Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema.
Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari, tujitahidi kutumia akili alizotupa na kwa neema yake ataendelea kutusaidia kwa pale tunaposhindwa. Kumbuka...