mtume

Mtume (pronounced em-tu-may) was an American funk and soul group that rose to prominence during the early 1980s and had several R&B hits during its career. Its founder, former percussionist James Mtume, previously played and toured with Miles Davis in the early 1970s. Other members of the group included Reggie Lucas, Philip Field, and vocalist Tawatha Agee. Mtume also gained recognition after having its hit single "Juicy Fruit" extensively sampled by many hip-hop artists, most notably by the Notorious B.I.G. in the 1994 hit song "Juicy".

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Kwanini wakiristo pamoja na ushahidi na dalili nyingi kwenye maandiko mbalimbali na Biblia wanagoma kuamini Muhammad ni Mtume wa mwisho wa Mungu ?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Wadau hamjamboni nyote? Pamoja na ushahidi na dalili nyingi kutoka maandiko mbalimbali ikiwamo Biblia, kwanini ndugu zetu wakiristo bado hawataki kuamini Muhammad ndiye Mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu hapa duniani? Je Wakiristo wanaweza...
  2. U

    Kisa cha mbwa mwitu aliyezungumza kwa uwezo wa Allah na kuthibitisha utume wa Mtume Mohamed s.w.a

    Je, umewahi kusikia kisa cha mbwa mwitu aliyepewa uwezo wa kuzungumza kwa idhini ya Allah, kisha akashuhudia Utume wa Mtume Muhammad (s.a.w)? Subhanallah! Miujiza aliyotunukiwa Mtume wetu Muhammad (s.a.w) ilikuwa mingi. Qur’ani Tukufu ni muujiza wake mkuu na wa kudumu, lakini pia kulikuwa na...
  3. Yoda

    Ni utetezi gani hutolewa mtume kuoa mtoto ?

    Huwa kuna utetezi gani wa hoja mtume kuoa mtoto mdogo wa miaka sita au tisa?
  4. Yoda

    Mwaka Tembo ambao mtume Muhammad alizaliwa na kisa chake cha kusisimua sana.

    Hiki ni kisa kinachopatikana katika Quran Surah Al-Fil (Tembo)/ sura ya 105 Kulikuwa na Mvami anaitwa Abraha, mtawala au gavana Mkristo wa Yemen, alijenga kanisa kubwa huko Sana'a ili kugeuza Hajj na mahujaji wa Kiarabu mbali na Al-Kaaba. Mwarabu mmoja wa Mecca aliamua kulichafua kanisa hilo...
  5. M

    Umma wa Mtume wetu, Hata la Ushoga halitufanyi kukemea uongozi wa mwenzetu?

    Nafahamu, Yapo mambo mengi ambayo wenzetu huungana kuyakemea na au kuyatetea kwa nguvu zao zote ambayo mengine mengi ni kwa manufaa ya umma wote wa Watanzania bila kujali itikado zao Suala hili la ushoga kuenea kwa Kasi na kujitangaza kwa waziwazi mitandaoni limeanza kwenye utawala huu wa...
  6. R

    Kawaida: Baada ya Mungu na Mtume (SAW) hakuna zaidi ya Samia(yaani ni Samia zaidi ya Yesu Kristo)

    Tumefika huku! Time will tell!
  7. Frank Wanjiru

    Kawaida: Ukimwacha Mungu na Mtume anayefuata ni Rais Samia, hakuna mwingine

    Kwa hiyo huyo 'Daktari' Samia Suluhu Hassan anamzidi hata Yesu Kristo pamoja na manabii na mitume wote waliomtangulia na kuja nyuma yake ukiachia huyo 'Mtume'? Tunasubiri kusikia hiyo 'past tense' yako Bw. Kawaida. Kumbuka kuwa hata Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri na yeye aliwahi...
  8. Yoda

    Huyu mtume akija Tanzania ataleta changamoto sana kwa wahubiri mafanikio wa Dar.

    Atachukua wanawake wote wa kwa Mtume Mwamposa na Pastor Tony
  9. livingroom_espionage

    Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Viatu vya Mtume Mohamed vimetunzwa hadi leo

    Viatu vya Mtume Muhammad (s.a.w.), ambavyo kwa Kiarabu hujulikana kama Na'layn Shareef, vinapatikana na vimehifadhiwa katika Makumbusho ya Ikulu ya Topkapi (Topkapi Palace Museum) iliyopo Istanbul, nchini Uturuki. [1] Viatu hivyo vimehifadhiwa kwenye chumba maalum kinachoitwa Chumba cha Masalia...
  11. J

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa? Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari ambazo anaelezwa kuwa alifanya? Au safari hizo zilitungwa tu ili kutoa msingi wa kuweka barua zake...
  12. J

    Mtakatifu Paulo Mtume Je, Yote Inaweza Kuwa Hadithi Iliyotungwa?

    Myahudi aliyeitwa Sauli? Mtume aliyeitwa Paulo? Au ni hadithi iliyotungwa tu? Kutoka kuwa mtu aliyekuwa akiwafuatilia na kuwakamata wapinzani wa dini, hadi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa; kutoka kupambana na wanyama huko Efeso, hadi kuuawa kwa kukatwa kichwa huko Roma—hadithi ya Paulo ina...
  13. Wazolee

    Uwelewa wa Wayahudu na wakristo kuhusu mtume Muhammad na kitabu Cha Quran

    A) Wayahudu Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende Kwa wayahudu kupata ushauri kuwa wafanye nini Ili kujua kuwa Muhammad ni mtume kweli au ni muongo...
  14. M

    Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  15. instinct desire

    Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  16. Chizi Maarifa

    "Sisi ndiyo tumekufanya uwe Mtume na Mwenyezi Mungu ni Shahidi"

  17. figganigga

    Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

    Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo? Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake. Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad? Kwa Ufupi Mohamad ni...
  18. C

    Nimepata maono kuwa kiranga atabadilika na kuwa mtume au nabii

    Ataitwa Pastor Kiranga au nabii kiranga au mtume kiranga. Atakua mlokole haswa anayenena kwa lugha na atakua anatoa mapepo. Atahubiri na kueneza neno JF na kwingineko. ataweka hadi spika kwenye mikusanyiko na kuhubiri. Destiny yake nimeshaiona karibu mtume Kiranga
  19. Castle_Lite

    Allah alimfundisha Mtume kutengeneza Kimea

    Ndugu zangu Waislam Quran 16 : 67 "Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili." Tumeruhusia kutengeneza kunywa na kuuza vilevi. Tumswalie mtume. Jagina gallow bird adriz Ertugrul Bey Wazolee Cc...
  20. Castle_Lite

    Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

    Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157 Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu. Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili. Je Mussa alijua kutakuwa na Injili?. 100% Mohamed kabun hiki kitabu kwa kutumia janja janja tu. Kaunganisha unganisha...
Back
Top Bottom