mvua

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rain coat and soft suit (koti za mvua)

    Linda mwili wako dhidi ya mvua na mazingira magumu ya kazi. V Inafaa kwa construction, site, workshop & outdoor work V Material imara na rahisi kutumia V Husaidia kukuweka salama na kavu wakati wa kazi Bei 35000/= kwa mawasiliano 0612630936 mikoan tunatuma pia
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Nimewasikia baadhi ya viongozi wa dini wakiandaa maombi ili Mungu aepushe madhara ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa neema hii na tujenge miundombinu bora na tuvune maji ya kutosha kuepuka uhaba wa maji na kufanya kilimo cha umwagiliaji kipindi cha...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mvua huko kwenu vipi , ukame ulizidi. Huku inanyesha sasa hivi

    Huku mvua inapiga vema. Hapo ulipo vipi?
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na mvua za El-Nino

  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe azitaka Wilaya, Halmashauri zote kujiandaa kukabiliana na athari za Mvua za El Niño

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezielekeza Wilaya na Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafanya kazi ya kuzibua mitaro na mifereji ya maji ili kujiandaa na kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua...
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na genye 😏 - tuzogoe!

    Hili swala la mvua zikiamsha na mwili nao unaamsha limekaaaje? Je, wewe huwa unajisikia hamu zaidi ya tendo hali ya hewa ikiwa imepoa au kuna mvua? Jambo gani ushawahi kufanya sababu ya hizi mvua, kila ukikumbuka unacheka tu? Kuna sayansi yoyote nyuma yake au ni nini sababu?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dalili ya mvua ni mawingu

    Tayari! One can precisely guess the outcome. Hawezi kuandika ukweli au uongo aliousikia. Naishia hapa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema mvua za kwanza ni za kupandia. Majira yamebadirika, subiri ,mvua za kwanza usipande, sikilizia.

    " vimvua" vilianza August, mpaka leo September hakuna mvua ya maana ya kupanda mazao. Hivyo majira yamebadirika. Ushauri wa Nyerere does mot hold any longer! Ila tayarisha mashamba
  10. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

    Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Makambako izibue mitaro ya maji machafu kabla mvua hazijaanza

    Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika? Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa usafi/uzibuliwaji. Mfereji huu upo Mtaa wa Mjimwema, eneo la njia panda ya barabara inayoelekea...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania TMA: October kuna mvua za El Nino zinakuja

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa zinazohusishwa na hali ya hewa ya El Niño kuanzia Septemba na kuendelea hadi Oktoba, Novemba na Desemba 2026, huku athari zake zikitarajiwa kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2027. Akizungumza na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

    Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa...
  15. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu upinde wa mvua

    Kwa masikitiko shet'ani anatumia kila kitu kinachofanana na Mwenyezi Mungu ku 'brain wash' kizazi cha sasa. Kwa imani mbalimbali upinde wa mvua ni Agano kati ya Mungu na wanadamu,,,Rastafarian na hata Wakristo,,,,,, (Mungu hataiangamiza dunia kwa gharika), Sunday school kulikuwa na mafundisho...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani

    Jiandaeni kwa El Niño. Taarifa za hivi karibuni kutoka World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani, jambo ambalo linaongeza hatari ya matukio makubwa ya hali ya hewa katika miezi ijayo. Ingawa...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria inayosimamia matumizi ya maji ya mvua?

    Wakati ubinafsishaji umepamba moto Bolivia walibinafsisha DAWASCO yao kwa kampuni ya France. Kampuni ikapiga marufuku wananchi wa mji kukinga maji ya mvua. Ilisema hayo ndiyo yanaingia ardhini na kwenye vijito ambako wao hukinga. Wananchi waliandama na kampuni ikafurushwa. Juzi kati kuna jiji...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Goba Center karibu na Shule ya Living Minds ikinyesha mvua Mtaa unageuka kuwa Mto

    Msimu huu wa mvua sisi wakazi wa Goba tumekutana na changamoto kubwa ya ubovu wa miundombinu. Mtaa wa Bonde kati ya Shule ya Living Minds/Kanisa la RGC na Matosa umeharibika kabisa, magari ya shule asubuhi yanapata changamoto kupita, watembea miguu wanazama matopeni na bajaji hazipiti kabisa...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Mvua, Greed ama Negligence?” a 8-Storey Building Collapses in Oloolua, Workers Feared Trapped Under Rubble

    Residents wa Oloolua, Kajiado North walikesha kwa hofu na majonzi baada ya jengo la ghorofa nane lilokuwa linaendelea kujengwa kuporomoka usiku wa May 8, 2026. Mashuhuda wanasema waliisikia sauti kubwa kama mlipuko around 11PM before sehemu kubwa ya building kuanguka ghafla, burying workers...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
Back
Top Bottom