Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu wa kawaida, ni miongoni mwa wale walei Wakatoliki wacheche tuliobahatika kwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, kule Rome, Italy.
Enzi nikiwa mdogo nimehudumu utumishi kanisani pale St...
Najiuliza hivi kwanini mtu akiwa shidani, wa ngozi nyeupe, ukimkwamua shidani mwake, atakushukuru sana na hatoona aibu kusema hadharani, fulani kanisaidia.
Lakini sasa sisi kina Mtokambali, ukisaidia na fulani, humtaji, hata ukiulizwa ile shida yako umeitatuaje? Unaishia kusema ni Mungu...
Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period.
Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia'...
Atafanya juu chini kuhakikisha hiyo nia yako njema inatimia. Watu wengi wanateseka kwa sababu wameingia katika nyumba za sala lakini hawako siriasi na Mungu kama anavyotarajia. Hivyo wengi wameachwa wajiendee wanavyotaka.
Mifano ya watu waliokuwa na usiriasi na Mungu hata kama hawana uhakika...
Habari ndugu zanguni,
Tafadhari nawaomba sana tufunge na kuwaombea wanaoteswa wakipambania haki zetu sote kwa namna yoyote ile pasipo kutaja majina yao bayana kila mmoja awaandike kwenye karatasi au hata kuwatamka Kwa kinywa tuwaombee Mungu wa kweli asimamie mioyo yao ya kweli na ya haki...
Uhaini( treason)the offense of attempting by overt acts to overthrow the government of the state to which the offender owes allegiance or to kill or personally injure the sovereign or the sovereign's family.
Nimejaribu kufikiri kidogo, na nimekumbuka baadhi ya vitabu nilivyosoma vile mwl. J.k...
Injili ya kale ya akina Petro ilikuwa rhema.
Rhema ni neno la Mungu kwa wakati husika. Yaani Mungu anasema kwa kinywa cha mtu. Anaweza kutumia neno hili la kila siku (logos) ila anaposema Mungu mwenyewe hulitia uzima na kutimiza kusudi lake kwa haraka kama umeme.
Ndio maana ukisoma kitabu cha...
Katika maisha ya duniani Binadamu toka kuzaliwa kwake anaishi maisha ya kujifunza.
Vyanzo vya maarifa vinajulikana, na milango ya kupokea ni milango yote ya fahamu.
The more you know the more you function.
Twende kwenye mada, short and clear bila kutoa reference.
Binadamu au Mtu kagawanyika...
Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru.
Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru.
Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
Wachimbaji wawili wa madini ya dhahabu katika
mgodi wa Igalula wilayani Nyang'hwale mkoani Geita
wameokolewa wakiwa hai baada ya kufukiwa na kifusi kwa muda wa siku tisa.
Mmoja wa wachimbaji hao ametambuliwa kwa jina la Prima Shokolo ambaye ndugu yake Francisco Misungwi mkazi Sengerema...
Wakuu nawasalim katika yule alie juu ya kila kitu kila mmoja kwa imani yake .Niende kwenye mada moja kwa moja
Serikali ya ccm, Naona mmeanza kutangaza vita na wananchi kwa kisingizio cha uhain, kisa watu kukataa MKATABA MBOVU WA BANDARI , mbaya sasa nao vyombo vya dola wanaendelea kutekeza...
Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema.
Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari, tujitahidi kutumia akili alizotupa na kwa neema yake ataendelea kutusaidia kwa pale tunaposhindwa. Kumbuka...
Nimesoma uzi mmoja wa Tycoon mmoja hapa Jf, anadai utafiti wake wa miaka 22 unaonesha Mungu wa walokole ndio ana nguvu kuliko Mungu anaeabudiwa na Madhehebu mengine.
Nimejaribu kuchunguza Mifumo wanayoitumia walokole wengi 100% katika ibada zao, maombi kiujumla huwa zimejaa kelele nyingi sana...
Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu.
Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
Maisha ya mtu na mtu hapa duniani na utawala wa nchi, unamahusiano sana na Mungu ni nani kwetu.
Isaya 49:15
Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.
Mungu anasema hawezi kukusahau wewe, pia...
Umri wangu miaka 34. Mwajiriwa serikalini, Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo:
1. Awe na umri kuanzia miaka 20 Hadi 30
2. Awe na Elimu kuanzia ngazi ya chuo
3. Awe mweupe au maji ya kunde
4. Awe na hofu ya Mungu
5. Awe amezaa au hajaza lakini asiwe na zaidi ya mtoto moja
6. Awe mkristo...
Anaandika Robert Heriel,
Mtibeli.
Kuna Mungu Muumba wa mbingu na nchi halafu kuna miungu. Mungu Mkuu ambaye hajawahi kuonekana na kamwe hatokuja kuonekana Daima milele, hawezi kufanya wala kuwaza huo upuuzi wa kuchoma watu, hilo haliwezekaniki!
Miungu hii inayoabudiwa ndio inaweza kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.