mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CAG: Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 110, ndani ya mwaka limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpaka leo TANAPA imeshindwa kulipa Madai ya Watumishi, tunaishi maisha magumu

    Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana. Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa. Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tegemea huu mwaka kuvunja rekodi ya vifo vya wabunge na mawaziri wa CCM wanaweza fika mpaka 30

    Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Matosa - Goba, Mwaka wa 3 tunabembeleza kujengewa kalavati, TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
  5. JamiiForums Tanzania Ashinda milion 30 aapa kuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja

    Jamaa kashinda bet kaamua kununua zake bajajj, toyo na boda zake mbili.. anaona maisha kayapatia kishenzi.. anasema tumpe mwaka mmoja tu atakuja kutuajiri kwenye kampuni yake.. watu wazima wanamcheka tu, wanamwambia maisha siyo rahisi hivyo..sasa ninajiuliza dogo amekosea wapi?
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika

    Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano. Hii ni kero, tumejaribu kuwasilisha kero zetu wanasema wanakuja kuongeza transformer Kwa ajili ya kuongeza umeme lakini hakuna...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani waitaka IEBC iachane na teknolojia ya Smartmatic kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027

    Viongozi wa Upinzani Wote wametaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iachane kabisa na teknolojia ya Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao, wakiwemo Kalonzo Musyoka wa Wiper Patriotic Front, Justin Muturi wa DP, na Eugene Wamalwa wa DAP-K, pia waliwaomba Mahakama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simu Bora za Kununua nchini Tanzania kwa Mwaka 2026

    Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB 256) hadi TZS 3,900,000 (GB 512). Kwa wanunuzi wanaozingatia bajeti, mnaweza kuangalia Nothing Phone...
  9. JamiiForums Tanzania Sikukuu ya mwaka huu Forodhani Zanzibar imepoa sana

    Mwaka juzi na mwaka Jana, hapakua na pakukanyaga, yani ilikua balaa hupiti mpaka upenyeze ila mwaka HUU HATA sarakasi unapiga VIZURI TU je, Watu hawana hela au matamko tata ya viongozi wa dini kupishana mitazamo ya siku husika au ndo basi tu
  10. JamiiForums Tanzania Tukio la ujambazi Posta kwenye duka la kubadilishia fedha mwaka 2006

    Dar es Salaam 2006. Afisa akitazama ndizi na damu nyingi chini baada ya tukio la ujambazi. Majambazi waliiba kwenye duka la kubadilishia fedha la Macsoms-Posta, majambazi walikuja na kuigiza kama wauza ndizi, kwanza walimlima shaba mlinzi, mlinzi chali. Kisha wakatumia dk 10 tu kukwapua...
  11. JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  12. JamiiForums Tanzania Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League

    Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich. Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanachuo wa Mwaka wa Kwanza (RADIOLOGY) Chuo cha Nkinga wamekuwa wakilipishwa pesa ambazo washalipa

    Mimi ni mmoja wa mzazi wa mwanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka Chuo cha Nkinga Health Institutes, Igunga Tabora. Kumekuwa na gharama zisizo na tija na kuzijurudia, huko nyuma wanafunzi walilipishwa hela ya field sh Laki mbili ambayo unaingiza kwenye account ya chuo baadaye hiyo hela...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) - Ilala hatujapewa malipo ya kupisha Uwanja wa Ndege mwaka wa tano sasa

    Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo. Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hela za kujikimu kwa Ajira Mpya Buchosa – Mwanza ni kilio tangu Mwaka 2025

    Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tsh. Bilioni 500 zinatengwa kwa Mwaka kwa ‘package’ ya magari ya Viongozi wakati Ambulance ni chache nchini

    FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali. Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43, akiwa mfanyabiashara wa vinyago, eneo la Mwenge, Dar es Salaam, anasimulia kuwa miaka mitano...
  18. JamiiForums Tanzania Kitu gani kikitokea mwaka 2026 kitakufurahisha sana?

    Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL). Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu? Mzee wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Uganda walianza kufanya upasuaji kwa ajili ya kujifungua (C-section) kabla ya mwaka 1879

    Je, hili ni kweli wakuu? By 1879, Uganda was the only place in the world where C-sections were performed to save both mother and baby. European observers documented this practice, which used local tools, herbal anesthetics & antiseptics.
  20. JamiiForums Tanzania Miaka kumi ya ufalume wa Rhymes mwaka 2014 ..since 2004 - 2014

    AFANDE SELE - MIAKA 10. Intro .. Yeah.!! Oooh.!! Miaka 10 Imefika Ya mfalume mimi Imepita viumbe wanakuja wanazaliwa wanakufa wanaondoka shwaa!! Dunia hudumu Daima weweee!! Chuki ya nani? usinitanie.. Wewe.. "Verse... 1. Sasa ni miaka 10 / Tangu niwe mfalume/ Lakini Bado ni mimi / Ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…