mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2024

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2024 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Ukali wa baridi umeanza kupungua na mwaka mpya kukaribia. Wakati mwaka 2024 umewadia...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoa Hotuba ya mwisho wa mwaka 2023 kwa Wananchi, saa 3:00 usiku

    Leo saa tatu usiku kutakuwa na hotuba ya Mh. Rais Samia. Hotuba ya kufunga mwaka
  4. JamiiForums Tanzania 2024 utakuwa mwaka wa Mapambano kabambe ya Kisiasa, hatutakuwa na Huruma na Mamluki

    Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopambana humu JF na kwingineko kwa ajili ya kupigania haki kwenye Nchi yetu, Nchi ambayo ndimo tulimozaliwa na ndio Nchi ambayo wamo ndugu zetu na huenda tukazikwa humu humu siku zetu zitakapofika mwisho. Si kazi rahisi kupiganiia haki kwenye nchi kama...
  5. JamiiForums Tanzania Naukaribisha Mwaka mpya na zana hii

    Nimesha andaa kitendea kazi changu, nasubiria mida mida nikiamshe. HAPPY NEW YEAR WANAJF
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu; Viongozi wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2023

    1. Samia Suluhu Hassan Huyu ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,pia mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,chama kikongwe na cheye heshima kubwa sana barani Afrika,taarifa zisizo rasmi zinasema chama hiki kina wafuasi zaidi ya millioni 35 ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,kwa mtazamo...
  7. JamiiForums Tanzania Gari ulinunua milioni 10.5 mwaka 2020 halafu leo unataka kuliuza milioni 13.5?

    Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika? Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita? Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na...
  8. JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya mwaka mpya 2024 mwaka wa maongezeko usikate tamaaa

    Tukielekea siku ya mwisho ya 2023 nipende kuwaomba radhi wote niliowakosea humu kwa kujibu vibaya ama kuwaumiza machoo kwa mwandiko mahiriiwakithailogia ulitupa na kama...... bila kuwasahau wale tuliojibishana vibaya tukapatana nanyi nimewasamehe pia aisha kama binadamu nami nimewasamehe...
  9. JamiiForums Tanzania Tunapofunga mwaka ingekuwa vizuri kama afande waitara na samuel kiboye wangepatana

    Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha. Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?" Nawaomba hawa watu watanzue...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtuhumiwa mmoja ashikiliwa na Dawa za Kulevya, Polisi yasema imeimarisha ulinzi kuelekea Mwaka mpya 2024

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Kelvin Amanyisye [19] Mkazi wa Lubele- boda ya Kasumulu kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 13. Akizungumza na waandishi wa habari Desemba 30, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi wa Polisi...
  11. JamiiForums Tanzania Kibiashara, huu ulikuwa mwaka wangu…

    Nimeona tusifunge mwaka na Mimi niweke japo tips kadhaa. Nafanya biashara ya aina moja lakini na source sehemu mbalimbali. Kwa sasa ni China, Uturuki na Nairobi. Hii biashara nilianza kama 5yrs ago ila kidogo kidogo sana na haikuwa ya kwanza nishafanya nyingi. Hii niliamua kuifanya Kwa moyo...
  12. JamiiForums Tanzania Utabiri: Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Sugu atavunja record kwa kupata kura ambazo hakuna mgombea mwingine aliwahi kupata

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge. Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...
  13. JamiiForums Tanzania Tukio gani la Kimchezo hutalisahau mwaka 2023? Tupia picha tulione

    Tukiwa tunaelekea kumaliza Mwaka wa 2023 nawakaribisha wanamichezo wote wa Jukwaa hili tukaribie hapa. Naomba Tuweke Matukio ya Kimchezo katika picha ambayo yametokea kwa Mwaka huu 2023 ambapo tukio hilo hutalisahau. Tukio linaweza kuwa la Football, Boxing, Tennis, Basketball, nk, we tupia tu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Umepanga kuupokea mwaka mpya 2024 kwa style gani?

    Wakuu kwema? Mwaka mpya huo unajongea, umepanga kuupokeaje? Baadhi huwa kwenye viwanja wakiupokea mwaka kwa shangwe, kwengine wakiukaribisha mwaka kwa maombi kwenye mikesha ya dini, wengine wakiwa nyumbani tu wenyewe kwenye utulivu na kutafakari wanayoyaacha na watakayoyaribisha, nk. Wewe...
  15. JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Soma kwa makini hizi Scholarship anza kutuma maombi: 1. Commonwealth Scholarship 2024/2025: https://cscuk.fcdo.gov.uk/about-us/scholarships-and-fellowships/ 2. Queen Elizabeth Commonwealth Scholarships 2024/2025...
  16. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe alisema kuwa mwaka 2023 anang'atuka. Mbona kimya?

    Niliwahi andika hili. Naomba niandike tean. Mheshimiwa huyu anatimiza ahadi yake lini? Pamoja na kwamba aliahidi mwenyewe hata hivyo upinzani unahitaji nguvu na mawazo ya mwenyekiti mwingine. Bahati nzuri akawa ameona hilo yeye mwenyewe na kuahidi kung'atuka mwaka huu 2023. Sasa anang'atuka...
  18. JamiiForums Tanzania 2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola. Siasa siasa za kibiashara tu.
  19. JamiiForums Tanzania Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

    Habari zenu Wakuu, Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU. Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Tunapofika mwisho wa mwaka, haya ni mambo ambayo tunapaswa kujihadhari nayo

    Tunapofika mwisho wa mwaka, inafaa tujadili mambo tunatakiwa kujihadhari nayo tunapokwenda mbele. Nasita sasa kulihusisha jina la Nyerere na mambo ninayotaka kuyaandika sasa. Lakini wote tunataka maendeleo ya kiroho kwa hiyo ni bora tuyajadili mambo ambayo yanaweza kutukwamisha. Ni mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…