mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimetengwa kanisani baada ya kuomba account namba ya Yesu ama Mungu nimuwekee Zaka zake, fungu la kumi. Wanalazimisha wao ndio wampokelee Mungu hela

    Kanisani walikuwa wanasisitiza sana kila muumini lazima atoe fungu la kumi, maana ni la Mungu, binafsi nikawa tayari kumtolea mungu hela zake hizo za fungu la kumi ila kwa kumpatia Mungu mwenyewe ili kuepusha watu wa kati kumlia Mungu hela zake. hivyo nikaomba account namba ya Mungu ama namba...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Zaiylissa: Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga, Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama

    "Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga. Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama nikiwa na nguvu zaidi na nimejaa azma kuliko wakati wowote. Nimebarikiwa na ninafurahia kufanya kazi na chapa (brands) nzuri kama balozi wa chapa (brand influencer), njia ambayo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Mwenyezi Mungu Utujaalie Ushindi Mechi ya Leo dhidi ya Al Masry, Inshaallah

    Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani, utujaalie ushindi wa kishindo leo uwanja wa Taifa ili roho zetu zipate kutulia. Mwenyezi Mungu, wewe...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!

    Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Ulimwengu wa Mwilna Ulimwengu wa Roho Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho. Kusikia Sauti Hii ni thread...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete apewe maua yake walau alikuwa anamwogopa Mungu, CDM kupata wabunge 75 kwa tume hii!

    Nimemsililiza mhe. Lema akitoa mfano wa jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi wanavyopatikana na waimamizi wanavyoteuliwa. Hakika Kikwete ni muislam. Japo ana mapungufu yake mengine lakini walau ana hofu ya Mungu.
  6. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Part 1: Ukuaji wangu

    Anaandika jonhson✍🏻✍🏻 Kwa jina naitwa jonhson ni mzaliwa wa mkoa wa mara ukuaji wangu umekuwa na mapito mengi ya kuumiza sana. Nilizaliwa miaka 33 iliyopita nikiwa na afya nzuri ila baada ya miezi kadhaa niliugua sana mpaka nafikisha miaka mitatu nilikuwa nimekonda mno, yani kwa maelezo ya...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  8. Tman900

    JamiiForums Tanzania Nilivyo Jariwa na Mwenyezi Mungu

    Mimi ninaa amini ktk Ukuu wa Mungu, ila siwezi to ufafanuzi mpana ktk hilo. Ila katika Maisha yangu binafsi Huwa namshukuru Mungu kwa Kunijaria Bahati Hii Bahati ninayo toka kuzaliwa. 1. Biashara Nikifanya Biashara huwa inafanikiwa, na popote, Jambo lolote ni ninalolifanya kwa Nia ya Biashara...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Shetani ni mtumishi wa Mungu, siyo adui wa Mungu

    Najua hoja yangu itaibua ukinzani wa kitheolojia na niko tayari kwa hilo hata kama majibu hayatakuwa timely kwa sababu ya majukumu mengine. Mungu ametuumba na kutupa FREE WILL. Kazi ya kuona free will inafanya kazi amemuachia malaika huyo tuliyembatiza majina mengi tu likiwemo jina la SHETANI...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

    Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election? Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
  12. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo, basi ndiye aliyeruhusu Waafrika tutawaliwe na wazungu

    Uhali gani mwanaJamii Forum? Nimekaa hapa geto kwangu nikawa na-review matukio ya kwenye historia niliyoanza kuisoma tangu mtwivila primary school, Tegeta secondary school, na Lufilyo high school ambapo baada ya hapo niliamua kuachana na hili somo nilipofika chuo kikuu na kilichosababisha ni...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha: ukimuomba Mungu jambo lolote atakupa – ukitimiza vigezo na masharti haya

    Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mungu anaongea Nasi Sasa?

    wakati wa usiku usingizi mazito uwajiapo wanadamu.Mungu hunena na sio mara moja.lakini watu hawayatilii maanani yaliyosemwa naye. Nirudie Mungu anasema kila siku na kila anaitwa mwananadamu.Ukipuuza Sasa ukiwa na pumzi puani. Utaelewa kwa lazima ukiwa haupo tena katika mwili.Ni lazima uone...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mungu anahusikaje na watu kuwa masikini au matajiri kama invyosemwa kwenye dini?

    Kuna ukweli gani kwamba Mungu ndiye huwafanya baadhi ya watu kuwa matajiri mamilionea, mabilionea hadi matrilionea huku akiwafanya wengine kuwa masikini mafukara wa kutupwa, omba omba na homeless?! Wengine wanasema sijui hizo ndio kudra/kadara za Mnyazi Mungu, wengine wanasema sijui ndio baraka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wapalestine wanavyolufa maelfu elfu, ukiwaambia leo eti kuna Mungu gani, watakukula nyama!

    Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe! Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu Je, haoni...
  17. KENZY

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ulimwengu na Mungu bado ni fumbo kwenye fikra za mwanadamu!

    Natumai mu buheri.. Mada yangu leo nitapenda kuangazia misimamo mbalimbali juu ya uwepo wa Mungu/Miungu pamoja na chanzo cha ulimwengu na kisha nitagusia mtazamo wangu kutokana na mitazamo hiyo.. kumekuwa na mitazamo mbalimbali juu ya hizi hoja mbili lakini binafsi nionavyo katika mitazamo yote...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

    Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa ametumwa na Mungu amuombe Nabii Laki Sita, sasa anadai Mungu kamuonesha ndotoni gari mpya na Nyumba

    Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: 'Leo na kesho (Watu wa Mungu hawaogopi)

    Luka 13:32 (Yesu) Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha (Herode), Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
Back
Top Bottom