mungu

  1. M

    Muendelezo wa miujiza ya Mungu kwenye maisha yangu.

    Habari wakuu,mara ya mwisho nilisimulia hapa jinsi ambavyo nilipitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu baada ya kupoteza kazi ikafika kipindi nakosa hata shilingi 100 ndani na nina familia ila baada ya kuattend maombi ya fulani mambo yakafunguka hapo hapo Story yenyewe hii hapa...
  2. Utofauti wa Rangi na Nywele za Wanadamu ulitokana na Nini? Mungu amenipa ufunuo

    Wakati natafakari swala hili kwa kina hakika Mungu amenipa jibu lifuatalo. Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji. Biblia inaonyesha kwamba wanadamu walitokana na familia ya kwanza ya Adam na Hawa na wakaendelea kuongezeka kwa...
  3. Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26

    Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26
  4. Watoto ni matokeo ya ngono, Si zawadi wala baraka kutoka kwa Mungu!

    Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote. Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki. I'm out.
  5. R

    Choka mbaya, Mungu hamfichi mnafiki

    Bashungwa na ukatili wake umemrudia. Mungu mkubwa.
  6. Namshukuru Mungu nimeongeza sabuni za maji na Jiki ya nguo nyeupe, 🙏

    Nikiendelea na harakati ZANGU za usafi wa mazingira, nikafikiri hatuwezi kuweka mazingira safi pekee ilihali nguo zetu haziko safi. Sasa nimekuja na sabuni za maji na Jiki ya nguo nyeupe, angalizo, bado sija sajiliwa natengeneza kama mjasiriamali mdogo nipo kwenye utaratibu wa kufuata Sheria...
  7. Kwanini huamini uwepo wa Mungu?

    Tukiachana na masuala ya dini kwanza, kwasababu sio dini ndo zimeleta uwepo wa Mungu Ukizingatia dini kuu zilizopo mfano Uislam umeanza baada ya uwepo wa Mohhamad S.A.W, mtume huyo alidai kashushiwa kitabu kutoka mbiguni (Kuran) na hapo ndio ukawa mwanzo wake kitu ambacho kabla ya Mohhamad...
  8. Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

    Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia. Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
  9. Kwa nini Mungu mwenye huruma anataka kutuchoma siku za mbeleni?

    Nasikia watu ambao hatuamini uwepo wa Mungu (huyu wa kwenye dini za Ukristo na Usilamu) tutaenda kuchomwa moto na yeye. Eti ka mind kuwa hatuamini yupo na hatumjui ukizingatia yeye mwenyewe hajaja kutuonesha ushahidi wa wazi ambao ungefanya tumuamini, zaidi kaacha binadamu ndio watangaze uwepo...
  10. Kwa nini Mungu alimuumba binadamu?

    Kwa wale wanaoamini mungu yupo na ndiye ameumba ulimwengu, kwa nini aliuumba ulimwengu pamoja na viumbe hai ? Kwa nini hasa mungu alimuumba binadamu ?
  11. Rasmi najiingiza kwenye mziki kama msanii wa bongo fleva. Save the date, 7 October

    Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka. Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi...
  12. Katika Amri 10 za Mungu Watanzania wamekazana na Usizini lakinI SABATO haiwahusu wacha Mungu

    Hizi dini zinatuvuruga sana. Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri. Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja inarukwa na haitekelezwi ambayo ni amri ya nne. Wachungaji wanakazana na usizini, usinywe pombe...
  13. K

    Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru?

    Kama sio chawa ni kumfurahisha Mama na masiha yake tu Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru? https://youtu.be/Ur_aGlVQTkA?si=PpXpuKdFaQp7D22f
  14. Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin. Hata...
  15. J

    Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni

    Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni. Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
  16. 10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

    Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension. Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine. Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja. 10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
  17. Kuna watu bado wana muabudu Mungu Nyerere Tanzania ?

    Hivi bado kuna watu wana muabudu Nyerere Tanzania katika nchi ya kufikirika ? Na hao hao watu ni mashabiki na wafuasi wa Lissu ? Inawezekana hii ?
  18. M

    Usifanye kosa la kutoa nafasi ya Mungu kwa ajili ya kumpendezesha bosi

    Mungu siku zote hatabakia kuwa Mungu na nafsi yake ni yakwaza hana mbadala Yusufu akiwa kwa potifa alikutana na mtihani kati ya kuchagua kumpendezesha mke aa potifa au kumpendezesha Mungu, na Yusufu akachagua kumpendezesha Mungu Tumekuwa na changamoto kwa watumishi wa sekta binafsi au serikali...
  19. S

    Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Sio kwamba natafuta sifa au nataka kubishana na mtu kuhusu imani. Lakini nikitazama yanayoendelea duniani vita, mauaji, watoto wanaoteseka, njaa, magonjwa na watu wasio na hatia kupoteza maisha naanza kujiuliza kwa dhati kama Mungu yupo na ana uwezo wote, kwa nini anaruhusu mateso haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…