mvua

  1. JamiiForums Tanzania Wakuu hizi mvua zinaleta ongezeko la Mbu naomba ushauri hasa sisi wenye watoto!

    Nataka mdada mmoja mjamzito niende nae clinic watupe net Mbu zitaniuwa walahi wakuu
  2. JamiiForums Tanzania Je waijua nguvu ya mvua kiroho?

    JE WAIJUA NGUVU YA MVUA ♦️Unajua mvua ni BARAKA ? ♦️Mvua haishukii ardhi pekee bali inashuka na kwenye nafsi pia ♦️Mvua husafisha husda ♦️Unajua kua mvua inaweza kusikia? ♦️Unajua mvua hubeba dua zako? Omba kwa sanna ukiwa ndani ya mvua ♦️Mvua husafisha huzuni zako. ♦️Mvua huosha kile ambacho...
  3. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk. Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia...
  4. JamiiForums Tanzania Barabara za Dar es Salaam kipindi cha mvua zinasumbua sana

    Wakuu tuseme tu ukweli hii nchi bado ni ya hovyo sana, hizi barabara kipindi cha mvua ni mtihani sana hasa ukiwa na gari ya chini! Ukiwa unapita hizi barabara kuu unaweza ukasema mji si ndo huu! Sasa jana nilitoka Kimara nikaenda Tabata, mtaani kwetu kuna madimbwi ila sio ya kutisha kushindwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Stellenbosch imeingia kwenye mfumo, hii tumevuka pia

    Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini. Iwe mvua iwe Jua ni mauaji tu hapa Zanzibar Leo.Dalili zote za maangamizi zimeonekana yaani ni kama
  6. JamiiForums Tanzania Mvua za radi zinapiga muda huu napata picha wanachokutana nacho wakazi wa Gaza

    Mvua za vuli zinazoendelea Lindi usiku huu Toka mchana sio ndogo radi zinarindima sijapata kuona. Ule mngurumo wake na sauti yake MPAka nyumba unahisi inashake ..sasa najaribu ku imagine wakazi wa Gaza ambao sio member wa hamas jinsi wanavyokumbana na mabomu ya Israel Eeh Mungu baba tusamehe...
  7. JamiiForums Tanzania kama unataka kiwanja nunua kipindi hiki cha mvua ulijue eneo vizuri

    usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akagua athari za Mvua Lindi, atoa maelekezo kwa Mameneja wa TANROADS nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili kujiridhisha kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara. Majaliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Miamvuli gani original inaweza kukaa muda mrefu katika misimu miwili ya mvua?

    Ndugu katika mapambano. Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa. Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo weka mwamvuli Toka mwaka jana nmeufungua vyuma vyote vimeachia Kwa kutu. Nyie mnanunua miamvuli gani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mvua ndio uchawi wa simba, mwarabu atakuwa anateleza tu na kulala. Ili Simba avuke lazima apate magoli mapema

    Mvua inanyesha dar Simba wanafurahia
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mvua yakata mawasiliano Dar na Mikoa ya Kusini

    Daraja la Mto Matandu likiwa limekatika tena leo, Jumatatu Aprili 7, 2025, baada ya mwaka jana kukatika kufuatia mvua za El Nino zilizoambatana na kimbunga Hidaya. Pia, daraja la Somanga Mtama limekatika na kukata mawasiliano kati ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini. SOURCE: Mwananchi Digital...
  12. JamiiForums Tanzania Barabara ya banana kitunda wakati wa mvua ni kero

    Kero kubwa madimbwi mengi magari yanaharibika
  13. R

    JamiiForums Tanzania TMA twambie kwanini mpaka sasa Tanga hakuna mvua ya maana ya masika

    Tunaingia mwezi wa nne sasa. There is nothing at all! Hakuna.mbua kabisa, ni manyunyu manyunyu tu. Tatizo ni; nini? kwa utabiri wenu?
  14. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya

    Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki. Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu kupita na kufanya shughuli zao nyingine kutokana na matope, uchafu na mvurugano uliopo...
  15. JamiiForums Tanzania TMA yasema ongezeko la mvua linatarajiwa Aprili 2025

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imesema kwamba katika msimu huu wa mvua za masika, kunatarajiwa ongezeko la mvua katika mwezi wa Nne mwaka huu 2025. Akizungumza na Torchmedia ofisini kwake jijini Dar es Salaam, mchambuzi wa hali ya hewa kutoka TMA, Joyce Makwata, amesema kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu, Basi la Mwendokasi lavujisha maji mvua ikinyesha, abiria waloana

    Abiria wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) maarufu mwendokasi wameelezea malalamiko yao baada ya moja ya mabasi hayo kuvuja maji wakati wa mvua jijini Dar es Salaam. Katika video iliyosambaa mitandaoni, abiria walionekana wakitumia miamvuli ndani ya basi huku wengine wakieleza kusikitishwa na hali...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuelimishwa; hivi radi Zina mchango gani katika mvua?

    Najiuliza itawezekana kweli iwe zipo tu kwa ajili ya kutuhangaisha sisi waogopa radi?!!! Kwamba inajisikia Raha tu kutuona tukikimbilia vunguni mwa vitanda Kila zinapopiga?!! Hapana, lazima zitakuwa na sababu na uhusiano mkubwa na mvua. Elimu yenu tafadhali 🙏🙏
  18. S

    JamiiForums Tanzania Arumeru-Arusha: Mvua kidogo tu umeme umekata, what's this?

    Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
  19. JamiiForums Tanzania Lindi: Kisa kukosa kitanda, Hospitali ya Sokoine yadaiwa kukataa kupokea mwili marehemu, wanyeshewa na mvua

    Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani Lindi - Sokoine kwa lengo la kupatiwa matibabu. Katika Hali isiyo ya kawaida mwili wa marehemu...
  20. JamiiForums Tanzania Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…