"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya..
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
Wanabodi,
Mliokaribu na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kipenzi cha watanzania wenye nia Njema na Taifa tunayempenda, Tunaomba kwa heshima na tahadhima tuweze kupata salamu kutoka kwake za Kheri ya X-Mass na Mwaka Mpya 2026 uliojaa kheri na fanaka tele.
Ni hayo tu, tuendelee kumuombea Dua...
"Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na nusu" Dr. Kitima.
"Kwahiyo uniombee nimalize vizuri kadri ya mpango wa Mungu tufanye kazi ya Yesu...
Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026:
2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit")
Kwa...
Kama unapata changamoto ya Kufuatilia Faida na hasara shamabani kwako au daftari linakuchosha kupiga hesabu nyingi,tumia Fuga App kurahisisha kufahamu faida unayopata au hasara
Pakua Fuga app Leo Playstore Fuga - Apps on Google Play
Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi.
Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
Wakuu,
Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa
Neno ni kutoka Matendo 27:25
"Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
Na. M. M. Mwanakijiji
Mstari Umechorwa
Mstari umechorwa ardhini; wauvuke au wasiuvuke, tuvuke tu tusiuvuke. Matukio yote ya kisiasa ya mwaka huu ambayo hitimisho lake lilikuwa ni Oktoba 29 yameacha ladha yenye ukakasi kwenye ndimi za Watanzania. Kuanzia kutiwa nguvuni kwa Tundu Lissu mwanzoni...
Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
Salaam!
Huu mwaka 2025 mwanzoni Januari hali niliona itakua vizuri kutokana na jinsi nilivyokuwa napambana na matokeo napata.
Baada ya Januari, oh ni mambo yalikua sivyo kabisa hadi mwaka unakata saivi huku nikitazama notebook yangu ya malengo, naona kote 0.0%.
Kila nilichofanya, hakuna...
Wewe ni mzuri ndio hatukatai.
Una wowo ndio hatukatai.
Unanyota kali kila mwanaume anakuulizia na kukuzimikia ndio hatukatai.
Kwamba unaenda viwanja vikubwa na watu wazito wenye pesa zao Ndio hatukatai
Unajua style zote kitandani na hata ile mpya ya Mafwele kateka tena ni Sawa hatukatai...
Wakuu tupo Disemba, zikiwa zimebaki siku kadhaa kufunga mwaka 2025 na kuuanza mwaka mpya 2026.
Ni mambo gani uliyoyashuhudia au umeyapitia na pengine mazuri au mabaya ambayo huwezi kuyasahau. Maoni yenu kwenye comment yataamua huu mwaka ulikuwa baraka au wa laana. Haya twende kazi, nasoma kumment
Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu.
Nahitaji pesa, pesa, pesa.
NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute – SI).
Ufadhili huu unatolewa katika zaidi ya programu 400 za masomo katika nyanja za utawala...
Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂
Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.