mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahojiano na Rais mwisho wa mwaka 2023

    RAIS KWA MASAA MAWILI ANATETEA SERA ZAKE KAMA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI Katika mahojiano mubashara, rais ameamua kuongea na waandishi wa habari wa vyombo tajwa ili kuelezea mikakati anayokusudia kukamilisha bila kutegemea msemaji wa serikali kufafafanua bali kuonesha yeye kama rais anaongea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je umesoma kitabu gani kizuri mwaka huu?. Please share nasi tupate maarifa pia

    Tafadhali Tupia kitabu kilichobadilsha fikra zako au maisha Yako, ulichokisoma mwaka huu.
  3. JamiiForums Tanzania Kimsingi watu wa namna hii wanapaswa kubadirika kabla ya mwaka kuisha!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kuna watu wanakera,wanaudhi na kutia kichefuchefu mno kwenye jamii ya watu waliostaarabika. Moja ya watu wanaokera ni wafuatao:- 1.WAPIGA MIZINGA Hawa wao huwa wanadhani kila pesa unawatafutia wao,badilikeni 2.WAAZIMA NGUO & VIATU Hivi dunia la leo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe Makini mwisho wa mwaka - madukani Vyakula na vinywaji wanauza vilivyokwaisha Muda (Expired)

    Nimekutana na juisi za Zambia zinazouzwa Tanzania hususani Mbeya na Songwe wanauza zilizoexpire. Pia biscuits hasa za nje chocolate zimeisha Muda lakini zinauzwa tu! Wenye mamlaka sijui wako wako wapi Watanzania tunalishwa sumu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Haijawaji kutokea mgao wa umeme mwaka mzima, awamu hii ni kiboko

    Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja. Hii Serikali Sasa ikibidi tu iwashe mitambo ya kifisadi ya IPTL Kwa maana mtu unawezaje kuvumilia Mgao wa zaidi ya Mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Huduma gani imekuwa Kero kubwa katika eneo lako kwa mwaka 2023?

    Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi. Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” limesaidia kuchochea maendeleo ya Afrika katika mwaka 2023

    Mwaka 2023 ulikuwa na matukio kadhaa makubwa kwa bara la Afrika, ambayo yaliangazia njia za kuhimiza maendeleo ya nchi moja moja ya Afrika, na hata maendeleo ya bara zima la Afrika. Katika matukio hayo muhimu China ilitajwa mara kadhaa, na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” lilionekana kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

  9. JamiiForums Tanzania HESLB imewanyima ada wanafunzi wa mwaka wa kwanza kada za afya wanaosoma "Private Universities"

    Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo. Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
  10. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kufungia mwaka

    Nina bajeti ya 6m natafuta kiwanja dar es Salaam kigamboni, madale. Kiwe kimepimwa. Nahitaji kufunga mwaka kwa kishindo.
  12. JamiiForums Tanzania Kwangu huu ndio wimbo bora wa mwaka 2023

    I must confess that nilikua sijui kama kuna rapper anaitwa Lil Durk, But I'm a big fan of Jermaine Cole (J Cole) so involvement ya J Cole kwenye huu wimbo ndio umefanya niupende sana na beti yake kaua kinoma noma. Wimbo umekua national anthem ya dunia zima Beat kali flow za kibabe za Cole...
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mufindi Kusini: Wajumbe wamchangia Fomu ya Urais mwaka 2025 Rais Samia Suluhu Hassan

    MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023 Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile tarehe 16 Disemba, 2023 Amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa kasi ya Aziz Ki muda si mrefu Mayele anaenda kuwa exposed kama Tyson aliyokuwa exposed na Evander mwaka 96

    Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu. Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
  15. JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  16. JamiiForums Tanzania Tangazo la Hija mwaka 2024 kwa wakatoliki. Gharama ni Tsh Milioni 7.

    Kama Tangazo linavyo jieleza.. Shime wakatoliki Tujitikeze kwa wingi kama mahujaji .. Tukiwa tume toka kuupiga mwingi kwa kuchangia Mavuno kwa zaidi ya Tsh Bilion 4.. sasa tujipige mifukoni kwa zaidi ya milion 7 kila mmoja Tuka msikilize Baba Mtakatifu. Tukaone masalia matakatifu. Tukaone...
  17. JamiiForums Tanzania Mwisho wa mwaka taja sifa ya memba yoyote unayempenda na umpe na cheo

    Habari wanajamvi? Tukiwa tumebakiza siku takribani 15 kupindua mwaka, kuongeza thamani ya upendo miongoni mwa member JF. Taja memba yoyote unayempenda mpe na sifa yake na cheo Mimi naanza hapa👇 DR Mambo Jambo Huyu mkuu namuheshimu sana kwa mabandiko yake ya DINI, ananifundisha vitu vingi sana...
  18. JamiiForums Tanzania Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass. Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote...
  19. JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 nakubali nimekwama

    Wakuu natumai kila mtu Mungu wake anampigania kwa imani yake, niende kwenye mada. Huu mwaka pindi unaanza niliweka malengo, lakini ukweli nikuwa "unaweza ukafanya kila kitu kwa usahihi na bado ukafeli vile vile" Mwaka unaisha na mambo yamekwama, sometimes natamani ningekua kuna hela...
  20. JamiiForums Tanzania Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

    Muda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka. Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote? ~ "Mama anaupiga mwingi"🥲
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…