Wasalaam wakuu!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wangu
Wasifu wangu
*Umri -26
*Elimu -Bachelor degree
* Dini - muislam
*Rangi- Mweusi(pure)
*Urefu-Wastani
*Makazi- DSM
NB
Kama kuna kitu cha ziada nitaweka nikikumbushwa (Nikiulizwa)
SIFA ZA...
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8/6/2021 natamani tujifunze kwa kiasi juu ya nguvu za kiroho za mwanamke. Nina uhakika lipo jambo kubwa litakaloeleweka kwa namna tofauti kabisa na ilivyozoeleka.
Dunia inatawaliwa na nguvu katika ulimwengu wa roho inayojidhihirisha katika mawanda...
Zaidi ya watu 100 wamesaini barua kuitaka Kamusi ya Mtandaoni nchini Italia, Treccani kubadilisha kisawe cha neno mwanamke katika kamusi yake.
Kampeni hiyo inalenga kuondoa neno 'puttana' kama kisawe cha neno 'mwanamke' ambalo linatafsiriwa kama 'kahaba' wakidai kuwa linamfanya mwanamke...
Nishatongoza Sana wadada Na bado tukaachana.sikuwahi kufikiria Kama nitakuja kukosa mke wa kuoa kwani wadogo zangu wengi tu wanaishi na wake zao na Wana watoto tayari.labda kwa sababu Mimi nilikuwa shule muda mrefu, nimechagua wengi naona hatuendani.
Mpaka sasa hivi sijapata mwanamke hata mmoja...
Katika mada yetu ya leo tutalijadili tatizo la kukusa hedhi ambalo kitaalamu huitwa amenorrhea. Mwanamke anakuwa na tatizo hilo pale ambapo anakosa hedhi kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo, au msichana ambaye hajaanza kupata hedhi akiwa na umri wa miaka 15.
Sababu ya kawaida ya kukosa hedhi...
Habari zenu wana jukwaa. Ni matumaini yangu weekend imeenda vizuri kwetu sote. Kwa wale ambao weekend haikuwa nzuri kwao kutokana na matatizo ya kiafya basi nawaombea Dua Mungu awaponye.
Nirudi kwenye mada yetu kama inavyojieleza hapo juu.
Nianze kwa kusema kuwa nimekuwa nikikutana na hoja...
Usimtumie meseji za userious sanaa
Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako??? N.k
Hizi manzi huwa hazipendi maswali maswali ,kiuhalisia binadam hapendi maswali.
Nakupa mbinu...
Kuna sekeseke limetokea hapa limenihuzunisha sana, ipo hivi. Kuna jamaa yeye alikua anamchunga sana mke wake, haruhusiwi kutoka bila taarifa ikafikia akamnyang'anya simu kabisa kiasi kwamba mwanamke akawa haruhusiwi kumiliki hata kitochi tu.
Jamaa akajiona YES nimemaliza hamna tena mabaharia...
Habari JF?
Poleni na misiba inayoliandama Taifa letu pendwa la Tanzania.
Nipo safarini mkoa flani, na huo mkoa kuna binti flani alikuwa mpenzi wangu some years ago.
Tumerejesha mawasiliano hivi karibuni, after kumuambia nipo kwenye mkoa husika, ameniomba nisiingie cost bure, badala yake...
Mwaka 2009 ndipo nilianza rasmi ujasiliamali..hii ni baada ya kutoka chuoni na mbaya zaidi na kujigundua mjamzito.
Sipo hapa kuelezea nilipotoka kwasababu nataka privacy na sipend kujulikana kupunguza usumbufu.
Leo nipo hapa kuwatia moyo especially wale wenzangu na mimi wenye ari ya kupata...
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili tuwe wapenzi:-
1) umri kati ya 25 mpaka 45
2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote)
3)mwenye kujishughulisha na chochote
4)muwazi
Naomba ni pm weka namba tuwasiliane.mi nipo dar es salaam,nina miaka 27
Tuliweke sawa hili.
Mimi nasema HAKUNA urafiki wa namna hiyo.
Ukisikia mwanamke anasema ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike, ujue kuna namna anawatumia hao wanaume. Ananufaika big time.
Na wanaume sio wajinga, katika huo urafiki hata ikiwa mwanamke ameolewa au ana bwan’ake ujue wapo...
Naomba wataalamu mnisaidie kumekuwa na maneno mengi kuhusu kufanya mapenzi na anayenyonyesha kwamba utamsababishia matatizo mtoto je kwa mfano inatakiwa kukutana mara ngapi kwa wiki kwa mwanamke anayenyonyesha?
Ukiijua kweli itakuweka huru. Hii ndio kweli hata kama ni ngumu kuielewa.
Ipo hivi, mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu, na hawezi kuvumilia matumizi yako mabovu ya pesa.
Hayo ni miongoni mwa mambo yanayowafanya baadhi ya wanawake waonekane ni viumbe maalum kabisa...
Natafuta MKE wa kuoa,awe mrefu,maji ya kunde au mweupe,mkiristo,mpenda maombi,awe na hofu ya MUNGU,awe anajua kusoma na kuandika,umri kwanzia miaka 21 hadi 31