museveni

Yoweri Kaguta Museveni (pronunciation ; born 15 September 1944) is a Ugandan politician who has been President of Uganda since 1986. Museveni was involved in rebellions that toppled notorious Ugandan leaders Idi Amin (1971–79) and Milton Obote (1980–85) before capturing power in the 80s. In the mid to late 1990s, Museveni was celebrated by the West as part of a new generation of African leaders. During Museveni's presidency, Uganda has experienced relative peace and significant success in battling HIV/AIDS. At the same time, Uganda remains a country suffering from high levels of corruption, unemployment and poverty. Museveni's presidency has been marred by involvement in the civil war in the Democratic Republic of the Congo and other Great Lakes region conflicts; the rebellion in Northern Uganda by the Lord's Resistance Army which caused a humanitarian emergency; and the suppression of political opposition and constitutional amendments scrapping presidential term limits (2005) and the presidential age limit (2017), thus enabling the extension of his rule.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni ampa zawadi Rais Samia ikulu ya Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati Rais Museveni alipomkabidhi Rais Samia zawadi hiyo baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Museveni kumzika Mwinyi Unguja

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuwasili Zanzibar kwa ajili ya Maziko ya rafiki yake Hayati Mwinyi. Ikumbukwe Museveni na Mwinyi walipata madaraka ya Rais miaka ya 1985/86 Ila mmoja mpaka Leo yupo madarakani
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Museveni asema alikataa ombi la kupiga marufuku mchele wa Tanzania. Adai wakulima wavivu walitaka kutawala soko

    Rais wa Uganda leo wakati akitoa hotuba ya miaka 60 ya mapinduzi amesema aliletewa ombi la kupiga marufuku mchele kutoka Tanzania na kukataa ombi hilo. Museveni amesema wakulima wavivu wa Uganda walitaka kutawala soko. Museveni amesema wakulima wa Uganda wanatakiwa kujua wana ushindani na si...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni aidhinisha fungu la Tsh. Bilioni 332.5 kwaajili ya Wabunifu wa Teknolojia, Afuta Kodi kwa Wabunifu Wafya

    Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko la Teknolojia. Kwa upande wake Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu Dk Monica Musenero...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museveni akiwa na umri wa miaka 79 na miaka 37 ya Urais wa nchi ya Uganda

    Mwasibota Bazzukulu! Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati huo Bwana Museveni akiwa na umri wa miaka 42, tangu wakati huo amekuwa madarakani kama Rais wa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  7. M

    JamiiForums Tanzania These reasons make it hard for Museveni and Kagame to leave ever-presidents club

    These reasons make it hard for Museveni and Kagame to leave ever-presidents club netbidy.comOct 1, 2023 8:04 AM What you need to know: President Museveni has not announced yet if he will seek re-election in 2026, but many people he leads, including me, think his name will be on the ballot...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  10. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni pamoja na mapungufu yake, ila kwenye hili la kudinyana mwamba ana maamuzi aisee

    Waganda hasa Bazzkulu. Salamu. Mambo yanakwenda vizuri nchini Uganda licha ya ufisadi wa baadhi ya Watumishi wa Umma na baadhi ya vipengele vya tabaka la kisiasa. Jana usiku, afisa kutoka Benki ya Dunia alinipigia simu kunijulisha kuhusu taarifa kutoka kwa Benki hiyo kuhusu kusitishwa kwa...
  11. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni azijibu kibabe nchi za Magharibi pamoja na kuwekewa vikwazo

    Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. “Nichimbe na upeleke wapi?” Walisema“ Isafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza: “Mmesikia fununu kwamba kuna binadamu hapa Uganda wanahitaji umeme? Walitoweka. "A Western company came and...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania KWELI Mke wa Dkt. Kizza Besigye, Mpinzani mwenye nguvu kubwa Kisiasa Uganda, alikuwa mchumba wa Rais Yoweri Museveni

    Kizza Besigye na Yoweri Museveni walikuwa marafiki walioshibana wakati wa Vita ya Msituni Uganda kumuondoa Milton Obote miaka ya 1980, na Dkt. Besigye aliwahi kuwa daktari binafsi wa Museveni na wanajeshi wengine waliokuwa msituni pamoja na Museveni Rais Museveni na Winnie Byanyima walikuwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Umoja wa Mataifa wafunga Ofisi za Haki za Binadamu baada ya Rais Museveni kukataa kutoa kibali kingine

    Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni aeleza jinsi NATO ilivyowapiga mkwara marais wa Africa wasiende Libya kutafuta suluhu kipindi cha vita ya Libya

    Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni apona COVID-19, ajinadi yeye ni Veterani kwa kuushinda Ugonjwa huo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

    Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu. Mapema Juni 7, 2023 baada ya kutoa hotuba kwa Taifa katika viwanja vya Bunge, Museveni (78), alidokeza kuwa huenda...
  17. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika

    Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ. Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani ili wenye Demokrasia watawale...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge waandamana kupinga Bajeti ya Tsh. Milioni 220.6 kununua mavazi ya Rais Museveni

    Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Kwenye bajeti iliyopendekezwa kwa Mwaka wa Fedha 2023/24, jumla ya Tsh. Bilioni 150.6 sawa...
  20. Phobia

    JamiiForums Tanzania Mapitio ya Kitabu "I'm the State": Kazi ya Museveni, kauli ya Mkapa kuhusu Chato

    Kazi ya Museveni, kauli ya Mkapa kuhusu Chato Jumanne, Mei 09, 2023 Rais wa awamu ya tao, Hayati John Magufuli (kushoto) akisalimiana na e Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita. Waandishi katika sura hii wanajadili kwa ufupi jinsi...
Back
Top Bottom