Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF.
Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu.
Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa
Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote...
Ufuatao ni mtiririko wa Ufaulu wa Kitaaluma ( Chuo Kikuu ) kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree ) na tabia ya Mhusika katika Jamii na hata Maisha yake ya baadae.....
1. FIRST CLASS G.P.A
Hawa huwa ni Watu wenye Akili nyingi ila katika Maisha ya Mtaani ndiyo huwa Wafeliji wakubwa...
Habari wakuu za usiku,
Kama kawaida naomba nielezee kwa masikitiko makubwa jinsi huyu Afisa Elimu Mkoa wa Songwe anavyojifanya Mungu mtu akishirikiana na Afisa Elimu Wilaya ndugu Bhange.
Kwa bahati nzuri nilikuwa kwenye semina ya usimamizi wa mitihani, nikamsikia akimzungumzia mwalimu mmoja...
Nyie wanadamu wenye nia ovu ya kutaka kuiua au kuidhoofisha CHADEMA, tambueni CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, na ndio maana mpaka leo kiko imara licha mabavu na hujuma zote zilizodumu kwa miaka zaidi ya kumi sasa.
Mungu haturuhusu kiumbe yeyote avuruge hiki chama mpaka pale mpango...
Tazama ni siku nyingi zimepita miongo na karne zimebadilika toka Uhuru Hadi hapa tulipo.
Mvua ya Chama kimoja hadi Mvua za Demokrasia tumekutana na masika za Utawala bora neema ya kuijenga nchi.
Tangu Awamu ya Mwl. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa ni Mhe Samia Suluhu Hassan...
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi?
Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi...
Naamini wote wazima wa Afya. Miezi miwili iliyopita nilipigiwa simu kwamba mdogo wangu analia sana yupo stress hata kula hawezi kisa Mwanamke kamuacha. Nikaona ni heri niende kuonana naye nikamshauri sana dogo nikamuambia maisha safari Mungu anakupenda hivyo usikate tamaa.
Akaniambia huku...
Wakuu,
Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku.
Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake.
Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa...
Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa.
Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama.
Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
Amani iwe nanyi wadau,
Huko soko la dunia hapatoshi! Bei ya Mafuta na Gesi inazidi kupanda kwa Kiwango cha kutisha.
Haya yanatokea huku Ulaya na Marekani kukiwa na uhaba wa bidhaa hii adhimu kiasi kupelekea Makampuni ya Gesi na Mafuta kuamka mbio kutoka usingizini na kuanza kufufua zile fursa...
Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi.
Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae...
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.
Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao.
Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC.
Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
Nawasalimu kwa jina la muungano!
Katika vipindi vitatu vya uongozi ambao umekaribiana sana yaani kipindi cha JK,JPM na hiki cha mama yetu nimejifunza mengi kuhusu siasa na uzalendo. Nazungumzia hivi vipindi vitatu kwasababu enzi za kina nyerere na mwinyi huko nyuma uzalendo ulikuwepo na uchungu...
Katika maisha yangu ya elimu kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne sikuwahi kushindwa darasani, mimi kwangu kupitwa katika mtihani nilichukulia ni zaidi ya tusi, baba yangu alinisifia akisema kwamba nina akili kama alizokua nazo yeye ijapokua hakua mtu wa kunipa mahitaji muhimu ambayo...
Assume unadate na kadada, asubuhi kanakupigia simu kanasema namuomba Mungu akusimamie katika hustle zako siku nzima ya leo 😁😁.
Kwan Pete ya dhahabu shingapi wadau.? 😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.