mungu

  1. JamiiForums Tanzania Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

    Wanajamvi, Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa! Amejibu maombi kwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mungu anayaona yote mnayopanga na kuliwazia Taifa hili, na muda ukifika atayaweka wazi mchana kweupe

    Naona pasipo woga hata wale wanajiita watumishi wa Mungu wameanzisha kusahau kazi yao na kupiga mapambio kama waumini wao na kusahau jukumu lao muhimu katika umoja wa kitaifa. Ndugu Watanzania, nina furaha kubwa sana siku ya leo kuwahakikishia Taifa hili ni Taifa la Mungu; ni taifa ambalo...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

    Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo. Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanalialia kuona viongozi wa dini wakimuombea na kumshukuru Rais huku mgombea wao wa Urais hataki kumuachia Mungu

    Kwanza nipende kutambua umahiri wa Rais wa Tanzania katika kumtegemea Mungu. Hajaanza leo wana jana. Tangu achagliwe amekuwa akiomba aombewe na kama binadamu anamapungufu yake anajua kumtegemea Mungu tena hadharani sio kwa kujificha. JPM amejihusisha na kazi za kidini nyingi sana ikiwemo kutoa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dini na Siasa zinategemeana ndio maana Dkt. Slaa anaweza sana Siasa, Mungu ndiye wa Pekee!

    Siasa na Dini zinafanya kazi moja tu ya kuwaunganisha binadamu kwa njia ya kuwatawala ili kuwaletea maendeleo ya kimwili na ya kiroho. Kiongozi wa dini siyo lazima awe anamuamini Mungu ndio maana kuna dini ya shetani. Hivyo hakuna tatizo lolote endapo viongozi wa dini wataamua kuungana na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

    Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa picha ya kiroho, Ilikuwa lazima tukio la jana litokee uwanja wa uhuru. Mungu anazidi kupeleka ujumbe kwa CCM

    Namejaribu kuangalia tafsiri ya picha kwa kilichotokea jana. Adam Mchomvu kavalia shirt iliyoandikwa 1961 ambayo ndo siku ya Uhuru. Naamua kumuweka kama mwananchi anayependa maudhui ya kwanini tulipata uhuru mwaka 1961. Jukwaani yupo Emmanuel Mbasha amevalia mavazi ya kada wa CCM na kofia ya...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampa maagizo Mmarekani: Kawaambie wenzako Tanzania imeweza kwa nguvu ya Mungu

    Mapema leo Rais Magufuli akizungumza na TAG, alimwaga kimombo kwa Mmarekani aliyekuwepo ukumbini akimpa ujumbe wa kuupeleka kwao huko Marekani. Siku za hivi karibuni wale waliokuwa wanayatumia hayo mafua ya Corona kama silaha ya kisiasa dhidi ya Rais Magufuli, siku hizi wamekuwa wapole sana...
  10. JamiiForums Tanzania Omba Mungu baba yako afe akiwa ameshakusomesha

    Baba yangu amefariki ameondoka duniani nimeumia Sana niliishi nae miaka 38 ya uhai wetu tukiwa pamoja Mimi nayeye. Namshukuru baba yangu alinisomesha siishi kwa tabu duniani. Mungu amlaze baba yangu mahali pema kabisa kwa namna alivyonisaidia hapa duniani. Naumia Sana baba yangu nilikupenda...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

    Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti. Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo. Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli v/s Yusufu " tupate wapi mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake

    Ninaamini sifa anazopewa Magufuli hazitamfanya awe na kiburi au majivuno bali zitamnyenyekeza zaidi kwa Mungu kwa maana si yeye anayefanya Bali Mungu kupitia yeye tunamuombea ajishushe zaidi ili Mungu aendelee kumtumia kuibariki Tanzania. Mfalme pharaoh alipoota ndoto ya masuke saba manono na...
  14. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Dar: Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, Yeremia Kulwa Maganja ateuliwa kuwania Urais Tanzania

    Heshima kwenu Wakuu, Leo nccrmageuzihq Wanafanya MKutano Mkuu ambao unafanyikia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar Es Salaam. Mwaka huu NCCR wamejipanga kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kikamilifu. Dira na Madhumuni ya NCCR ni Kuwa chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Nchi nzuri na yenye kila kitu

    Tunayo mito, maziwa na bahari. Tunayo Madini ya aina karibu zote na mengine hayapatikani popote hapa Ulimwenguni. Raia tunaishi kwa amani na raha kabisa! Tumejaaliwa ustaarabu wa kiwango kisicho elezeka! Shime wana siasa yawapasa nyote muisaidie Nchi yetu kusonga mbele daima kwa kutumia...
  16. JamiiForums Tanzania Maombi maalum kwa wanaosubiria kupata watoto. Mungu anaweza, usikate tamaa

    SPECIAL PRAYERS FOR WAITING MOTHERS 1. I bring to judgement before the Lord, every spiritual cause that is delaying your child bearing in Jesus name. 2. Every physical cause of your delay, that has been hidden to medical knowledge, I ask that they be made obvious for immediate correction in...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuishiwa nauli katika mishemishe tukutane hapa tuelezee tulifanyaje tukapata nauli

    Ni mida ya jioni nashuka kwenye boti ya Azam kutoka bongo Islamic state (Zanzibar). Mfukoni nimebakiwa na Shilingi mia tano huku Safari yangu inabidi nielekee Mbezi Kimara, simu imezima chaji lakini pia safari yangu toka Bongo Islamic state ikiwa ni ya shida maana nilienda kiutafutaji huko...
  19. JamiiForums Tanzania Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu

    Usioe ama. Kuolewa. kukamilisha IBADA ya ndoa Italia WHY IT IS IMPORTANT TO MARRY A PRAYERFUL SPOUSE 1. God will teach him/her how to love you through prayer 2. God will reveal things concerning you to him/her for your welfare 3. She/he will nourish your prayer life 4. She/he will protect...
  20. JamiiForums Tanzania Tujifunze kumsifia mtu akiwa hai hiyo ni heshima na kwa Mungu pia

    Vyemaa tukaelimishana tulipotoka na tunapoenda. Watanzania wengi husubiri kumsifia mtu pale waaposika amelala anaitwa hayati ama marehemu Wengi huonà hapa ipo muda muafaka kumsifia marehemu. Ndugu zangu nimekuwa nikilaani sana marehemu hasemwi vibaya sababu hawezi tena kujitetea Hivyo hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…