mvua

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kisemvule (Kitunda) ni mbovu kupita kiasi

    Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Je, maji ya mvua huwa yanaweza kuharibika muda mfupi baada ya kukingwa kutokana na bakteria

    Wakuu Nimekuwa nikikutana na madai kwamba maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya kuchotwa. Naomba kufahamu ni kwa nini maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya siku kadhaa baada ya kukingwa,na pia huku mitaani kwetu tunayawekea chumvi kidogo kwa iman kuwa hayata haribika,je ni kweli chumvi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kiluvya Makurunge: Barabara zinachongwa bila kujazwa kifusi wala kujenga mitaro. Wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi

    Kero ya bara bara Kiluvya Madukani kwenda Kiluvya Makurunge ni kubwa sana kwa wakazi na wawekezaji. Eneo hili ni asili ya udongo mfinyanzi, wakati wa mvua ni changamoto kubwa kwa wakazi licha ya ahadi ya viongozi kwa muda mrefu kuwa wataweka lami ila wakati tunasabiri ahadi hiyo kwa muda sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Wahenga mtakubaliana na mimi 100% kwamba miaka ya nyuma mvua zilizokuwa zikinyesha Dar es salaam hazikuambatana na radi hata kidogo. Tulizoea kusikia matukio ya radi hasa huko Kigoma, Shinyanga, Tabora na mikoa mingine ambako matukio ya watu kuuliwa na radi yalikuwa yakiripotiwa mara kwa mara...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Buti ni kama tiketi ya kuingia Soko la Mabibo kipindi cha Mvua, ahadi ya ukarabati wa Manispaa ya Ubungo umeota mbawa?

    Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendelea kuwa katika hali mbaya licha ya kuahidiwa kufanyiwa maboresho makubwa ambayo yangeweza kutatua kero zilizokuwa zikilalamikiwa kwa muda mrefu. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilitoa taarifa ya...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara Ipole – Tabora ni mbaya hasa mvua ikinyesha

    Hiki ni kipande cha Barabara inayotoka Ipole – Tabora kuelekea Mbeya, hali ni mbaya sana, wananchi tunateseka kwa kushindwa kupita kwa utulivu. Kuna muda abiria tunalazimika kushuka ili gari liweze kupita na kuvuka mashimo yaliyopo hapo hasa nyakati za mvua. Serikali ifanye kitu kuhusu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mvua ukanda wote wa Pwani isipokuwa Tanga

    Kuna laana kubwa Tanga. Nchi nzima inanyesha mvua isipokuwa Tanga, hasa mjini na viunga vyake ....all surrounding villages within Tanga City planned areas! Tangu last year June untill now! Soma pia TMA toeni sababu kwanini mvua Tanga hakuna tangu mwezi wa 7, 2025
  8. JamiiForums Tanzania MVUA KUBWA DAR: Tujuzane hali ilivyo maeneo yetu ili tuwe na taarifa za TAHADHARI

    Mvua kubwa Dar imeanza kunyesha usiku mkubwa kwenye saa 7 hivi Tujuzane maeneo ambayo yameathirika na mvua hii ili mamlaka zijue pa kwenda kutoa msaada wa haraka ikiwa utahitajika
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua Zaharibu Mabomba: Estates 15 Nairobi Wakosa Maji Baada ya Mafuriko

    Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi Flood Tragedy: Mvua Kubwa Yaua 23, Mali na Magari Yasombwa na Maji

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Nairobi imeleta maafa makubwa baada ya watu 23 kuthibitishwa kufariki kufuatia mafuriko yaliyosomba baadhi ya maeneo ya jiji. According to emergency reports, zaidi ya magari 70 yamesombwa na maji huku nyumba na biashara nyingi zikiharibiwa na mafuriko. Rescue...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi ikiwa imefunikwa na maji baada ya mvua

    Eti baada ya Wakenya kusema Nairobi ni jiji kubwa kuliko Dar ila imekosa bahari tu, Bahari imeamua kwenda kupiga kambi mjini kwao.
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Agnesta Kaiza: Jimboni kwangu Segerea, mvua zikinyesha barabara nyingi hazipitiki

    https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mvua huko vipi?

    Msimu ndio huu! Kuna matumaini ganinya mbua, hasa ukanda wa Pwani maana ndiko kuna shida kubwa ya mvua.
  14. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi Mvua za Masika imeanza kunyesha huko Tehran Iran

    Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran. Kufikia asubuhi hii ameangamizwa Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa sana inanyesha Dar sasa hivi

    Nipo mbezi Louis aisee hii mvua inayonyesha ni balaa
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbamba-Bay - Liuli/Kiagara kipande cha 2 km bado ni sehemu korofi wakati wa mvua

    Barabara ya mbamba-bay to Liuli/Kiagara(apo ni Lipingo) kipande cha km mbili na pointi ni miaka mingi sasa bado ni sehemu korofi sana wakati wa mvua
  17. JamiiForums Tanzania Njombe: Mvua na upepo mkali vyabomoa na kuezua nyumba tano Makambako

    Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
  18. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Morogoro msaada: Huko mvua zinanyesha au DAWASA wanatugeuza wajinga?

    Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini. Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
  19. JamiiForums Tanzania SGR sehemu kubwa ikitokea mvua kwa ujenzi huu mtapokezana mawaziri kuongea kutetea

    Kiufupi unajifunza kutokana na mazingira na kufananisha. Huu mradi wamelipua sehemu nyingi sana njia za reli ni kama pesa imepigwa sana. Mikoa korofi kama morogoro mvua zikinyesha lazima kufunga njia nyingi za usifiri. Je wanajua shida nini.?. Serikali inapeleka wasanii nchi za nje kwa kipi...
  20. JamiiForums Tanzania Mvua siku 3 tu hiyo SGR yetu imesombwa na maji

    Tukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini. Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…