mungu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA ni mungu mtu chini ya jua juu ya vyombo vya habari

    Jamani kuna jambo linahitaji majibu ya wazi. Mwaka jana TCRA waliifungia JamiiForums kwa takriban siku 90, wakisema ni adhabu. Sawa, adhabu ikaisha. Lakini mpaka leo, ili kuingia kwenye hii platform bado watu wengi wanalazimika kutumia VPN. Swali langu ni hili: kama adhabu iliisha rasmi...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa maisha jinsi yalivyo hapo bado hujafika, muombe sana Mungu akuepushe na MAJANGA soma hiki kisa cha kweli!

    Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu, Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi. Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa?

    Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa? Hebu turejee maandiko katika kitabu cha Mwanzo 9: 20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake...
  4. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Soul of Praise Kaachia Wimbo Mpya

    Kusikiliza link: https://youtu.be/qLDq00Cz98I?si=dsRPioVXGZez_GcK
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu aliikataa sadaka ya Kaini akaikubali sadaka ya Abeli?

    Kati ya story za Mungu wa Biblia zenye utata ni ya kuikataa sadaka ya Kaini ya mazao kisha akaikubali sadaka ya wanyama wa Abeli/Habili. Huwa zinasemwa tu nadharia mbalimbali kuhusu sadaka yake kukataliwa lakini bado haziwi bayana kulingana na bibla sababu hasa ilikuwa ni nini. Kwa wajuzi, ni...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kila mtu atakufa lakini omba Mungu angalau ufe kifo cha ghafla

    Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida. Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥 Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wako anakugundisha neno la Mungu kwa kutumia mkabala ipi wa Kithiolojia kati ya "Systematic theology" na "Biblical theology"?

    Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo. Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
  8. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kila mwaka Mungu Yesu anakufa na kufufuka?

    Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
  9. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu akikuchagua usaidie watu anakupa Roho wa Bwana(holy spirit)?

    Mathayo 12:18 Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu. Mungu akikuchagua kuhubiri neno lake au kusaidia jamii(nation/world) anakupa roho wa bwana(holy spirit). kazi ya roho wa bwani nin...
  10. Anana_

    JamiiForums Tanzania Ambao mmetoka kwenye Familia zenye Upendo, Mshukuru Mungu

    Nyumbani papo ila siwez kukanyaga… Kila nifanyacho home wanaona sijafanya kitu, napambana kadri ya uwezo wangu ila maneno ni mengi sana kule. Mimi kama kunguni yan Nikitatua migogoro ndiyo inaongezeka Nimeamua kujitenga niwe alone. Na hivi am zodiac Cancer bas naenjoy sana kua alone. Kama sina...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  12. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu mara nyingi hujikita kwenye kutumia akili (Aql) na mazingira yanayotuzunguka (Fitra). Hapa kuna...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Una habari? Rubani wa Artemis II alipiga magoti kumuomba Mungu kabla ya kupanda roketi kuelekea Mwezini!

    Kama ulikuwa hujui, basi habari ndio hii: Mtu mwenye ngozi nyeusi kama sisi, ambaye sasa amefika mbali sana katika anga za juu, hajamsahau Mungu aliyemfikisha hapo. Huyu si mwingine ni Victor Glover, mwanaanga wa NASA, na rubani wa misheni ya Artemis II—safari ya kuzunguka Mwezi. Huyu anakiri...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kifungu hiki cha Katiba kinamfanya Rais kuwa Mungu mtu, ukienda kinyume naye tu anaweza kuamua ulione jua au lah!

    Wakuu, Ibara ya 15 kwenye katiba ya Tanzaia inampa mamlaka Rais kutoa msamaha kwenye kosa LOLOTE ambalo atakutwa na hatia nalo. Anaweza kumwachia huru mtu kwa muda maalumu au moja kwa moja mtu aliyehukumiwa kuadhibiwa kwa kosa LOLOTE asitumukie adhabu yoyote au kwa kipindi fulani. Anaweza...
  15. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kwenye Statistics kuna Concept inaitwa "Wisdom Of Crowd" Sisi watu wa dini tunasema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu

    Mwaka 1906 mwanasayansi na mtafiti Francis Galton alishuhudia tukio la kawaida katika maonyesho ya mifugo nchini United Kingdom. Kulikuwa na shindano ambapo watu walialikwa kukadiria uzito wa ng’ombe mmoja. Mamia ya watu walishiriki—wafugaji, wachuuzi, na hata watu wa kawaida waliopita tu. Kila...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA ni kubwa sana, Lissu na Heche Mungu awabariki sana

    Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa. Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote...
  17. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Mungu ana angalia moyo wako na sio mavazi

    Mungu angalii mavazi au jinsi ulivyo Mungu ana angalia moyo wako unaweza kuwa unavaa Unavyopenda na Mungu akakutumia , jikite kuwa mtu mwenye upendo, utu, kusamehe, kusaidia ayo ndio mambo ya msingi . Mavazi sio dhambi kama watumishi wengi wanavyosema Mungu ana angalia moyo , Watumishi...
  18. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Habari za Mungu zilianzishwa na Waamini Mungu, Halafu wanaipa Sayansi mzigo wa kutoa uthibitisho wa habari ambazo haziku anzishwa na Sayansi

    Waamini Mungu walianzisha madai yao ya uwepo wa Mungu, Sasa badala wayathibitishe wao wenyewe. Wanataka Sayansi iwathibitishie. Kwani Sayansi ndio ilileta habari za huyo Mungu? Au ni nyie waamini huyo Mungu? Usiipe Sayansi mzigo wa kuthibitisha madai ambayo haija yaanzisha. Madai ni ya kwenu...
  19. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu anathibitishwaje kuwa yupo?

    Swali la uwepo wa Mungu ni swali la kifalsafa, kiteolojia, na kiimani zaidi kuliko kisayansi. Watu wengi huuliza: kama Mungu yupo, kwa nini asithibitishwe kwa majaribio ya kisayansi? Ili kujibu hili kwa usahihi, ni lazima kwanza kuelewa mipaka ya sayansi na asili ya Mungu. ASILI YA SAYANSI NA...
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo basi hataki tumjue

    Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake. Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia...
Back
Top Bottom