwa rekodi yake. Ameweza kusimama baada ya mika mingi ya kudhihakiwa na kutaniwa na walio wengi kuhusu muonekano wake. Vijana wengi wanavutiwa na uajsiri na moyo alionao kushinda dhihaka za watu hao Alipokuwa na umri wa...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tukitoa tofauti za kimaumbile tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume haipo

    Najaribu kuwaza juu ya tofauti zaidi ya maumbile "body parts" kati ya Mwanamke na Mwanaume siioni. Na kikubwa zaidi ni kwamba tofauti hizi za kimaumbile ni chache sana kuliko maumbile yanayoonesha kuwa Mwanamke na Mwanamume wote ni binadamu na ni kitu kimoja. Tuendelee.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Mimi ni kijana wa miaka 27 nilizaliwa na kukulia ktk mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa ninaishi Dar es salaam namshukuru Mungu alinifanikisha kupata kazi serikalini,kwasasa ninatamani sana kua na familia hivyo ninatafuta mwanamke mrembo mwenye umri kuanzia 20-24 tutakaependana,kua wachumba na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke umri 38-42

    Naitwa Joseph mwenye umri wa miaka 25, naishi Dar, ni mwajiriwa. Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia 38-42, aliye tayari aniPM. NB: Nimeamua nikiwa na akili timamu.
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimwingia mwanamke anakuonea aibu hakuangalii machoni

    Hivi kwann ukimlala mwanamke hakuangalii machoni ? Kwann mnatuonea aibu?
  10. Dusabimana

    JamiiForums Tanzania Je, kuna aliyewahi shuhudia mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake?

    Wanajukwaa habarini za leo! Ninaomba kufahamu kama yupo mwanamke mwenye kipara kati ya kichwa chake, maana nimewahi shuhudia wanawake wenye ndevu tu.
  11. wasumu

    JamiiForums Tanzania Niishi kwa akili ipi kivipi na mwanamke huyu

    Kwa kutopeteza wakati nina mke ila kuna makando makando anayaongea .1.tuna mtoto mmoja ila lawama ni kuwa yeye alikuwa hayuko tayari kuwa na mtoto ivyo nimemuharibia maisha yake .2. Mara anasema tafuta mwanamke mwingine yeye hatak kusex sana kwa mwezi anasema ni mara nne au asifanye hajisikii...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kinyarwanda akiolewa na Mtanzania anakuwa raia wa Tanzania?

    Naomba wataalam mnifahamishe.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Napenda kila mwanamke anayekatiza mbele yangu

    napenda wanawake wote ninao waona napenda nifanye mapenzi nao. Tatizo ni nini?
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dini ya Kiislamu na usawa kwa Mwanaume na Mwanamke: Haki ya Mwanamke katika Elimu | Haki ya kutafuta Elimu

    Chama cha Wanasheria wa Kike Visiwani Zanzibar [Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA)] kimeandaa chapisho linalozungumzia Haki za Mwanamke linaloitwa "Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.AW)" Katika chapisho hilo, inaelezwa kuwa Uislamu umetoa umuhimu kwa binadamu...
  15. KIBESENI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kupata mimba kwa kutumia pedi?

    Binti yangu amemaliza Form 4 mwaka jana. Sasa hivi amepata mimba halafu tukimuuliza hiyo mimba ni ya nani, anasema alipokuwa period alipewa pedi na rafiki yake baada yakutumia akajikuta ana mimba. Najua ananidanganya ndio maana, nauliza. PEDI INAWEZA KUTUNGISHA MIMBA? MIMI SIJUI.
  16. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje mwanamke kudai haki hadharani

    Ni hivi unakuta mwamke anapiga simu kwenye daladala babe mambo mbona hujaja jana namie umeniacha na hamu zangu?? Kweli mkiachwa na wanaume wabaya sasa hapo umesemaje?? Unajiona nivizuri eh kwanini husijiheshimu ?? Wengine mpaka mnaita mashemeji mbele ya kadamnasi shem mbona jana hatukuonana...
  17. Shaddie Kikoti

    JamiiForums Tanzania Maneno: Silaha kubwa ya Mwanamke na jinsi inavyochangia Ukatili Majumbani "Domestic Violence" wakati ingeweza kutumika otherwise

    Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania. Mjadala umechagizwa zaidi na video ya mdau mmoja, ambaye alionekana akimpiga vibaya mke wake, ni mtu ambae...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jessica Cox, rubani mwanamke asiye na mikono

    Rubani huyu alizaliwa bila mikono kutokana na ‘Genetic defects’, haruhusu hali hiyo kumzuia kuishi maisha ya kukata tamaa. Yeye ndiye wa kwanza mwenye leseni ya urubani japo bila mikono Ana mkanda mweusi katika taekwondo na hufanya shughuli zingine kama mtu mwenye mikono yote. Hupiga piano na...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

    Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha 1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati. "Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.” “Mimi mwanaume hanipigi kofi" Katika maongezi ukisikia maneno...
  20. Lizzy116

    JamiiForums Tanzania Sifa 10 za mwanamke mzuri anayekufaa

    1. Kusamehe Ni vigumu kuwa katika uhusiano halafu uwe hauna moyo wa kumsamehe mpenzi wako. Kawaida katika mahusiano, huwa kuna changamoto kadhaa ambazo hujitokeza hivyo lazima uwe na tabia ya kuweza kusamehe. Hii inaweza kuanzia kukosana kwa mambo ya kinyumbani, ama mambo mengine yanayofanana...
Back
Top Bottom