mvua

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kuna maeneo nchini miaka nenda rudi miundombinu ni mibovu, mamlaka hazioni? Mpaka maafa yatokee ndio wachukue hatua?

    Kuna maeneo nchini yana miundombinu mobuvu miaka na miaka lakini serikali wala haichukui hatua. Unakuta barabara mbovu, madaraja yamebomoka nk, lakini ni kama hakuna anayeoona! Ni kwamba wanasubiri maafa yatokee ndio wachukue hatua? Wanasubiri mpaka watu wafe ndio wachukulie malalamiko ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi yale Maji ya Mvua yanayopenda Kutuama sehemu nyingi Mkoani Morogoro hayawezi Kuhifadhiwa kwa Matumizi ya Kipindi cha Ukame?

    Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania KERO Shughuli za kiuchumi Mwanza zimesimama kwa saa 6 kutokana na mvua kubwa na ubovu wa miundombinu. Serikali ikumbukeni Mwanza msiitumie kisiasa tu

    Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa. Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza. Najiuliza mvua hii ikiendelea...
  4. Heci

    JamiiForums Tanzania Avunjika mguu akicheza kwenye mvua uchi usiku.

    Mfanyakazi mwenzangu amevunjika mguu alipokuwa akicheza uchi kwenye mvua. Kisa hiki cha ajabu kimetokea nyumbani kwake Kimara B, usiku wa kuamkia leo mvua ilipokuwa ikinyesha. Jamaa huwa anapenda sana kucheza cheza kwenye mvua, alimtoroka mke wake kitandani, kisha akatoka nje na kuanza...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kati ya maji ya mvua na maji ya chemchemi, yapi ni masafi zaidi?

    Habari waungwana. Eti kati ya maji ya mvua na maji ya chemichemi yapi ni masafi na salama zaidi.
  7. Championship

    JamiiForums Tanzania Christmas haiwezi kupita bila baraka ya mvua, tayari imenyesha mjini mbeya, hapo ulipo je?

    Mungu hajawahi kuacha tusherehekee bila baraka ya mvua kama wale wengine wanavyokaushwa.
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ewe mwenyezi Mungu hii mvua sasa imetuchosha.

    Mungu sikia kilio chetu hii mvua sasa imezidi tunaomba uiondoe KWA amri nguvu na uwezo wako. Amen
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kinyerezi kuna mgawo wa Maji iwe mvua iwe jua?

    Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi? Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kocha Gamond: Ije mvua ama jua lazima Yanga tuwafunge Medeama kesho

    Kocha wa Yanga Miguel Gamond akiongea na vyombo vya habari kabla ya mechi yao na Medeama kesho amenukuliwa akisea "Ni lazima tushinde mechi yetu ya kesho mbele ya Medeama ili tufuzu hatua inayofuata, najua sio rahisi ila tutaweza kesho kupata alama, tumepata alama moja kwenye kundi ila timu...
  11. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mwanza mvua inashuka ni balaa. Wakazi wa mabondeni chukueni tahadhari

    Ni maji kila kona. Mvua imeanza ya nguvu almost masaa 3 sasa. Hali si shwari. Nimeamua kukatisha safari.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tunaitaji kujua sababu ya Mgao wa Umeme hata kipindi hiki cha mvua

    Kama Mtanzania nayeguswa na jinsi wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme ususani kwenye sekta ya wajasiliamali wadogo ( Welding/wanausika na aluminiam, viwanda vidogo vya kushona, saluni za kike/kiume, wachuuzi wa samaki, na wengine kibao) inatia huzuni kwa kweli. Unajiuliza kweli hii shida...
  13. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Kwa hili "Fukuto la Joto" la usiku huu, Dar tujiandae kwa mvua ya haja

    Usiku huu hapa Dar kuna joto lisilo la kawaida... Joto ni kali sana, huku kukiwa hamna kabisa upepo unaovuma... Kwa nijuavyo, kwa hili fukuto la joto, kinachofuata ni mvua kubwa sana.
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Mvua za kujaza mabwawa ya umeme ndo nitabiriwa kuanza kuanzia Desemba 1?

    Tahadhari mvua kubwa mikoa saba nchini Dar es Salaam. Baadhi ya maeneo katika mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Morogoro na Mtwara yanatarajia kupata mvua juu ya kiwango kwa siku mbili kuanzia leo Desemba 1, 2023, hivyo wakazi wa maeneo hayo wameombwa kuchukua tahadhari. Hiyo ni...
  15. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Hivi MWAUWASA wanatuuzia maji ya mvua?

    Habari za mchana huu wana jukwaa? Kuna kitu kimekua kinaendelea kwa muda sasa jijini Mwanza kinanishangaza. Kwa muda mrefu sasa kuna baadhi ya maeneo jijini Mwanza yanapitia mgao mkali wa maji kwa sababu wanazozijua. Kinachoshangaza sana ni kwamba pamoja na kwamba chanzo cha maji ya bomba...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lekaita: Mvua ni Fursa Tuzitumie Ipasavyo

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AWATAKIA WAKULIMA MSIMU MWEMA WA KILIMO KATA YA KALOLENI JIMBONI KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kushiriki shughuli za kilimo na upandaji mbegu katika shamba la Mzee Salum Kabila na kuwatakia heri wakulima na...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  18. Exile

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zimeleta athari katika miundombinu ya umeme

    TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu. Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025

    Mhe. Rais, sisi wananchi kwa ujumla tunakuomba kwa heshima na taadhima iwe jua na iwe mvua tunataka Katiba Mpya kabla ya 2025. Usemi kuwa wananchi wanataka elimu kwanza kuhusu Katiba Mpya usemi huo hauingii akilini mwetu tunataka Katiba kabla ya uchaguzi 2025 ili nchi iendelee kuwa na amani...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Umeweza kufanya shughuli zako vizuri katika kipindi hiki cha mvua?

    Wakuu, Shughuli zako za kila siku zimeweza kufanyika vizuri bila tatizo lolote? Una la kuwaambia serikali kuhusu hali ya miundombinu kipindi hiki cha mvua? Hali iko shwari huko ulipo? Maji yanapita bila shida yoyote?
Back
Top Bottom