mungu

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Anaanza Mungu rafiki anaefwata n huyu

    Hana ubaya Wala ubwela
  2. kwisha

    JamiiForums Tanzania Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

    Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata kusababisha huzuni. Kwa mawazo yangu, suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni mila ya kizungu, si mpango...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TUMELETWA NA MUNGU

    Tumeletwa na Mwenyezi Mungu ili tukemee mauozo ya ubinafsi, uchocho, na roho za korosho; zinyooke, zitenende haki. Nilisikika katika ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikikemea mauozo. Nakumbuka tarehe 18/10/2021, Mheshimiwa Steave Masato Wasira, ex-waziri, ex-mbunge, na mwenyekiti wa Chuo cha...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu. ✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
  5. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ukimdhihaki Mungu hadharani majibu unayapata siku si nyingi

    Kwanza namshukuru sana Mungu kwa neema yake nimekuwa miongoni mwa binadamu ambao wameanza maisha rasmi,kwa ile maana maisha yanaanza ukiwa na miaka 40,kwani niko katika 40's Nimegundua au kuyasikia mambo kadhaa ambayo pale mwanadamu anapo mdhihaki Mungu hadharani basi hakika majibu huja mapema...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Tungeshinda angesifiwa Mama sio wachezaji? Ndo maana Mungu anatukataa

    Yaani nchi imekaa kimchongo Sana hii Tukishinda Nani Kama Mama Tukifungwa tatizo Samata Tukifungwa Mara mzinze sijui kafanyaje!! Sometime Bora tubondwe tu!!
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Je, Wayahudi hawahitaji kupitia kwa Yesu kuuona ufalme wa Mungu?

    Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu, Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole" Lakini ni wazi kua wa Israel hawamkubali Yesu, jana leo na hata kesho. Je wao ni exceptional katika njia ya ukweli na uzima?
  9. Brojust

    JamiiForums Tanzania UBONGO WA MWANADAMU (Maswali matano ya kufikiria kuhusu uwepo wa Mungu)

    Salamu kwa nyote mnaosoma uzi huu. Baada ya kufikiria kwa kina basi haya ni maswali yangu matano kuhusu ubongo wa binadamu. Swali 1: Kama binadamu amegundua computer, na haya mambo yote tunayoyaona kuhusu teknolojia, Je ni kitu gani kitakuja kuvumbuliwa na binadamu ambacho kitashinda uwezo...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu yazidi Wanaoamini, Utafiti Wabaini

    Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Queen’s, Belfast, umebaini kuwa nchini Uingereza, idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu imezidi wale wanaoamini. Matokeo haya yanatokana na utafiti wa miaka mitatu unaofanywa kimataifa ili kuchunguza sababu za kuongezeka kwa ukosefu wa imani. Karibu...
  11. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Sifa hizi ukiwanazo huimarisha mahusiano yako na jamii yako pia na Mungu

    1)UNYENYEKEVU Kuacha kujiona wewe ni bora na mwenye thamani na umuhimu kuliko wengine/wenzako. Kuacha majivuno,kiburi na dharau. 2)KUTOHUKUMU WENGINE. unapokuwa unanyooshea wengine kidole kuwahukumu ,mkono wako huo mmoja wenye vidole vitano,ukimnyooshea mtu kidole shahada kimoja, vidole vyako...
  12. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    JamiiForums Tanzania Baada ya OYA kumtesa mwanangu, Mungu amejibu dua na sala zangu. OYA wamevuna walichokipanda

    Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni. Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi. Binti ya wangu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nawafafanulia vipi wanangu kwamba Israel inalindwa na Teknolojia huku Africa tunamuomba Mungu wa Israel atulinde

    Israel inajilinda na umasikini kwa kuwekeza kwenye elimu ya ubunifu wa teknolojia, hawana madini ardhi yao sehemu kubwa ni jangwa lakini kupitia Teknolojia wana uchumi wa dola bilioni 500 (Trilioni elf 1 na 500) kusanya nchi zote za Afrika Mashariki hatufikii. Kampuni yenye teknolojia kubwa ya...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani. Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa chanya akiwaonea huruma kwa shida zao lakini ulibadilika siku za mwishoni za maisha yake na kuwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi nikilala usiku namuota Mungu. Kuna mwingine huwa inamtokea?

    Habarini, Kwa baadhi ya watu humu kama mnavonijua humu jukwaani, mimi sio mtu wa mambo ya kiroho, ni mkristo, ila ni mkristo jina, kanisani siendagi kabisa dhambi ninazo nyingi sana, sisomagi biblia Wala sio mtu wa maombi, ila kuna kitu kimeanza nitokea hivi karibuni kimeanza kama miaka 2...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Oktoba 7 na maadui 7 wakiwa vitani na Mteule wa Mungu, Israel.

    MWANZO 32:28 ... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda. Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ameumba baadhi ya watu fulani kuwa masikini?

    Wakuu kuna swali hili mara zote linanitatiza aisee je kuna watu mungu ameumba kuwa maskini? Na kuna wengine ameumba kuwa matajiri? Na kama hivyo kwanini? Nchi nyingi za kiafrika watu wengi ni masikini kulinganisha na bara la ulaya,America na Asia? Kwamba kuna watu wa rangi fulani l(afrika) na...
  18. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Wajumbe: Mkuu wa shin bet Ronan Bar Mkuu wa Mossad David Barnea, Waziri wa ulinzi Yoav Galant Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
Back
Top Bottom