museveni

Yoweri Kaguta Museveni (pronunciation ; born 15 September 1944) is a Ugandan politician who has been President of Uganda since 1986. Museveni was involved in rebellions that toppled notorious Ugandan leaders Idi Amin (1971–79) and Milton Obote (1980–85) before capturing power in the 80s. In the mid to late 1990s, Museveni was celebrated by the West as part of a new generation of African leaders. During Museveni's presidency, Uganda has experienced relative peace and significant success in battling HIV/AIDS. At the same time, Uganda remains a country suffering from high levels of corruption, unemployment and poverty. Museveni's presidency has been marred by involvement in the civil war in the Democratic Republic of the Congo and other Great Lakes region conflicts; the rebellion in Northern Uganda by the Lord's Resistance Army which caused a humanitarian emergency; and the suppression of political opposition and constitutional amendments scrapping presidential term limits (2005) and the presidential age limit (2017), thus enabling the extension of his rule.

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula unavuka mipaka kwa kuhamasisha GenZ wawe kama watoto waliolazimishwa kupigana vitani na Museveni

    Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; __________________________ GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU! Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda Hospitali Kuu ya Kampala baada ya Yoweri Museveni kuukamata mji wa Kampala mwaka 1986 katika mapigano...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Museveni amemuonya mwandishi Larry Madowo kuelekea uchaguzi mkuu Uganda

    Wakuu Nimeona hii video ikimuonesha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye pia ni mgombea wa wa Urais kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Janury 2026.
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania UN imekatalia gaza pekee. Sudan na pengine wapo kimyaaa!!

    Kuna wakati trump aliwa diss sana sana UN, ni namna gani wapo bias na wanafiki Sasa ndio naelewa kwanini This is what we call paid activism, wanafurahia pesa za mafuta hawa🚮🚮
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo ukiweka dot to dot unaona kabisa Raisi museveni wa uganda na umwagaji wa damu na bomba la mafuta linalopita TZ kulinda maslahi

    Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa. Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka uganda walikuja kwa ajili ya mslahi ya nani?. Tunajua mradi mkubwa wa mafuta umepita hapa na kwa...
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ruto, Museveni, Kagame, na wengineo pamoja na mabaya yao, hawajawahi kuweka rekodi ya kuua halaiki ya watu wasio na hatia

    Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusababisha Watu Wafe na kutofanikiwa kwa alichokitaka, sasa kahamia kwa Museveni na Kagame na bado Majuha mnamuamini tu

    Anachokifanya sasa ni Kuzusha tu mara Museveni mara Kagame na tunajua soon atahamia pia Kumshutumu Chapo. Eti Museveni anaitaka Kagera (Bukoba) kwakuwa Nyerere aliichukua Kinguvu. Yaani Museveni huyu huyu ambaye hadi leo anaishukuru Tanzania kwa Kumuondoa Amini na kumsaidia Yeye kuikomboa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nilidhani Watanzania tuna shida ila una huko Uganda kampeni za Museveni

    Huku Tanzania kijani kunameremeta kule Uganda ni full njano. Uganda wamekuwa wakimlalamikia Museveni wakidai hawamtaki sasa hao waliokusanyika hapo wametoka wapi au wamesafirishwa?
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine kumenyana na Museveni katika uchaguzi wa urais uganda 2026

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais mwaka 2026 dhidi ya Rais Yoweri Museveni. Tangazo hilo lilitolewa leo katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa kwa ajili ya kuonyesha cheti chake cha kuwania urais kupitia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole kumtumia Rais Museveni kama mfano ni mfu

    Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho...
  10. prince alex khalifa

    JamiiForums Tanzania MUHOOZI: KAGAME NA MUSEVENI NI MATAJIRI KULIKO ELONI MUSK HUYO ELON WENU NI MASIKINI KWA HAWA WAWILI

    Uzi tayari
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Chama cha NRM champitisha Museveni kama mgombea wake wa Urais kwenye Uchaguzi wa mwaka 2026

    Chama cha NRM nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Museveni kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani, hatua itakayompa nafasi ya muhula wa saba. Museveni mwenye umri wa miaka 80 alichukua madaraka mwaka 1986 na tangu hapo ameshinda chaguzi zote baada ya kuondoa ukomo wa mihula...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine kuchuana na Museveni katika mbio za Urais Uganda 2026

    Mwanasiasa wa Upinzani, Robert Kyagulanyi, amechukua fomu Tume ya Uchaguzi ya Uganda kwa ajili ya kuwania kiti cha urais 2026. Kyagulanyi, ambaye aliwakilisha jukwaa la Umoja wa Kitaifa katika Uchaguzi uliopita, amesisitiza nia yake ya kuwania Urais wa Uganda. Kyagulanyi, Mwanamuziki...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

    My Take Tanzania ni Kati ya Nchi zilizosaini makubaliano ya Entebe kuhusu matumizi ya maji ya blonde la mto Nile, makubaliano ambayo yanapingwa vikali na Egypt. Sasa tumejiandaa kiasi gani kuja kukabiliana na vitisho vya Egypt? Hao Jamaa Kwa biti wako vizuri.Pia soma Misri yasema haitakubali...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Museveni asema kuwa Gaddafi alimpa bunduki za Battalion nzima kwenye vita ya kimapinduzi, walizificha msikitini

    Rais Museveni akikumbushia harakati zake za ukombozi wa Uganda, alieleza namna alivyosafiri hadi Libya kuonana ns Gadafi na kumuomba silaha ili kusaidia kwenye vita yake ya msituni. Anasema kuwa Ghadafi alimpa bunduki za kutoshelza Battalion nzima. Na hii.ichangia pakubwa kuisaidia movement...
  15. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi atangaza kwa mara nyingine nia ya kumrithi rais Museveni

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mshauri mwandamizi wa rais na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, ameibua tena gumzo nchini baada ya kutangaza wazi nia yake ya kuwania urais kupitia ujumbe wa mitandaoni wenye kauli ya kidini. "Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, nitakuwa Rais wa nchi hii baada ya...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Museveni awania muhula wa saba madarakani Saumu Njama

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba tena uteuzi wa kugombea muhula wa saba, hatua inayomuelekeza kwenye miaka 50 ya utawala. Museveni, mwenye umri wa miaka 80, amepuuza wito wa kustaafu huku wakosoaji wake wakionya kwamba amegeuka kuwa mtawala wa kiimla, kwa kuwa hana upinzani wa maana hata...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Museveni kuwania tena urais 2026

    Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha Uganda, kimesema Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni atachukua fomu za kutetea nafasi yake kwa muhula mwingine wa miaka mitano katika uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao 2026. Kama atachaguliwa, Museveni ataongeza utawala wake wa takriban...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine amwambia Museveni “Msamaha wako haujakubaliwa”

    Wakati Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiomba msamaha Waganda kwa makossa yaliyofanywa wakati wa utawala wao wa miaka 40, Rais wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekataa msamaha huo, akisema bado wananchi wanaendelea kuteseka katika nchi yao. Museveni na mkewe Janeth...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

    Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao. Rai yangu kwa CCM...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mzee Kaguta Museveni akiwa na miaka 80 anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026

    Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni. Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu. Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
Back
Top Bottom