mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mwaka mpya, nawahurumia wanawake wa 1990s na 1980s ambao hawajaolewa mpaka leo

    Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs. Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana soko lao ndio hivyo tena lishaisha yani wamechuja.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zote za Afrika Mashariki, William Rutto anamaliza mwaka 2024 akiwa Rais dhaifu kisiasa kuliko wote.

    Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Zipi ni nyimbo maarufu za kuaga mwaka 2024 na kukaribisha mwaka mpya 2025?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, je ni zipi nyimbo maarufu za kuaga na kukaribisha mwaka? mm nafahamu ule wa Abba group, na ule wa huruma kwa wagonjwa, wadau karibuni mtiririke.
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu akiwa Mwenyekiti wa Chadema, ndani ya mwaka mmoja wanachama watamfukuza

    Kumekucha, hata akiingia atafukuzwa na wana chama. Hii ni kauli ya Wenje wakati akihojiwa na wasafi media.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wawili bora kwangu kwa mwaka 2024 ndani ya Simba Sports Club

    Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
  7. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Yapi ni matukio yako makubwa zaidi mwaka 2024 katika nyanja za siasa,uchumi michezo nk.?

    Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Chalinze festival funga mwaka bonanza ndani ya Chalinze, Kikwete agawa vifaa

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

    Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi. kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na...
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania Nawatakia wana JamiiForums heri na baraka ya mwaka mpya 2025!

    Nawatakia wana JamiiForums na Management, heri na baraka za mwaka mpya 2025! Mwaka huu uwe wa mafanikio, furaha, na amani kwa kila mmoja wetu. Ninawaomba uongozi wa JamiiForums iendelee kutunza siri za wateja. Ni muhimu kwa usalama na faragha yetu sote. Tafadhali hakikisheni kuwa taarifa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naombeni Nifunge Mwaka kwa post hii: Spiritual cleansing and Healing (Kuitakasa, kuisafisha na kuiponya roho na nafsi)

    NAOMBENI NIFUNGE MWAKA KWA POST HII; SPIRITUAL CLEANSING AND HEALING (KUITAKASA, KUISAFISHA NA KUIPONYA ROHO NA NAFSI YAKO) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Nataka uuanze Mwaka 2025 roho yako ikiwa Safi umeitakasa ili mambo yako yakuendee. Usijesema Mtibeli ni...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kunywa maji ya kutosha 2025

    MPANGO WA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA MWAKA 2025 Heri ya Mwaka Mpya 2025 Wana Jf! Tukianza mwaka mpya wa 2025, kipaumbele nambari moja, kipindi chote cha mwaka kiwe afya zetu. Tufanye hivyo kwa kuanzia na unywaji wa maji ya kutosha. Sote tunafahamu faida za maji mwilini, lakini ni vipi hatunywi...
  13. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu nilipangiwa kifo, sikufa, akafa mshikaji wangu.

    Kuna Dada mmoja tulikuwa tukifanya naye KAZI kwenye mamlaka moja ya serikali, bahati mzuri au mbaya akahamishiwa Dodoma, hivyo kituo chake cha KAZI kiko huko. Mwaka Jana mwishoni tukiwa kwenye maandalizi ya sherehe za mwaka mpya (ambao ni huu, 2024) akanialika niende kwenye kanisa Lao lililopo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

    Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025. Nawatakia...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 31.12.2024 ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka huu. Nachukua nafasi hii kuomba radhi

    Tunahitimisha mwaka 2024.. Kiuhalisia hakuna kinachobadilika zaidi ya tarakimu.. Maisha yetu yametawaliwa na tarakimu.. Na hizi ndio zinaendesha dunia ya kimwili na ya kiroho pia Tarakimu hazina kinyume(rivasi).. Muda haurudi nyuma.. Hivyo basi siku hii ya huu mwaka haitakaa irudi tena maishani...
  17. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu hawa ndo wanachama bora kwa mwaka mwaka 2024

    Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa . Sitomuelezea Sana maana huyu ndo GOAT wa JF great of all time tangia jamiiforum imeanzishwa huyo ndo mwanachama bora wa muda wote...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1991 jumuia ya Kigurunyembe ilivyokunywa maji yenye uzo wa mtu aliyekufa

    Tukio la kweli. Miaka ya 1990/89 Kuna mwanachuo alipatwa na celebral malaria ilipanda kichwani. Akaenda kulazwa kwenye zahanati ya chuo. Mbaya ZAIDI nesi wa zamu hakumpa sana kipaumbele basi yule mwanachuo akatoka akaenda kujirusha kwenye Mojawapo ya matanki makubwa ya kuhifadhia MAJI...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SALINI HIZI SIKU 2 N ZAIDI YA MWAKA ANGALIEN KIPINDI CHA AJALI CLOUDS TV..MALIZAKO GARI ZILIZOFYEKWA MUNGU TUSAIDIE

    Shalom Wana WA Mungu alie hai Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu tu clouds tv nimesema Asante Mungu kwa uhai wako mm n nani Niko hai mpaka sasa Siohaba kukuomba...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanaume bora lazima umtoe out mkeo na kumnunulia zawadi. Haiwezekani mwaka mzima hujafanya hivyo!

    MWANAUME BORA LAZIMA UMTOE OUT MKEO NA KUMNUNULIA ZAWADI. HAIWEZEKANI MWAKA MZIMA HUJAFANYA HIVYO. HUO NI USHENZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siku 365 na masaa kadhaa Mkeo na watoto wapo nyumbani kama gereza la Kinguruila. Kila siku kupika chakula hapo nyumbani huyo Mkeo hachoki tuu...
Back
Top Bottom