mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchumi wa tanzania kwa mwaka 2025 ulikua vizuri, Tunafunga mwaka na GDP ya $90B

    kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi...
  2. JamiiForums Tanzania Bado siku chache sana tumalize mwaka, ni msemo gani uliokubamba mwaka huu 2025

    Wakuu, niko hapa nasoma comment, ni misemo gani au maneno gani yaliyotrend sana huu mwaka.
  3. JamiiForums Tanzania Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

    Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare. Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna. Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
  4. JamiiForums Tanzania Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

    Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tabora lawahakikishia ulinzi na usalama kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Salaam za X-Mass na Mwaka Mpya 2026

    Wanabodi, Mliokaribu na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kipenzi cha watanzania wenye nia Njema na Taifa tunayempenda, Tunaomba kwa heshima na tahadhima tuweze kupata salamu kutoka kwake za Kheri ya X-Mass na Mwaka Mpya 2026 uliojaa kheri na fanaka tele. Ni hayo tu, tuendelee kumuombea Dua...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Fr. Kitima kwa wanaotaka aondoke TEC, 'Wasubiri, labda nife leo, bado nina mwaka na nusu'

    "Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na nusu" Dr. Kitima. "Kwahiyo uniombee nimalize vizuri kadri ya mpango wa Mungu tufanye kazi ya Yesu...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka 2026 katika numerolojia: Mwanzo mpya na nyota ya matumaini

    Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026: 2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit") Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Unajua ni Faida kiasi gani umepata kwenye Ufugaji wa Kuku mwaka 2025 mzima?

    Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
  10. JamiiForums Tanzania Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

    Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
  12. JamiiForums Tanzania Kutoka Ufisadi hadi Uuaji: Tuwakubalie au Tuwakatilie...?

    Na. M. M. Mwanakijiji Mstari Umechorwa Mstari umechorwa ardhini; wauvuke au wasiuvuke, tuvuke tu tusiuvuke. Matukio yote ya kisiasa ya mwaka huu ambayo hitimisho lake lilikuwa ni Oktoba 29 yameacha ladha yenye ukakasi kwenye ndimi za Watanzania. Kuanzia kutiwa nguvuni kwa Tundu Lissu mwanzoni...
  13. JamiiForums Tanzania Naombeni playlist ya nyimbo za kusindikizia sikukuu ya Christmas & Mwaka mpya

    Miondoko yote. Afrobeats, Gospel mix, Gospel Catholic, amapiano, 3 Step's, R&B's, n.k.
  14. JamiiForums Tanzania (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU), kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna nilichofanya mwaka 2025 cha maana, nashukuru tu niko hai

    Salaam! Huu mwaka 2025 mwanzoni Januari hali niliona itakua vizuri kutokana na jinsi nilivyokuwa napambana na matokeo napata. Baada ya Januari, oh ni mambo yalikua sivyo kabisa hadi mwaka unakata saivi huku nikitazama notebook yangu ya malengo, naona kote 0.0%. Kila nilichofanya, hakuna...
  16. JamiiForums Tanzania Dada yetu mwaka umekata sasa bila ndoa au Tukupe mitano Tena?

    Wewe ni mzuri ndio hatukatai. Una wowo ndio hatukatai. Unanyota kali kila mwanaume anakuulizia na kukuzimikia ndio hatukatai. Kwamba unaenda viwanja vikubwa na watu wazito wenye pesa zao Ndio hatukatai Unajua style zote kitandani na hata ile mpya ya Mafwele kateka tena ni Sawa hatukatai...
  17. JamiiForums Tanzania Tukielekea kufunga mwaka, ni matukio gani ambayo yametokea mwaka 2025 hayawezi kufutika kwenye kumbukumbu zako?

    Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026. Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau. Maoni yenu kwenye comment yataamua huu mwaka ulikuwa baraka au wa laana. Haya twende kazi, nasoma kumment
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

    Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu. Nahitaji pesa, pesa, pesa. NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa Masomo ya Shahada ya Uzamili kwa Mwaka 2026/2027 Nchini Sweden

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI). Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja za utawala...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Je, malengo uliyoweka toka mwaka huu uanze umeyatimiza?

    Kila mwanzo wa mwaka kila mtu anaweka malengo ya kutimiza ndani ya mwaka husika je kwa mwaka 2025 yapi umeyatimiza?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…