mvua

  1. Kifwimbo

    JamiiForums Tanzania Natia nia ya kugombea uongozi kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    🖐NAMI NATIA NIA🖐. Nianze kwa kuwapa pole ndugu zetu wa mikoa ya Lindi,tabora,Dodoma na maeneo mengine ya nchi kwa maafa ya mvua zilizopita kiwango na kusababisha maafa pole sana Ndugu zangu mwenyezi Mungu awatie nguvu na kuwapa subra katika kipindi hiki kigumu. Najitokeza hadhari mbele ya...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mvua zaendelea kuleta maafa katika maeneo mbalimbali Nchini, TMA watoa tahadhari kuwa mvua hizi zitaendelea maeneo tofauti

    MVUA zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali zimesababisha maafa makubwa ikiwemo watu watatu kupoteza maisha na watu zaidi ya 661 katika vijiji zaidi ya sita wakikosa makazi ya kuishi katika mikoa ya Lindi na Iringa. Pamoja na hayo, miundombinu ikiwemo madaraja na mashamba ikiharibiwa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 46 wafariki kafuatia maporomoko ya ardhi yalaiosababishwa ba mvua kali Brazil

    Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu. Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Brazil. Kiongozi wa kitengo kinachohusikana na usalama wa rais katika eneo la...
  4. sadi msita

    JamiiForums Tanzania Mvua ya ajabu Gairo

    MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine. Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa mikoa minne Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ( TMA) imetoa tahadhali ya mvua kubwa itakayonyesha katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na kusini mwa Morogoro leo Jumatano Januari 22, 2020. Pia, TMA imetoa tahadhali ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mvua ya mawe kubwa kuwahi kutokea duniani

    Mwaka 2017, Shirika la hali ya hewa duniani (WMO) lilitangaza mvua kubwa ya mawe kuwahi kutokea duniani. Baada ya uchunguzi wa kina, ilionekana mvua iliyowahi kutokea Uttar Pradesh, India, tarehe 30 April 1888 ndio mvua kubwa kuwahi kutokea duniani, na ikaingia kwenye rekodi ya dunia ya...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa na radi jijini Dar es Salaam na Pwani yote. Mtaani kwako kwema?

    Unaweza kusema ndio mvua kubwa tangu tuanze mwaka 2020 na imeanza kwa kasi kubwa tangu saa kumi usiku na bado inapiga, nimepita mitaa ya Mlandizi, Kibaha, Mbezi Mwisho, Ubungo hadi nafika katikati ya Jiji mvua inatwanga tu. Njia zote zimejaa maji na hasa pale Jangwani na maeneo mengi, hii...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mvua zinazoendelea kunyesha zaacha watu 1,000 bila makazi

    Zaidi ya watu 1,000 wamekosa makazi, baada ya nyumba 237 kubomolewa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Dodoma. Wakazi walioathirika kutokana na mvua hizo ni wa Wilaya ya Bahi, huku miundombinu ya barabara ikiharibiwa. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mwanahamisi Munkunda...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Mvua yaua watatu, yakata mawasiliano ya Songwe, Rukwa na Katavi

    Mvua zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Rukwa, zimeendelea kusababisha maafa baada ya kusomba madaraja manne katika barabara kuu ya Kasansa-Kilyamatundu inayounganisha mikoa ya Songwe, Rukwa na Katavi iliyopo bonde la ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga huku ikisababisha vifo vya watu watatu...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kwa mikoa 6

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa angalizo kwa mikoa ambayo itanyesha mvua kubwa leo ikiwemo Singida, Rukwa, Mbeya, Njombe, Songwe na Iringa. Taarifa hiyo imeeleza kuwa kesho Januari 11, 2019 kutakuwa na angalizo la mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Singida, Dodoma, Rukwa, Mbeya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tishio la Upungufu wa Mavuno, Usalama wa Chakula baada ya Mafuriko na Mvua kubwa

    December 30, 2019 Tanzania Hali ya upungufu wa mavuno tishio la Usalama wa chakula Tanzania 2020 - 2021 Changamoto kubwa baada ya mafuriko na mvua nzito zisizo koma kukumba maeneo mengi ya Tanzania ni suala la usalama wa chakula kupitia akiba ya mazao kama mahindi, mpunga, mihogo, ulezi na...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa na upepo katika mikoa 6 kwa siku 5 mfululizo

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mvua kubwa katika mikoa sita bara na baadhi ya maeneo visiwa vya Unguja na Pemba zitakazodumu kwa siku tano kuanzia leo Jumamosi Desemba 28, 2019. Akitoa taarifa kwa umma, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Wilberforce Kikwasi amesema...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mvua yaua watu 3 Mkoani Mara na kusababisha barabara kutopitika

    Serengeti. Mvua kubwa iliyonyesha mkoani Mara nchini Tanzania imesababisha maafa ikiwamo vifo vya watu watatu wakiwamo watoto wawili wa familia moja na uharibifu wa miundombinu. Pamoja na watoto hao, mwili wa dereva bodaboda aliyesombwa na maji wakati akivuka katika eneo la Issenye wilayani...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Barabara inayojengwa ya Mwenge - Morocco imefunikwa na maturubai kuzuia mvua namtafuta Mjapan kwa ufafanuzi wa kitaalamu

    Sehemu ya barabara ya Mwenge - Morocco inayoendelea kujengwa imefunikwa na maturubai kuizua isilowane na maji ya mvua. Ingekuwa ni mkandarasi mzalendo ndiye kafanya hivi ningeanza kupata mashaka juu ya ubora wa hii barabara lakini kwa sababu inajengwa na Wajapani ngoja nimtafute yule rafiki...
  15. J

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mliowahi mjini tujuzeni Jangwani panapitika na mvua hii?

    Msaada kwenye tuta tafadhali. Hali ya barabara ikoje kwa wale mliobahatika kufika Mjini mapema? Nipo Madale naelekea Kariakoo. Mungu wa mbinguni awabariki sana.
  16. Libya

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

    Wasalaam Jamani leo mvua imeanza asubuhi sana na bado inanyesha kama yote wakati huu. Tunaokuja na mwendokasi mjini panapitika Jangwani au ndio imetoka tukutane kesho? ====== TAARIFA YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya mrejeo kuhusu...
  17. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Dar tumia hii mvua ya leo kuwa fursa kwa kuwavusha watu kwenye mifereji

    Sijaandika huu uzi kwa lengo la kumkebehi mtu, Dar kuna mifereji na mito mingi ambayo ikinyesha mvua kubwa kiasi tu inafunga mawasiliano kati ya watu wa huku na kule kwa dk kadhaa. Unajitega unavusha masharobaro kwa jero, buku mpaka mia mbili. Usiache kichwa. Jioni ukiingia mfukoni una 20...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mvua Afrika Mashariki: Vimbunga pacha kupiga Alhamisi, Ijumaa

    Vimbunga viwili vinatarajiwa kutua katika pwani ya Afrika Mashariki usiku wa leo Alhamisi na kesho Ijuamaa, mamlaka za hali ya hewa zinaripoti. Eneo la Puntland nchini Somalia ndilo linalotarajiwa kuathirika zaidi na tufani hiyo. Kwa mujibu wa wataalamu wa hali ya hewa, mgandamizo wa hali ya...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mvua, mafuriko na maporomoko zawaathiri watu milioni 3 Afrika Mashariki

    Kiasi cha watu milioni 3 kote Afrika Mashariki wameathiriwa na mvua, mafuriko na maporomoko ya matope katika wiki za karibuni. Zaidi ya watu 200 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya matope huko Afrika Mashariki tangu kuanza kwa msimu wa mvua, ambao bado haujakwisha. Watalaamu...
Back
Top Bottom