mungu

  1. technically

    JamiiForums Tanzania Watanzania Mungu awasaidie

    Naamini ni wetu sote Kariakoo- Dar watu wanalala barabarani usiku Makoroboi - Mwanza watu wanalala nje Arusha mjini watu kibao wanalala nje vijana jua ni lao na mvua ni yao Kwa Sasa Kuna baridi Kali Sana Arusha nimepita majuzi na mwanza ndio usiseme!! Nimeumia Sana Leo kuwaona mpaka...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna Jipya Juu Ya Uso Wa Nchi. Kumbe Machawa Walikuwepo Tangu Kale, Na Walikwishalaanika

    Siku zote tumekuwa tukisema wale machawa wa mama mama mama, ni watu waliokosa akili maana hakuna mwenye akili anayeweza kukubali kuwa chawa, kumbe machawa wamekuwepo tangu kale, na Bwana, Mfalme wa Mbingu na nchi alikwishawalaani. Leo nimelifikia neno la Mungu linaloweka wazi kuwa uchawa ni...
  3. Little brain

    JamiiForums Tanzania Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

    Uchambuzi wa kina 1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?" Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani. Kiuhalisia: Dini hutofautiana kwa sababu ya tamaduni, historia, siasa, jiografia, lugha, na mapokeo ya watu...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali haitachutama kukaa kimya kuhusu Utekaji kwa moyo wa dhati hizi ajali ni Gharika ya Mungu kwa Taifa za wanasiasa zinafuata

    Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuisikia Sauti ya Mungu

    Ndugu zangu, Mungu yupo na amekuwa akiongea na watu wake tangu zamani hadi leo. Katika maisha ya kila siku, Mungu anatumia njia mbalimbali kuwasiliana na sisi. Lakini mara nyingi tunakosa kuisikia sauti yake kwa sababu ya 'kelele' nyingi za ulimwengu huu au mioyo isiyotulia. Katika kitabu cha...
  6. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Njia Ya Kuponywa ambayo watu wachache wanaiamini na wameona matokeo yake

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Au huenda Mungu nae wa mchongo wazee!!!!

    Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule) Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!! Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo anapaswa kuniomba msamaha haraka sana.

    Milango bado ipo wazi kwake.
  9. Now and then

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia acheni hizo tabia za kumsifu binadamu kama Mungu sasa mmejionea wenyewe !

    Kiko wapi. Hakuna kwenda nje Hakuna favor Utalii umeshuka Sana Mialiko imekuwa adimu sana Na mwisho unaelekea kukabidhi kijiti Kama utani .
  10. R

    JamiiForums Tanzania Pale taifa la linalodhaniwa ni la Mungu linapokua chokozi na sio peacemaker Kwa kigezo Cha unabii kutimizwa!!Linatia udadisi kwenye bongo huru!!

    Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!! Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Insha ya kwanza: Ya Mungu mengi, ya kuku mayai

    Ya Mungu Mengi, ya Kuku Mayai Utangulizi Methali ya Kiswahili isemayo "Ya Mungu mengi, ya kuku mayai" ni methali yenye maana pana na yenye mafundisho tele. Methali hii hutufundisha kwamba Mungu ndiye chanzo cha baraka nyingi na kubwa, wakati viumbe kama kuku wana uwezo mdogo wa kutoa vitu vya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya nisiamini uwepo wa Mungu ni hizi

    1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya. 2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini). Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo anayejitambua anajua yeye ni Mwanadiplomasia wa Serikali ya Mungu. Haripoti chochote kwa mtu kabla ya kuongea na Serikali yake.

    Niwatakie jumapili (siku ya kwanza ya juma) njema. " Uraia wetu uko mbinguni" Wafilipi 3:20 Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuna watu wengi watamtukana Mungu hata wakati wa ujio wake siku za mwisho

    Ndiyo, Biblia inafundisha kwamba hata wakati wa hukumu au matukio ya mwisho, kutakuwa na watu ambao watakataa kutubu na badala yake watamtukana Mungu. Hii inatajwa waziwazi katika kitabu cha Ufunuo. Kwa mfano: Hii inatufundisha kwamba mioyo ya baadhi ya watu itakuwa migumu hata katikati ya...
  16. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

    Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo Wa Mungu YOHANA 1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nadhani hata Mungu huwa anamshangaa Gwajima!

    "Muogope Mungu na Teknolojia" RUGE
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama Kweli Mungu ni Mungu wa Israeli, Kwanini Anaiacha Israeli Inapata Vipondo?

    Swali hilo limekuwa likiulizwa na watu wengi, hasa katika nyakati hizi tunapoona Taifa la Israeli likipitia mateso, vita, au mashambulizi makali. Huenda hata wewe unajiuliza: “Je, ni kweli Mungu bado ni Mungu wa Israeli? Kama ni hivyo, mbona hawalindi?” Kwa jicho la kibinadamu, hali hii inaweza...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

    Hallelujah, Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility. As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mungu wa kikristo na Mungu wa Waislamu ni huyu moja anitwa "Allah" hata kwenye biblia ya kiarabu yumo

    Mungu wako na Mungu wetu ni Mungu mmoja kwa kuwa kuna Mungu mmoja tu kama ilivyoandikwa katika. "Shema" (Kumbukumbu la Torati 6:4) na Marko 12:28, na kama inavyoainishwa katika kanuni ya kwanza kati ya Kanuni 13 za Imani ya Kiyahudi. Ikiwa unasisitiza kuwa "Allah" katika tafsiri ya Kiarabu ya...
Back
Top Bottom