Jamaa amakuwa akitoa madini sana humu na kutupa ilimu akhera kwa weledi mkubwa sana bila hata kututoza. Nashauri awe anatoza nyuzi zake angalau basi hata Tsh 50,000 kwa uzi mmoja.
Najua atakuwa anapigwa vita na kuchukiwa na watu. Nikija Bongo nitamtafuta nimpatie mbinu za kijasusi nyingine za...