mungu

  1. ward41

    JamiiForums Tanzania Taifa la Israel linalindwa na Mungu (Mungu hufanya kazi pamoja na wanadamu)

    Kuna watu kwa sababu ya kukosa maarifa huwa wanapinga ulinzi wa Mungu juu ya Israel. Wanadai Israel ailindwi na Mungu lakini inalindwa na MAREKANI, ulaya, UINGEREZA. Nataka kulifafanua hili. Mungu haonekani kwa macho ya mwili wa mwanadamu. Ila ameweka kanuni. Utaratibu wa Mungu hapa duniani ni...
  2. excel

    JamiiForums Tanzania Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

    Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu.. anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israel🤬🤬 Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila... Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi...
  3. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu atulinde na hatari za usiku huu.

    Kwa tulioyaona Matendo ya Mungu kwetu na jinsi alivyotuvusha katika hali ngumu tunajua atatenda sawasawa na Mapenzi yake. Amina
  4. kwisha

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu pia ni Mungu

    Katika pita pita zangu, nimekutana na hoja ya pasta mmoja wa Kenya akisema kuwa kuna Mungu na pia kuna miungu, na miungu ni sisi wanadamu. Watu walicheka sana na kumuita mnafiki. Kuna watu wengi wanashindwa kuelewa maana ya neno Mungu. Wanafikiri Mungu (Allah) ni jina la Yehova au Yahweh. Neno...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Sana Mungu kwa hii Bar Jirani inayokesha siku Tatu kwa wiki, imenikuza Sana Kiroho.

    Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
  6. realMamy

    JamiiForums Tanzania Tunayaweza yote katika yeye atutiaye Nguvu

    Mungu wewe ni muweza wa yote. Tunaomba ulinzi wako siku ya leo na siku zote.. Amen
  7. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

    Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Mwema sana

    Tunapaswa Kumshukuru Mungu kwa Wema anaotundea wakati wote. Nasema hivi kwa sababu kuna wakati unaweza kukutana na Jambo gumu sana.Lakini Mungu akafungua njia. Mungu ni wa yale yaliyoshindikana kibinadamu.
  9. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho: Mungu sio mwanamke ni mwanaume

    Nadhani mungu ni mwanaume, Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke, Kama alimuumba mwanadamu kwa mfano wake, Na aliyeumbwa ni Adamu, Na Adamu ni mwanaume, Hivyo...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

    Hello Jamiiforums Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu. Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Biteko anastahili kupewa nafasi yakuongoza nchi; ana hofu ya Mungu na anaheshimu mawazo, utu na maoni ya wasiompenda na wanaompenda

    Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra. Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?

    Kwema Wakulungwa. Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani? Mimi Miaka 87.
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mti wa Mkungu unafananaje?

    Nimeambiwa ni mti wa asili unaofaa kwa kivuli. Sikukumbuki kama nimeshauona ulio mkubwa. Kama kuna mtu mwenye picha ya mti mkubwa wa Mkungu naomba aiweke hapa, na ya mti wa Mdodoma pia. Ninataka kufanya maamuzi ya mti wa kupanda mahali fulani, MDODOMA au MKUNGU! Naomba kuwasilisha🙏
  15. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Nape Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi na sasa Bahari ipo shwari

    Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kiko wapi sasa? Magufuli alikunyofoa si kwa bahati mbaya Bali alikuona wewe hufai. Ukaishia kumtukana na kumkejeli. Leo Kiko wapi? Mwenyezi mungu kaamua ugomvi sasa karibu kwenye benchi. Wewe umejaa dharau,mikogo na mipasho tu kazi huwezi. Ona sasa ulivyoaibika...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Simwachii Mungu

    By Joh Makini ft Ben Pol I love what I am doing. A city in da houz Yeah… Aaah! Some other people miss the old me Some other people love the new me I thank God all these people They don’t know me yet Class ni kitaa and they crown me yes Hata we shetani kunielewa mimi ni bless Mi sioni mganga wa...
  17. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua anifundishe jinsi ya kuanza kuhubiri neno la Mungu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

    Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025. Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa. Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Hoja za CHADEMA zinajibiwa kirahisi na muda na Mungu

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/biashara/bidhaa-zashuka-bei-wachumi-watoa-somo-4695482
  20. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

    Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha inayoonyesha jinsi wazungu walivyoharibu miili yao kwa tattoo 1 Wakorintho 1:25 [25]Kwa sababu upumbavu...
Back
Top Bottom