Kupumzika simaanishi lazima iwe baada ya kuchoka, namaanisha ile kuacha kufanya kitu ambacho unafanya kila siku hata kama hakikuchoshi.
Nlisahau salamu.
Mambo vipi wakulungwa?
Hili swali waga najiuliza sana.
Kama Mungu ndio anacontrol kila kitu yani anagovern ulimwengu. Anajua saivi sehemu...
Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now.
nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya.
kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza...
Hili suala tulijadili kwa Logic!
Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia.
Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu...
Kuna chapisho linaitwa "satan the servant of God", wengi walitaka kujua mwandishi kaongelea nini humo ndani, ni mengi...ila point ni kwamba Shetani amekuwa akitumika na Mungu mara kwa mara ili kuwachambua walio wake na wasio wake.
Kwamba mwamba amekuwa akitumwa hapa na pale na anawekewa...
Ukisoma kitabu cha Ayubu 1: 6 - 9
Ayubu 1: 7-9
[7]BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
[8]Kisha BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu...
Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali.
Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
Watu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika.
Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako.
Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto...
Kila nikitazama clip na live za manabii,kuhani,wachungaji najiuliza kweli wote wayatendayo haki ktk imani kweli?
Wengi wanahubiri mafanikio ktk biashara,kazi na kipato.Sioni wakihubiri zaidi ktk kuwajenga watu ktk imani na kumcha mwenyezi.
Wanahubiri matukio zaidi unakuta anasema shetani...
Jina kubwa lililopita majina yote, wewe ni alpha na omega, mkuu utaishi milele na milele.
MUNGU, je haya tunayoyaona ni daliliza mwisho wa dunia, au ndo mwisho tayari, maana kila kukicha habari juu ya matukio mbali mbali?mara PADRE kalawiti watoto, mara shehee kalawiti mtoto, connection za...
"Mfano halisi ni humu Jf naamini 90% wana Dini zao na wanaobaki ndio vile hapa na pale.
Hoja inakuja hivi" Watu Waki post mambo ya ngono ngono asee wachangiaje ni kama wote ila mtu akiweka maada za kujenga sasa!?
Mimi binafsi tangu nimejiunga humu ni mwaka wa kumi huu lakini mabandiko yangu...
Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana.
Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu...
Habari Wana jamii, nimeona mada nyingi zinazo husiana na iman zikileta changamoto na kuto kubalina katika njia zote mbili.
Sasa naomba tutoe hoja Kila mmoja hapa kwanini tuseme BIBILIA ni KITABU CHA MUNGU na kinaongoza watu kwenda mbinguni na pia Qur' an ni KITABU chuamungu na kinaongoza watu...
Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian, kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri.
Mimi ni muajiriwa Serikalini niko Dar.
Haya makundi ya wacheza muziki kumsifia Yesu si sahihi(hii style ya kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumini lukuki.
Mbaya zaidi wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
My Lord still Alive
Vijana tumuombe Mungu . Hakika nimeuona Ukuu wake katika Maisha yangu.
NB Imani bila matendo imekufa. I will share my testimony as to Inspire Vijana Juu ya kuishi katika Mungu.
Msishangae wakristo asilimia ya wengi humu kumtukana Mungu, kwani mtume wao Paulo alishawafundisha zamani.
Kitu chochote chenye upumbavu maana yake hakina hekima ndani yake.
Sifa ya udhaifu hawezi kuwa nayo Mungu bali viumbe wake. Msiwashangae wanavyotoa povu kwani kitabu chao kimewafundisha...
Sabato Njema Wakuu!
Mungu akikuona Watu watakuona, aliyeonwa na Mungu kamwe huwezi kumficha asionekane na watu.
Mungu akikukubali hakuna atakayekuzuia. Lakini haimaanishi vipanya na ndorobo havitatokea kukupigia kelele. Lakini siku zote kelel za panya hazimzuii Paka kulala usingizi.
Kijana...
Sioni namna yoyote huyu urusi anaenda kuyaachia hayo maeneo aliyojitangazia....naona yupo tayari hata kwa kujitoa mhanga!
Nikiiangalia ile sura ya Putin siku anasema na kuihusisha nuclear, nauona wazi ujumbe wa 'bora iteketee mbali dunia yenyewe kuliko hawa West kunipelekesha'.....alikazia mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.