mungu

  1. Kafara ya binadamu katika Biblia. Yeftha akimtoa binti yake sadaka ya kuteketezwa kwa mungu.

    Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja kumpokea akiwa anatoka vitani atakitoa sadaka kwa moto wa kuteketezwa. Binti yake alikuwa wa kwanza...
  2. Unayopitia yote ni mpango wa mungu.

    Kama unamuamini mungu kila unachopitia ni mpango wake mungu. Kama wewe ni masikini huo ni mpango wake, Kama umedhulumiwa huo ni mpango wake, Utawala wa CCM ni mpango wake, Kama unaumwa huo ni mpango wake, Ukifiwa ni mpango wake, Ukifungwa ni mpango wake, Ukiibiwa ni mpango wa mungu...
  3. Emmanuel ni neno la Kiebrania maana yake ni Mungu yu pamoja nasi Isaya 8:8

    Manabii walihubiri kwamba nyakati za mbele mataifq yote yamtafahamu Bwana na kumkimbilia Isaya 42:6;45:14
  4. Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na sheria ya Mungu kwa dini hizi mbili ni sheria ya moja ya Musa, ambaye japo ndie Muumba wa dunia hii...
  5. Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬 𝑴𝑨𝑰𝑺𝑯𝑨, 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑼 𝒁𝑨 𝑲𝑰𝑭𝑰𝑲𝑹𝑨 (𝑴𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨) 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑼𝑱𝑰𝒁𝑨 𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12 𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢...
  6. J

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani

    Kuna tofauti kati ya ndoto ya Mungu na ya shetani Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana. Hata hivyo, kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu. 1. Ndoto zinazotokana na shughuli unazofanya Ndoto hizi ndizo mara nyingi zinamjia mtu. Kwa mfano: mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima, usiku...
  7. Changamoto ya uchomaji taka (kusoma matakataka) kwenye makazi ya watu hapa Dar es Salaam

    Wakuu, habari za mchana huu. Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka." Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
  8. F

    KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

    Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
  9. Mungu bado hajapiga panapouma, tunamuomba Mungu apige kwenye mshono. Wamalawi hilo ndio ombi letu

    Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu waliopotelewa na wapenzi wao kwa amri ya Kiranja Mkuu
  10. Kwa nini Mungu hujificha asijulikane na kila mtu na hajiweki wazi kwa watu wote duniani wanafahamu ?

    Naona ingekuwa rahisi sana kama Mungu angejiweka katika hali ya kujulikana na kufahamika kwa wazi kwa watu wote waliowahi kuishi duniani bila kipengele. Suala la kwamba watu baadhi tu ndio hudai kumjua kwa imani katika roho na wengine wakienda mbali zaidi kudai ni manabii na mitume wake...
  11. Kumtetea Mungu ni kazi sana!

    Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani? Inakuwaje Mungu anakuwa na...
  12. R

    Mungu wa Agano la Kale ni katili?

    https://youtu.be/zUhs8c75ypc?si=gHAZwpRaTLZ_CnRY
  13. Hatua sahihi za mtiririko rahisi wa kumuaminisha mungu mtu asiyeamini.

    Kwa wanaoamini mungu huu ni muongozo wa kuwafanya wasioamini mungu(atheists) waweze kumuamini mungu 1. Thibitisha kuna supernatural (nguvu kuu iliyo zaidi ya nguvu za asili) 2. Thibitisha hiyo nguvu kuu ni mungu tena mwenye nafsi na utashi (personal god) 3. Thibitisha huyo mungu anataka...
  14. R

    Je, Mungu anaruhusu mabaya yampate binadamu?

    https://youtu.be/JAJCrk-oZeo?si=eSJXVSTTrXr__E-r
  15. R

    Mungu anahitaji sadaka ya damu??

    https://youtu.be/mqajdPo5EPE?si=0zqavtkoCwjmKbsn
  16. Ni bora kukomaa hapahapa Tanzania mungu atajaalia, kila nikiwaangalia wanao rudi kutoka Afrika Kusini, nachoka kabisa

    Sina sababu ya kupost picha yoyote kuwadhalilisha lakini, mtu anakaa afrika kusini miaka 30 lakini dah. Maisha ya ugenini tena kwenye nchi za watu mambo ni magumu sana, ni kheri kama vipi, kaza tu hapahapa bongo aisee, mambo ya kukimbiakimbia, noma sana, ndo mana mo dewji, aligoma kufanya kazi...
  17. Askofu Josephat Gwajima: Mungu hachelewi kutimiza ahadi yake. Utekaji umezidi. Maisha ya watu yanaharibika. Mungu atajibu kwa upanga

    "...Mimi ni mwanachama CCM, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambaye hakubali uonevu, hakubali utekaji na ambaye hakubali ufisadi. Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi mpaka mwisho..." Hii ndio kauli iliyowakwaza watawala waovu wa serikali dhalimu ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake hata...
  18. M

    Umuhimu wa Neno la Mungu

    Mara baada ya kumpa Yesu Kristo Maisha yangu kuwa Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, ndani yangu kiu ya kutaka kumjua Mungu ilizaliwa ndani yangu Kiu ile ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba nilijikutana tu, natamani kumjua Mungu binafsi kama Bwana na mokozi wa maisha yangu Nilianza kusoma biblia...
  19. Omba Mungu usifike huku

    Mi kazi yangu hapa ni kushusha comment kutoka kwa wadau JICHO LANGU GEREZANI “ Simulizi hii ni Ya kweli kabisa hamna mahali nitaongeza chumvi ili kunogesha stori kila ninachokiandika hapa MUNGU akawe shahidi na aniadhibu kama nitaandika UONGO au kusema kitu ambaoho si cha kweli ili kuharibu...
  20. Ndugu zangu mkaribisheni Mungu katika maisha yenu

    We dwell here not according to our will, but according to his divine plans. Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima. Binadamu tunapenda sana, kusahau na kutumia akili zetu, bila kumshirikisha anayetupa huo uwezo.. Umezaliwa, unapumua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…