"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Kwenye hotel ya Golden Tulip mjini Zanzibar kuna hafla kubwa ya kusherekea mwaka mmoja wa nafasi ya urais wa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi.
Hafla hii imejumuisha viongozi wakuu wa kitaifa, wastaafu na wengine wengi wakiwepo wananchi mbalimbali, baadhi na kwa uchache Rais mstaafu Jakaya...
Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika.
Lakini sasa...
Tunakimbilia 'December' funga mwaka, kama malengo yako ya kuoa / kuolewa yamefanikiwa, tunakupatia pongezi; kama bado kufanikisha, tunakupa pole pia tunakushauri ujikague na ujirekebishe na usonge mbele. Kupitia uzi huu, jaribu kunadi sera zako ili wale wasiotaka kufunga mwaka wakiwa makapera...
Kwa sasa sio ajabu kumsikia Shabiki anamtolea maneno yasiyo na staha Mchezaji kwa vile tu hajaridhishwa na alivyocheza mechi kadhaa zilizopita wakakosa matokeo chanya.
Kwa mfano Mtu atasahau kabisa kuwa Boko ndiye alichangia zaidi ya nusu ya magoli yaliyopelekea timu yao kuwa Mabingwa wa nchi...
Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba akiwa juu kwa tofauti ya magoli
FACT1
Mwaka jana SIMBA alikuwa na magoli mengi ya kufunga mara mbili...
Ni dada yangu wa tumbo moja.
Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke...
Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea?
Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya...
Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa reg no
Mkataba huu ulitiwa sahihi miaka mitano baada ya kifo cha Archduke Franz Fernand aliyekua mrithi wa Ufalme wa Hungary, Bosnia na Austria, hii ilikua falme moja kabla ya mgawanyiko.
Sababu ya mauwaji ilikua vuguvugu la wanafunzi wa Bosnia waliotaka Bosnia iwe huru kutoka katika utawala wa...
Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi.
Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa...
Kawaida serikali hasa za kidemokrasia zinapenda sana kukopa. Wanakopa na kutumia watakavyo wakijua watakaolipa madeni ni wengine kabisa. Huu ni mfumo mbaya sana kama hakuna udhibiti.
Sasa kwa nchi yetu, je, kuna limit ya kiasi cha pesa ambacho serikali inaruhusiwa kukopa? Au kuna limit kwa...
NAWEKA MJADALA MEZANI:
Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
Katika muda wa mwaka mmoja, wanajeshi wametwaa mamlaka katika nchi tatu kusini mwa jangwa la Sahara.
Wanajeshi wa kikosi maalumu walipindua serikali ya kiraia ya Mali ambapo Kanali Assim Goita alijitangaza rais.
Miezi michache baada ya Kanali Goita kuongoza mapinduzi Mali, wanajeshi walitwaa...
Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo!
Yaaan madogo wangekuwa washachomoka!
Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo...
Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.
My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi...
Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.