mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kitakachokwenda kutokea mwaka 2026 Huu ni Ufunuo kwa Ulimwengu

    Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki. a). Ufunuo Huu ni mbaya kwa makundi yote yenye nguvu duniani aidha yawe ni Taasisi Vitengo, Kampuni ama serikali yeyote inayojihusisha na vitendo hivi au kati ya hivi; 1...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Yoyote asemae huu mwaka sio wa haki kutamalaki ,njoo na utajibiwa

    Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya, kila mmoja kwa imani yake . Rejea kichwa cha habari hapo juu, Yeyote ambae anasema kwamba huu mwaka sio wa haki ajitokeze kwa hoja na atajibiwa. Huu mwaka ni wa haki nyie machawa kaeni mguu sawa mtajua ,hamjui. Mungu kaniambia Mengi ila kubwa sana...
  3. H

    JamiiForums Tanzania NUKUU za Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akilihutubia Taifa Akiuaga Mwaka 2025 na Kuukaribisha Mwaka 2026

    NUKUU za Hotuba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kulihutubia Taifa Akiuaga Mwaka 2025 na Kuukaribisha Mwaka Mpya 2026.
  4. JamiiForums Tanzania Chukua hii kuanza mwaka mpya

    Mikopo ya Ushauri Kila mtaa una wale watu wanaokopesha kila kitu—pesa, nguo, kiwanja, nyumba, gari. Lakini aliibuka mtu mmoja yeye, alikopesha ushauri. Ndiyo. ushauri. Alikuwa anaitwa Mshauri, lakini wengi walimwita tu Mjomba Kichwa. Hakukuwa na kitu ambacho hakuwa na maoni nacho. Ukiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

    Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM. Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
  6. JamiiForums Tanzania Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kulingana na desturi yako unasherehekeaje Mwaka mpya 2026?

    Kila ifikapo tarehe 31 Desemba, sherehe za Mwaka Mpya hufanyika sehemu mbalimbali duniani usiku kwa nyakati tofauti, kutokana na tofauti za saa kati ya nchi na nchi. Baadhi ya tamaduni pia husherehekea Mwaka Mpya kwa wakati tofauti na tarehe 31 Desemba, kwa sababu hutumia kalenda tofauti. Kwa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  11. JamiiForums Tanzania Malengo ya mwaka 2026

    Kwa juhudi na kumuomba Mungu, nina imani mambo haya nitayatimiza mwaka huu 2026. Jua liwake mvua inyeshe inabid niyatimize kwa namna yoyote... 1: Kuimarika kiroho, Natamani kuwa karibu na Mungu wangu zaid mwaka huu kuliko kuliko chchte. Amekua akinionekania kwenye mambo mengi sana hivo...
  12. JamiiForums Tanzania Muda kama huu mwaka jana

    Nilipiga bao pahala...nilikuwa na upwiru balaa,,,nashukuru halikwenda bure...leo nina mtoto mdogo kuliko mjukuu wangu wa mwisho. Sema AMINA.
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  14. JamiiForums Tanzania Raisi feki kwa hii hotuba 2025 kufunga mwaka kama umenifungulia mwaka kwa kunikasirisha kwa kejeli.

    Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote. Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza nchi,umeua,umeteka,ufira,umebaka,umeleta mambo ya ajabu. alafu neno lako unasema "tusitengane kwa tofauti zetu" .kwa hiyo tofauti yako...
  15. JamiiForums Tanzania 2025 ilkuwa mwaka mbaya kuliko hata ule wa wakoloni

    Mwaka uliopita, Watu walitekwa Waliteswa Walipotezwa Walinyanyaswa Waliuawa Walitishwa Walidhalilishwa Walichekwa Walikosa na kupoteza matumaini Waliibiwa fedha, mali, na raslimali hata kura Nchi ilinajisiwa kiasi cha sifa yake kutoweka Ni mwaka wa mikosi na mateso hakuna mfano Watanzania...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Leo na ombi ya mwaka Samia aondoke kwa njia yeyote

    🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Nchi haijawahi kumchoka mtu hivi
  17. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026

    Salaam za Mwaka Mpya toka Taasisi ya Mifupa - MOI
  18. JamiiForums Tanzania Tunapoanza mwaka mpya, tujue, utekaji ni dalili za woga wa wanaojidai wana nguvu wakati ni cowards

    Kichwa cha habari kiko wazi. Nafunga na kuanza mwaka kwa kusema wazi kabisa kuhusiana na kadhia ya utekaji, upotezaji, na mauaji nchini. Japo, watu wanaweza kudhuriwa na kuogopeshwa hata kunyamazishwa, utekaji, upotezaji, na mauaji yatokanayo nao ni ushahidi kuwa wenye nguvu tunaodhani wana...
  19. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
  20. M

    JamiiForums Tanzania baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…