mungu

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

    Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika ...
  2. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

    Kumbuka. "Man without God can not, and God without man will not" "Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe" Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye...
  3. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania E Mwenyezi Mungu, natumai mke wangu atatokana na uzi huu. Natafuta mke

    Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF. Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF. MIMI. Umri 24 Muislam halisi Diploma ya civil engineering. Maji ya kunde Zanzibar Ninayemuhitaji...
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ni masiha wetu tuliepewa na Mungu, tumpokee

    FACTORY RESET ya maana itaenda kufanyika katika historia ya nchi hii tangu kuumbwa kwake. Yale mashimo watu fulani walizoea kujifichia na kuila nchi hii taratibu kama bandubandu yatafukiwa sasa 'Malaika wataishi kama mashetani'. Matumaini yatarudi ya kuishi kwa usawa kati ya raia wote bila...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kura ya Mungu ipo kwa Lissu 2020: Mwaka 2015 Ilikuwa kwa Magufuli; wapi alikosea Magufuli? jionee

    MUNGU AMEMPA KURA LISU, JE WEWE UTAMPA NANI? Na, Robert Heriel Hata Mungu hufanya uchaguzi, Hata Mungu hupiga kura. Sio mwanadamu peke yake apigaye kura, hata Mungu Muumba wa Mbingu na ardhi hupiga kura. Katika Historia ya Biblia wapo watu kadhaa waliopigiwa kura na Mungu miongoni mwao ni...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

    A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na za ulimwengu wake! Hakika Mungu yupo. #Ni yeye 2020
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

    Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele. Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena. Tundu Lisu atapewa kazi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Isikilizeni sauti inayolia nyikani, imebeba sauti za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Mungu ametenda kwa wakati wake hakika!

    Tundu Lissu angeweza kurudi nchini na kuamua kujikalia kimya kama walivyofanya wengine walioumizwa. Yeye siyo tu aliumizwa! Aliumizwa sana! Sasa isikilizeni sauti yake inayolia nyikani, ndani ya sauti hiyo zipo sauti za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Mnyoosheeni njia pale anapokuja...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jemadari hodari hutambuliwa vitani. Dkt. Magufuli, Mungu anakupa miaka mitano tena kwa kwa kutushindisha vita dhidi ya Coronavirus

    Vita ya Corona dunia nzima inawasumbua kote kuliko na majeshi yenye nguvu na teknlojia ya hali ya juu na wenye huduma za afya bora duniani zenye madaktari bingwa wazuri duniani ikiwemo Ubelgiji wako hoi kusumbuliwa na Corona. Nchi zenye elimu bora na waongea kiingereza kizuri ikiwemo kenya na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  12. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania tuisikilize hii sauti ya Mungu "Huyu ni Mwanangu Mpendwa Mpeni Kura Zenu"

    Hii ni sauti inayonisumbua kila kukicha ya Mungu Ikiniambia Huyu Ni Mwanangu Mpendwa Nimpe Kura yangu. Naamini ni sauti inayokusumbua pia wewe Mtanzania ikijurudirudia na kukusii uitii kua " Huyu alie Hai leo ni Mwanake Mpendwa na Tumpe Kura Zetu" Tanzania itapona tu kwa Kuitii Sauiti Hii ya...
  13. safuher

    JamiiForums Tanzania Mbele za Mungu unaweza kushinda na kutangazwa hata bila Tume Huru

    Hakuna kubwa mbele za Mungu linalomshinda. Mungu akiwachoka watu basi hakuna sababu itakayozuwia,akiamua lake hakuna litakaloshindikana. Raisi wetu Magufuli wengi hatukutarajia kama atakuwa raisi,lakini angalia leo kawa raisi ingawa kulikuwa na vita kubwa huko juu wakati wa kumtafuta mgombea...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi akina Pele, Maradona, Zidane Messi na Ronaldo hawawezi 'Kumshtaki' kwa Mungu Clatous Chota Chama kwa 'Kipaji' kikubwa anachokimiliki?

    Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

    Hii hapa jionee mwenyewe
  16. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Si ajabu tunawazika kwa heshima wale walio machukizo mbele za Mungu

    Wasalaam, Nilipokuwa kidato cha tatu, mwanafunzi mwenzetu alijiua kwa kunywa vidonge 16 vya chloroquine. Binti huyo aliyekuwa akiitwa Rebeka, alikuwa mzuri wa sura, umbo, na tabia na kwa kweli hakuna hata mtu mmoja aliyewaza kuwa mrembo huyo angeweza Kujitoa roho kikatili hivyo. Kifo chake...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: RPC wa Songwe ajiangalie, Wananchi wa Tunduma waangusha maombi mazito hadharani na kumshitakia Mungu

    Kwa sasa hakuna eneo ambalo wanachama na viongozi wa CHADEMA wanakamatwa kama kuku kama wanavyokamatwa wanachadema wa Tunduma, Kwa jinsi polisi inavyotumwa na CCM ndivyo inavyotekeleza bila hata kuchuja. Wagombea kadhaa wa udiwani wa CHADEMA Akiwemo Meya wa halmashauri Mstahiki Ally Mwafongo...
  18. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Hakuna mamlaka Duniani isiyowekewa mkono na Mungu

    Ni kweli tunajiuliza kama mamlaka zinawekewa mkono na Mungu, je wanaoiba kura halafu wanashinda huwa mkono wa Mungu unakua na hiyo serikali? Mimi labda nitowe wazo langu. Labda hao wanaoibiwa kura na wakashindwa, MUNGU hajawakubali ndio maana akaruhusu waliopo waendelee hata kwa kutenda...
  19. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bodaboda, Machinga na Mama N'tilie, Mungu awape nini tena juu ya Rais Magufuli?

    Turudi nyuma kidogo. Wafanyabiashara wadogowadogo mnakumbuka mateso mliyoyapata tena kwenye ardhi yenu ya nyumbani Tanzania? Bodaboda, machinga na mama n'tilie. Mkabughudhiwa kufanya shughuli zenu kwenye maeneo flanflan ya nchi kama vile nyie sio binadamu na kwamba hamtakiwi. Yani kwenye ardhi...
  20. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
Back
Top Bottom