mungu

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kati ya Mungu anavyotaka aaminiwe na Jinsi dini zetu zinavyotaka tuamaini

    Kumuamini Mungu ndio risk (kujihatarisha) kikubwa kuliko vyote KWA mwanadamu wa kawaida. Unamuamini Mungu kupitia maneno ya BIBLIA (wakristo). Na hautakiwi KUWA na ushahidi mwingine wowote wa hicho unachokiamini isipokuwa maneno hayo peke yake. Mfano. Ukisema huogopi, ushahidi wako uwe ni...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike

    Wakuu, Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya. Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum...
  3. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Mungu hua anapitaga na wazaliwa wa Kwanza wa watu waovu

    Kwa usomaji wangu wa bibilia kila mtawala au mtu mwovu(Muuaji) alipotokea Mungu alianza kupita na mzaliwa wa kwanza kama namna ya kumuonya na kumfundisha. Tulinde vizazi vyetu kwa kutenda mema!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Lissu na tulipofika: "Hivi hatuoni aibu kuchagizwa, ili kutenda haki? Hivi tutakuwa hata na majibu gani kwa Mola?"

    Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai? Kwamba wenye kuhusika na kuyaridhia hayo ni ninyi, na mwaona mko sahihi, maisha yanaendelea ali mradi...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Watawala wanaogopa kukosa madaraka kuliko kumkosea Mungu

    Video inajitosheleza!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mungu anasema damu haitomwagika ila ole wa anayemwaga damu

    Mungu anazungumza na Taifa usiku huu na neno lake nifupi sana ila litakuwa wazi mbele ya uso wa Taifa. "Hapata mwagika Dam ktk uso wa nchi ila ole ole anaye mwaga dam 😳 ole kwa wanao panga mabaya kwa watu wasio na hatia yes mtafanikiwa ila mkisha maliza fanya hayo MUNGU Taifa la Tanzania na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Tumkumbuke Mungu pale tunapoteswa isivyo haki

    "Napenda niwahakikishie watanzania na wapenda amani na usalama kuwa tayari serikali kupitia Wizara ya Mambo ya ndani imeviagiza vyombo vya dola kuwatafuta, kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria waliohusika na tukio hili na wale wote watakaothibitika kujihusisha na matukio kama haya...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema diyo wanaostahili

    Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mhe. Zitto atakuwa na waganga qa jadi wenye uwezo wa kupambana na watesi wake. Hajamwanchia Mungu.

    Mwanasiasa wa Pakistan Tengeneza makazi ya wazi na ya siri Usile kizembe Tembea na silaha za jadi na miliki kihalali silaha za kisasa Tafuta waganga wenye uwezo wa Kuuwa mtu akikuumiza,kukusingizia kesi aliyekukamata hakimu aliyekuhukumu wakili anayetetea maovu usimuachie Mungu
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu unathibitisha Yesu ni Mungu

    Mungu ametufunulia kila kitu ndani ya biblia takatifu, naomba fungua kitabu chako cha mwanzo hapo ndipo tunaanza kupata siri za Mungu: Mwanzo 1:26 Kisha Mungu akasema, “Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na dunia yote...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Makanisa, Mitume na Manabii ni vizuri kutii na kuheshimu mamlaka za dunia, vinginevyo ni dhambi kupotosha watu wa Mungu mkiwa madhabahuni

    Kutii Mamlaka za dunia ni Baraka. Warumi 13:1-14, iwaongoze, 13:1 Tit 3:1; 1Pet 2:13, 14; Dan 2:21; 4:17; Yn 19:11Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu. 13:2 Kut 16:8; Tit 3:1Kwa hiyo...
  12. FYATU

    JamiiForums Tanzania Nini kusudio la Mwenye enzi Mungu kuwapa viumbe wake uzao usio kikomo?

    Ukikata tunda la Papai ndani utakuta mamia kama sio maelfu ya mbegu, ambazo nazo zinatarajiwa kila moja kuwa Mpapai ambao nao tena utatoa mamia ya Papa yenye mamia ya mbegu ndani kwa ajili ya kuzalisha Mpapai mingine. Na ni vivyo hivyo kwa mimea mingine. Mtu mume akisha baleghe ana uwezo wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wanaamini kuwa Mungu yupo?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu? Nawatakia wakati mwema.
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mungu Huokoa na pia Huadhibu

    Mungu Huokoa na pia Huadhibu Mfano wa Mungu alivyookoa Waisraeli kule Misri Waisraeli walikwenda Misri kupata chakula, kutokana na njaa iliyokuwa kubwa nchini mwao. Wakakaa kwa amani kwa miaka 30. Walipoongezeka na kuwa wengi, Farao wa Misri wakawatesa kama watumwa kwa miaka 400. Jumla, walikaa...
  17. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania 25% ya nobel prize wameshinda Waisrael wakati dunia yote ni 75% tu! Hawa watu walichaguliwa na Mungu

    Hapa tunaongelea Ugunduzi na mchango wa technolojia zilizobadilisha maisha ya watu dunia. Waisrael wapo milion 15 tu duniani katika dunia yenye watu Billion 8. Lakini mchango wao kwenye hii dunia hasa wa uvumbuzi wa vitu na technolojia umekua n mkubwa kupitiliza….. kwa uchche wao ndio lakini...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, una habari? Ukifanya mambo haya, Mungu atakuangamiza!

    Je unajua? Ukifanya mambo yafuatayo, yakauharibu mwili wako, Mungu atakuangamiza. Ushahidi huu hapa: 1 Wakorintho 3:17 "Mtu yeyote akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamwangamiza; kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, na ninyi ndio hilo hekalu.” Miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu...
  19. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Nabii Rolinga: Madhara ya kumwaga damu, suluhisho ni kukaa pamoja

    https://youtu.be/gRFTQaTOCUg?si=7yOQzFaQ7gsU5Y8a Rais wetu na mama yetu mpendwa, Dr. Samia Suluhu Hassan, kama Serikali yako ni sikivu na wewe mwenyewe ni msikivu, hebu sikiliza sauti hii ya mtume wa Mungu. Kwa imani yako kama Mwislamu unaye mwabudu Allah, naomba utafakari ushauri huu wa...
  20. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kwani Mungu ni kitabu?

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Kila kitu nikiuliza kwa Masheikh na mapadri na wachungaji na hata katika forum mbalimbali mnanifungulia KITABU, Ina maana Mungu alikosa njia zote za kujieleza katika dunia na watu wake bila ya KITABU tu? Ndugu msomaji naomba tumia akili kidogo unaposoma...
Back
Top Bottom