mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nina wazo la kufanya hii 'project' kwa mwaka 2022

    Kauli mbiu ni kufanya uzalishaji vijijini, na kuleta mauzo mjini. Kwa yeyote atakayependa wazo langu, anaruhusiwa kulitekeleza; elimu haina mwisho. Nitaanza hivi:- Nitafungua kampuni yenye jina 'Equation x agricultural adventure' Nitatafuta binti wa kazi mpambanaji kweli kweli mwenye cheti cha...
  2. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mwanamke huyu 'aliyejiua' baada ya 'Kufumaniwa' Mubashara na Mumewe ndiyo Shujaa wangu wa Kufungia Mwaka 2021

    Marehemu Anna Shirima popote ulipo sasa hapo Kaburini ulikozikwa Mkoani Kilimanjaro GENTAMYCINE nakutunuku Tuzo ya Ushujaa Uliotukuka kwa Kitendo chako kizuri na cha Kimedani pia cha Kujiua baada tu Kufumaniwa na Mumeo ukiwa 'Unakazwa' na Hawara yako. Wala hukutaka Mambo mengi au kupotezeana...
  3. JamiiForums Tanzania Krismas na Mwaka mpya vinawadia: Misururi ya migari ya kifahari kwenda Kaskazini (Uchagani ) Toka Dar balaa.

    Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na mwisho wa Mwaka? Hoteli za njiani maeneo ya Korogwe hadi Mazinde zimefurika .
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 ni uchaguzi wa ndani wa CCM

    Je, watanzania tuna msimamo gani na mtazamo gani juu ya chama tawala? Tunatarajia nini kwa hali iliyopo kuhusu uhalali wa chama hiki kuendelea kuongoza taifa letu? Mwalimu Nyerere mwaka 1962 aliacha uongozi wa serikali kwa msaidizi wake (Kawawa), akajitoa serikalini na kubaki chamani tu ili...
  5. JamiiForums Tanzania Ndani ya mwaka mmoja, mashirika ya umma yamekopa nje kwa ongezeko la 1024.2% zaidi

    Taarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174) Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aelekeza mambo sita yanayopaswa kufanywa tunapoanza mwaka wa 61 wa Uhuru wa Tanganyika

    Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera. 1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola. 2...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mwaka nini umefanya ukafurahia?

    Jamii forum kwa waliopo Mungu ametupenda na aendelee kutupenda mwisho wa mwaka ndio huo unakatika na sasa inabidi tuulizane kipi umefanya hadi ukikumbuka unafurahia . TUAMBIZANE
  9. JamiiForums Tanzania Moja moja uliyoipenda zaidi mwaka huu(2021)

    Katika mwaka 2021 ni movie gani umeipenda zaidi? Binafsi nimeipenda Dune niliisubiria kwa hamu na haijaniangusha.
  10. JamiiForums Tanzania Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  11. JamiiForums Tanzania Picha ilipigwa mwaka 1950 mjini Karachi, traffic police akiongoza magari

  12. JamiiForums Tanzania Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Heshima sana wakuu, Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021. Najua kwamba wapo wengi walitamani kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni ukweli usiopingika kwamba baadhi yao wameweza kuanza ujenzi, wapo walioishia katikati, wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Lengo la kuwa na saving ya milioni 20 ifikapo mwaka 2022 mwezi Oktoba

    Salaam sana wakuu, Tunamshukuru Muumba wa mbingu na nchi kwa kutufikisha disemba hii 2021 ambapo tunapata nafasi mtawalia ya kutafakari kwa kina malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2021 huku tukijipanga kwa ajili ya mwaka mpya 2022. Binafsi nina lengo la kufanya savings ifike milioni 20 ifikapo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tuambieni Tanzania ilipata uhuru tarehe, mwezi na mwaka gani?

    Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tangu mwaka 2000, Japan imepitia AWAMU 11. Tanzania tunajifunza nini katika hili?

    Kwa mujibu wa katiba ya Japan kiongozi mkuu wa executive ni waziri mkuu. Tangu mwaka 2000, Japan imeongozwa na mawaziri wakuu 11, kati ya hao 8 wameongoza chini ya mwaka 1 na nusu. 1. Yoshiro Mori: 5/4/2000 - 25/4/2001 Sawa na mwaka 1 na siku 22 2. Junichiro Koizumi: 26/4/2001 -...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi wa mialiko ya X mass na mwaka mpya

    Kutokana na ndugu wengi humu kuwa wachoyo sana na walafi, hawataki kualika wenzao hasa mimi kwani eti nakula sana kama mchwa. Hivyo yeyote anayetaka kumualika mtu msimu huu kuelekea Xmass na mwaka mpya basi amtag hapa ili kumpa invitation, siku ya siku cha mtume kifinywe.. 😀😀 Acheni hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini ndani ya mwaka huu

    1) Mie binafsi nimejifunza kusave money 2) Kutomridhisha kila mtu 3) Kufanya kila jambo la maendeo kwa usiri mkubwa 4) Kutokumuamini mtu awe ndugu au rafiki imenisadia sana kupiga hatua 5) Kuongeza vyanzo vingi vya kupata pesa 6) Kuacha umbea sehemu za kazi kwasababu nilirekodiwa maneno...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaojiajiri wamepungua kwa 3.9% ukilinganisha mwaka 2014 na mwaka 2021

    Takwimu zilizotolewa na NBS zimeonesha watu wa umri wa miaka 15 na kuendelea wanaojiajiri(tafsiri ya kitaifa) kwa shughuli zisizohusika na kilimo wamepungua kwa 3.9% ukilinganisha mwaka 2021 na mwaka 2014 Waliokua wanafanya shughuli binafsi zisizo za kilimo kwa mwaka 2014 ni 26.6% ya...
  19. JamiiForums Tanzania Karibu Tanganyika Packers Kawe Desemba 4, 2021 uje ujionee 'Maajabu' ya Kuuaga mwaka 2021

    Huku Mwalimu Mchungaji Mwakasege anaendelea na OKOKA Concert yake na kule EFM Radio wanaendelea na KOMAA Concert yake. Kwa 'Sound' la uhakika lililosetiwa vyema kujiandaa na KOMAA Concert ya EFM Radio Tanganyika Packers Kawe Kesho ambalo nimetoka Kulisikia kuna uwezekano mkubwa 95% ya Waumini...
  20. JamiiForums Tanzania Through Back Days: Watoto wa mwaka 2000 watajua huu mtego wa panya.

    Life is too fast
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…