mungu

  1. Alex Malasusa linusuru kanisa na kashfa ya madeni ya Arusha Corridor Springs. Haipendezi watu wa Mungu kukimbia madeni.

    Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya KKKT. Muhtasari wa Suala Hilo: Uwekezaji na Ujenzi: Hoteli ya Arusha Corridor Springs Hotel...
  2. Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe

    Jitathmini watu weusi Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe
  3. Mungu Hubadili Kashfa Kuwa Ushuhuda

    Kuna watu wanaweza kuzungumza na kutangaza mambo kuhusu maisha yako wakidhani wanakuchafua, kumbe Mungu anaweza kutumia hayo hayo kukuinua na kugeuza kila walichokisema kuwa ushuhuda wako. Usihofu maneno ya watu, Mungu anaweza kufanya jambo kubwa kupitia kila hali.
  4. Kuna uhusiano Gani kati ya Juhudi binafsi,saikolojia, ushirikina na kumuomba Mwenyezi Mungu

    saikolojia, ushirikina, kumuomba Mwenyezi Mungu, na juhudi binafsi. Vinanyafaje kazi 1. Saikolojia Saikolojia inahusu jinsi mawazo, hisia na imani zinavyoathiri tabia na maamuzi ya mtu. Mfano: mtu akiamini anaweza kufanikiwa, anaweza kuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Akijiaminisha kuwa hawezi...
  5. Uongo mbaya na msema kweli mpenzi wa Mungu, jezi ni mbaya na hazina mvuto.

    Tuseme ukweli jamani, jezi ni mbaya na hazina hata mvuto, Uongo mbaya...Hivi hawaoni hata jezi za nigeria, Ghana, burkinafaso,, waibe ibe basi hata idea kidogo..jezi Ina rangi Moja tu.. Kwakweli nakuelewa Mr Makonda, mtu nchi yako Ina host mashindano makubwa ya Afcon halafu una jezi hazina...
  6. VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Cc Kiranga
  7. Hivi inakuwaje kila dini na Mungu wake lakini shetani akawa mmoja

    Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni...
  8. Je ni kweli tukianza kuulizana asili ya mtu popote tumuonapo mtu Tanzania ni kuwa tunamuuasi mwenyezi mungu ?

    Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu. Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka kukejeli muonekano wa kiumbe cha mungu kama sio ushetani ni nini. Hii ardhi ni ya mwenyezi mungu...
  9. R

    Kama kuna kosa alilifanya MUNGU ni kumuumba mwafrika, ngozi nyeusi! Hapo alikosea sana. Angalia msafara wa Rais wa Gabon

    Ngozi nyeusi ni laana Hata mbwa kuonekana kando ya msafara wake ni hatari! Mlaaniwe polisi 1. Mauaji 2. Ubunafsi 3. Kujivika U-Mungu 4...you name all of them and the list is endless
  10. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
  11. Ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu

    Kwenu wanajamvi! Dunia inamambo mengi na binadamu tunapitia furaha na changamoto kadha wa kadha hapa unaweza kuweka/ kutuambia ni jambo gani ambalo Mungu alikupitisha ili kukupa nguvu ya imani na hata akakuokoa/ kukutenga na mambo mabaya ambapo bila yeye (Mungu) pengine watu wangezungumza...
  12. Tabia ya Mungu, hapendi nini ?

    Ikiwezekana Uzi huu utaka na muendelezo hapa hapa, jipatie kiti if you're interested Ukisoma katika biblia kuanzia mwanzo kuna habari muhimu sana kila mtu anafaa kuzijua kuhusu tabia ya Mungu, Nakushauri nawe pia ukipata nafasi Tafuta Muda usome kitabu cha Mwanzo katika biblia kimeeleza tangu...
  13. R

    Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Nimewasikia baadhi ya viongozi wa dini wakiandaa maombi ili Mungu aepushe madhara ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa neema hii na tujenge miundombinu bora na tuvune maji ya kutosha kuepuka uhaba wa maji na kufanya kilimo cha umwagiliaji kipindi cha...
  14. Je una uhakika yale unayofunga na kuomba ndio GOD'S WILL aliyo nayo juu yako?

    “si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Luka 22:42) Setfree Psalm_23 Psalm 103 StudentTeacher Ni ipi siri ya maisha, ni kipi kipo nyuma ya ukweli wa maisha yetu. Nani ni muendeshaji wa kila hatua na kuanguka katika maisha yetu? Je kila mtu amewekewa limits na amekuwa regulated hata afanye...
  15. Kingai aliyejenga nyumba ya Mungu kijijini kwao kesho anakwenda kuchuma dhambi

    Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
  16. Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua. Risasi 16 na hakufa duh

    Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua Risasi 16 na hakufa duh 😢 😭
  17. MWENYEZI MUNGU AKINIJALI INSHALLAH NAFUNGUA LEBEL YANGU YA MZIKI RASMI, INA MANA SIPO CHINI YA MTU YEYOTE ISIPOKUA, LEBEL YANGU

    Ogopa MATAPELI sijasaini LABEL yeyote nipo kwenye Label yangu ambayo taitambulisha hivi karibuni 7 october. Hii ndo siku inshaallah taweka wazi, picha ya MSANII, jina la msanii, na jina la label yangu, itafatiwa na ufunguzi wa mitandao ya KIJAMII. November 6, nitatambulisha rasmi ep yangu ya...
  18. Amka: Mungu hayupo mbali, yupo ndani yako acha kutia huruma kusubiria bahati.

    Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕ Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨 Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽 Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo...
  19. Alah Amsamehe : Huyo "mungu" anakuasamehe kwa kushawiahiw na watu?

    Je, Kuwaombea Marehemu Msamaha Kunachochea Uovu Duniani, ni ulaghai, ina maana leo mtu anaua na kupora mabilioni, anasaidi jamii yake ili akifa imuombee aende mbinguni, tuacheni huu utapeli. Baada ya kifo ni hukumu, hakuna nafasi nyingine ya kutubu. kuwaombea marehemu wasamehewe dhambi zao...
  20. Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine. Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee. Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…