mvua

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelaaniwa. Eti Treni inasitisha Safari sababu ya Mvua. Mvua zipi?

    Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege. Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni? Eti leo Reli inapita ndani ya maji kisa mvua imenyesha. Mbona pale Buguruni reli inapita juu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Abiria SGR wasota stesheni, Mvua zakwamisha safari za Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha nchini. Akizungumza na Swahili Times, Afisa Habari wa TRC, Fred Mwanjala amesema kwa sasa mafundi wako eneo la tukio...
  3. R

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia Je...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Pwani ina laana ya mvua, imegoma wakati bara mvua zinanyesha?

    Msimu wa Christmas huwa ni mvua Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyeshewa, maji yamelowana

    Kuna kitu kinaitwa combustion! Halafu kuna combustion chambers! Piston rings kwenye engine zikilegea engine itapiga kelele na kukosa nguvu .. Kwa maana ya kwamba combustion haitafanya kazi vizuri.. Lakini pia engine kukosa nguvu na kupiga kelele huchangiwa na mengi ikiwemo oil seal, oil...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Morogoro mvua zinanyesha, kama huna safari ya ulazima kwenda Lindi na Mtwara tulia

    Inajulika miaka mingi mvua zikianza kunyesha ukanda wa Morogoro kwa wingi wanaodhurika na maji ya mvua hizo ni wakazi wa wilaya za Liwale na Kilwa, mkoani Lindi. Kuna wakati mvua zinasababisha barabra kuu ya Mtwara-Dar kufungwa kutokana na kukatika kwa madaraja eneo la Somanga. Sasa kwa mvua...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuna vyanzo vingi vya maji ila mawaziri wanakwambia kisingizio mvua 😁

    Wanasema ndugu zangu waislamu kutembea ni elimu ni kweli kabisa ila tuliopo nao hawa watawala wamekwenda kupiga picha. Kuna nchi ukienda unaweza kujiuliza wanaishi vipi wakati mimi nilipotoka kuna kila kitu. Nchi yetu ndio ufahamu pesa zinaingizwa mfukoni na mpaka leo bila msaada wa wale...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka mtegemee mvua ndio shida za maji ziwe solved?

    Kwa machawa utasikia "mama kafanya" haya mwambieni kuhusu maji. Hakuna Dar es Salaam wala mikoani ni yale yale tena kanda ya ziwa ndio kabisa yani shida ya maji ni mgao. Wizara inapitisha bajeti kubwa ila uwezi kuona inafanyia nini zaidi ya kutegemea mvua. Hivi kama nchi ina vyanzo kila kona...
  9. W

    JamiiForums Tanzania TMA: Kuanzia Desemba 11 mvua zitaanza kurejea Tabora

    Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
  10. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Wanaotudai 107T, wamezuia misaada. Tukawashikia kiuno tukawahoji kwa dharau 'who are you?' Anayetupa kuishi kazuia mvua

    Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo. Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana. Usiku wa oct 31...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aiseee mbona hii ndio huwa miezi ya mvua na kibaridi flani hivi ila Hali NI kama jehanamu duuh

    Hii kit ina kimbia 30+ plus week kama ya tasty hivi
  12. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Ludewa zimesahaulika sana, mvua kidogo tu tayari hazipitiki na leo magari yamekwama huko

    Wakazi wa Luponde halmashauri ya mji wa Njombe na watumiaji wa barabara ya Njombe - Ludewa wameiomba serikali kufanya marekebisho ya muda mrefu ili kuondoa adha ya magari kukwama wakati wa kipindi hiki cha mvua. Wito huo umetolewa na baadhi ya wakazi wa Luponde akiwemo Colbina Mligo ambapo...
  13. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY (RUCU) wajiandaa kwa Mahafali mvua yatishia Majoho!

    Salama wakuu Leo hii tarehe 21 November. RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY hapo Iringa Wana jambo Lao pale, graduation ya kukata na shoka sasa kwa bahati mbaya kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha naona kabisa shughuli kuharibika. Band maarufu kutoka Los Angels Marekani inayopiga mziki wa Hard...
  14. S

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Je, mvua kunyesha wakati jua linawaka ni ishara ya kuwa simba anazaa? Ama uhalisia ukoje?

    Wakuu Nimekumbuka ile dhana ya muda mrefu kuwa mvua ikinyesha basi ni ishara kuwa simba anazaa huko porini. Je wewe ulisikia nini kuhusu jambo hilo? Na je uhalisia ni upi?
  15. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Ewe MUNGU ijaze Tanzania mvua kesho ubao usome 0_0 si kwa wakutoka Wala wakutiki

    Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni inaweza kutuliza vishindo vyote vya binadamu. mvua ni baraka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Niwakumbushe mabomu ya machozi hayafanyi kazi kwenye mvua

    Ndugu wa Tanzania jiandaeni na Maandamano, ikitokea mvua mjue ni baraka.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC afika eneo la Mtemi Beda, asema ujenzi wa Barabara na Daraja ulikwama sababu ya mvua, Mkandarasi amerejea ‘site’

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda Kitongoji cha Milala Shongo Kijiji cha Milala, ufafanuzi umetolewa sababu ya kukwama kwa mradi huo...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mvua za rasha-rasha zimeanza kunyesha huko Tehran,Iran “Yajayo Yanafurahisha”

    Kuna taarifa za kuaminika mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imesikika kwenye mitaa ya Tehran, Tunasikia wanaume wameshaingia huko ku Test Mitambo “ Yajayo yanafurahisha”
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Huu sio uchawi jamani, ni hali ya kawaida kabisa radi kupiga kukiwa kukavu kabisa, hamna mvua wala mawingu.

    Radi inaweza kupiga hata kama hakuna mvua inayoonekana mahali ulipo, na hali hii huitwa "dry lightning" (radi kavu). Hii hutokea kwa sababu: 1. Radi hutokea mbali na mvua: Radi inaweza kusafiri hadi kilomita 10–15 kutoka kwenye mawingu yanayotoa mvua. Unaweza kuwa kwenye eneo kavu, lakini...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini misimu/vipindi vya jua huwa vinakuwa virefu kuliko vya mvua?

    Jua linawaka miezi mingi zaidi kuliko mvua, science inalielezaje hili?
Back
Top Bottom